Historia ya vyama vingi vya kisiasa Tanzania ni giza nene sana

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Uwanzishwaji na uwendeshaji wa vyama vya siasa vya Tz nigiza nene kiasi ukiingia nikama umenasa kwenye ulimbo usijuwe palitokea.
Hakuna mtu atakaye nielewa kama hukuwahi kugoma kwenye vyuo huwezi nielewa ila nataka kusema nibora hata visingekuwepo maana huu ni mtego wa panya na hakuna wakumwambia mwenzake usiende huko utanasa.

Siku moja jama walikuwa wanabishana kila mmoja asema mwenzake ni kitengo watu wakawa wanacheka mwamba akafungua kodi mbona nilikuta umeingia ofisi fulani baada yakuona mwenzake kamuweka wazi na yeye akamwambia mbona na wewe ulienda ofisi fulani kukutana na nanii hauku sign na sio mara moja watu wakacheka sana pale kwenye kahawa ila walikuwa wanasema mambo magumu sana..

Bado tuna safari ndefu sana kifika nchi ya ahadi japo inaonekana kama Mungu anampango kutuwahisha japo vyama vya siasa ni mtego wa panya na kiukweli Hayati Magufuli alituonyesha full mchezo kuanzia ile issue ya covid 19 watu wakajikuta bungeni hakuna jambo kama lile duniani alafu ngoma ikazima na wanamliza muda wao hiyo ni red alert.

Vyama vina remote tena remote haionekani sikatai ni muhimu hata Marekani baba wa democrasia cia anacheza na vyama vyote kama apendavyo ila wana mifumo mizuri.

Hapa kwetu vyama vinakuwa kama vyama mfu vipo kula hakuna matokeo chanya yaani vyama vya siasa kama vya kifamilia alianzisha babamkwe anampa mtoto nk nishida vyama nimwendo wa usinichi acha kabisa hakuna anaweza nielewa na sitaki kutaja majina inatisha sana.

Una ambiwa kabisa acha hii utapotea unapewa taarifa na unajuwa kiapo chako unagoma alafu mnakuja sema oh serikali fyu fyu mbona husemi na kiapo chako ulichojisahaulisha nini ?

Unahama huku ubarudi huku why those mbilinge mbilinge west our time and energy vijana wanaumia while wew ndio chanzo alafu mam mama makafanya nini?

Vijana wanamoto na maono usipo waambia tunafanya usanii mtaleta shida zisizo na babu mtafanya hata vyombo vya ulinzi vipate tabu na lawama hazina mashiko.

Well siku zinakuja kutakuwa na vyama vingi ila itakuwa ni CCM 1 and CCM 2 same like Kenya stay tune with Nyerere vision..

Watanzania wanataka mabadiliko wakiyakosa ndani ya CCM 1 watayapata CCM 2 remember
 
West our time.
Nadhani ulitaka kusema waste our time.
Vyama siyo waste of time.
Vyama vilianzishwa na Mapalala,siyo waste of time.
Katika politics since time immemorial kuna vyama vya aina mbili. Vyama vya maskini na vyama vya matajiri.
Kwa mfano hapa tuna Chama cha Mapinduzi ya Kisoshalisti na Chadema,Chama cha bilionea Mbowe.
 
Tatizo ni kwamba, contrary to conventional wisdom, CCM is a not a political party.

CCM ni umoja wa vyombo vya dola nchini Tanzania, wenye idara ya siasa ndani, ambayo wengi wetu hujidanganya kwamba ndiyo chama cha siasa. Ila siyo kweli.

CCM ni chama dola kama ilivyokuwa CPSU ya USSR au CCP ya PRC. Ni chama dola.​
 
Nilikuwa napitia majina ya Wagombea urais toka 2010, karibu wote wame RIP... I mean almost all

Coincidence?

Kuna kitu hakipo sawa kwenye mfumo wetu wa siasa na kusema kweli mashabiki na wanaojiita wapenz wanajipotezea muda tu
 
Uwanzishwaji na uwendeshaji wa vyama vya siasa vya Tz nigiza nene kiasi ukiingia nikama umenasa kwenye ulimbo usijuwe palitokea.
Hakuna mtu atakaye nielewa kama hukuwahi kugoma kwenye vyuo huwezi nielewa ila nataka kusema nibora hata visingekuwepo maana huu ni mtego wa panya na hakuna wakumwambia mwenzake usiende huko utanasa.

Siku moja jama walikuwa wanabishana kila mmoja asema mwenzake ni kitengo watu wakawa wanacheka mwamba akafungua kodi mbona nilikuta umeingia ofisi fulani baada yakuona mwenzake kamuweka wazi na yeye akamwambia mbona na wewe ulienda ofisi fulani kukutana na nanii hauku sign na sio mara moja watu wakacheka sana pale kwenye kahawa ila walikuwa wanasema mambo magumu sana..

Bado tuna safari ndefu sana kifika nchi ya ahadi japo inaonekana kama Mungu anampango kutuwahisha japo vyama vya siasa ni mtego wa panya na kiukweli Hayati Magufuli alituonyesha full mchezo kuanzia ile issue ya covid 19 watu wakajikuta bungeni hakuna jambo kama lile duniani alafu ngoma ikazima na wanamliza muda wao hiyo ni red alert.

Vyama vina remote tena remote haionekani sikatai ni muhimu hata Marekani baba wa democrasia cia anacheza na vyama vyote kama apendavyo ila wana mifumo mizuri.

Hapa kwetu vyama vinakuwa kama vyama mfu vipo kula hakuna matokeo chanya yaani vyama vya siasa kama vya kifamilia alianzisha babamkwe anampa mtoto nk nishida vyama nimwendo wa usinichi acha kabisa hakuna anaweza nielewa na sitaki kutaja majina inatisha sana.

Una ambiwa kabisa acha hii utapotea unapewa taarifa na unajuwa kiapo chako unagoma alafu mnakuja sema oh serikali fyu fyu mbona husemi na kiapo chako ulichojisahaulisha nini ?

Unahama huku ubarudi huku why those mbilinge mbilinge west our time and energy vijana wanaumia while wew ndio chanzo alafu mam mama makafanya nini?

Vijana wanamoto na maono usipo waambia tunafanya usanii mtaleta shida zisizo na babu mtafanya hata vyombo vya ulinzi vipate tabu na lawama hazina mashiko.

Well siku zinakuja kutakuwa na vyama vingi ila itakuwa ni ccm 1 and ccm2 same like Kenya stay tune with Nyerere vision..
Watanzania wanataka mabadiliko wakiyakosa ndani ya ccm 1 watayapata ccm 2 remember
Licha ya kasoro na dosari mballimbali katika uendeshaji wa chama na serikali.

Kama Taifa, chini ya serikali Sikivu ya CCM, chini ya kiongozi na kipenzi cha waTanzania, Dr.Samia Suluhu Hassan

tupo vizuri, pazuri na tunasonga mbele pamoja kwa umoja na amani 🐒
 
Una ambiwa kabisa acha hii utapotea unapewa taarifa na unajuwa kiapo chako unagoma alafu mnakuja sema oh serikali fyu fyu mbona husemi na kiapo chako ulichojisahaulisha nini ?
Kwamba LT amekula kiapo sio!
 
Back
Top Bottom