KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Hiyo timu ilifumuliwa, ikaundwa timu nyingine iliyoleta ushindi.Nimeipenda hii historia fupi na iliyoshiba.
Nyerere alikuwa ni mfungaji wa goli la ushindi, ila si vibaya kuwajua wachezaji wengine kwenye hiyo game je walikuwa wakina nani na walicheza namba ngapi, maana bila kupewa assist na wenzake sizani kama angefunga hilo goli.
Na lazima tumjue je man of the match alikuwa nani?
Kalamu!Hiyo timu ilifumuliwa, ikaundwa timu nyingine iliyoleta ushindi.
Timu hiyo aliyoanza nayo Mwalimu isingetufikisha popote.
"Wewe ni mtu baki hawa huwajui "Paschal,
Mimi singependa kubishana na wewe katika hili kwa kuwa si muhimu hivyo ila nitakueleza kitu kimoja.
John Rupia alikuwa na lori lake moja linaitwa, "Msichoke," mmoja kati ya wafanyakazi wake mimi ni mjomba wangu Rajab Athmani Matimbwa na yu hai anaishi Sungwi.
Dossa alikuwa na malori saba aloyorithi kwa baba yake.
Soma historia ya Mzee Matimbwa hapo chini:
RAJAB ATHMANI MATIMBWA MUAISISI WA KWAYA YA TANU 1954
Rajab Athmani Matimbwa Rajab Matimbwa katoka Chole, Uzaramo kaja Dar es Salaam kijana mdogo kutafuta maisha. Rajab Bi. Titi ni sha...mohamedsaidsalum.blogspot.com
Paschal,
Mimi nimeishi ndani ya historia hii wahusika wengi ni wazee wangu.
Wewe ni mtu baki hawa huwajui.
Yamakagashi,"Wewe ni mtu baki hawa huwajui "
Hii statement ina ukakasi sana
Na Paskali akisema Rupia ni mzee wake na wewe kwa Rupia ni mtu baki hakuna unalojua kuhusu ufadhili wake TANU utambishia ?
Hizi ngonjera wengine hazitusumbui kabisa.Unajua kwa nini Abdul alipewa jina "The Sweet," na Dossa, "The Bank?"
Someni kwanza historia ya TANU ndipo mzungumze.
Kalamu1,Hizi ngonjera wengine hazitusumbui kabisa.