Historia ya Wanyakyusa kufahamika zaidi kuliko Wasafwa ambao ni wazawa halisi wa Jiji la Mbeya

Correct!
 
Kiujumla Mbeya ni kwetu, lakini Mbeya hawana mwamko kabisa wa kujenga nyumba nzuri na mipango miji inayoleweka.
Bado huijui Mbeya. Hata Dar es Salaam kuliko jengeka kupo kama Masaki, Oysterbay na Mbezi au Mikocheni.

Lakini pia kuna swekeni ambako nyumba zimejengwa utafikiri mabanda ya kutunzia mkaa kama Kigogo, Kinondoni shamba, Buguruni Kisiwani, etc

Next time ukienda Tukuyu waambie wajomba zako wakupeleke maeneo kama Block Q, VETA, isyesye, Uzunguni, Uhindini, New Forest etc
 
Binafsi nilijua Mbeya yote ni Wanyakyusa ila nilipoenda ndio nikajua mji wa Mbeya ni mji wa Wasafwa Wanyakyusa kwao Rungwe,Busokelo na Kyela
 
Si walikuwa wanakimbia shule,wamisionari waliwaletea elimu wakawa wanachoma moto majengo,mwisho wakapeleka elimu Unyakyusani.Kazi kunywa pombe tu,labda kulima ndio wanajua
 
Si walikuwa wanakimbia shule,wamisionari waliwaletea elimu wakawa wanachoma moto majengo,mwisho wakapeleka elimu Unyakyusani.Kazi kunywa pombe tu,labda kulima ndio wanajua
Na nyie Wanyakyusa tuyaseme yenu au tukae kimya?

Wanawake zenu kazi yao kuza mbunye tu. Wanaondoka na mikungu ya ndizi 5 na mapalachichi 20, anasema anakwenda kuuza Mbeya. Anamuacha mume hata mwezi, na wanaume hawabishi. Kumbe wanauza "K" tu Mbeya
 
Pole sana,kwanza mimi sio Mnyaki na Mbeya nilienda kusoama laiki Wasafwa nawajua vizuri,naona umepanic kwa kuambiwa ukweli
 
mfikemo ni msafwa? sio don?
 
Binafsi nilijua Mbeya yote ni Wanyakyusa ila nilipoenda ndio nikajua mji wa Mbeya ni mji wa Wasafwa Wanyakyusa kwao Rungwe,Busokelo na Kyela
Lakini ndio wanaomiliki mji, wasafwa wamebaki historia kwamba "waliwahi kuwa wenyeji", sababu kuu ndio hio kama aliyoleta meta mada, badala ya kuchangamkia fursa wao walikuwa wanawapisha wanyakyusa wazifaidi kwa sababu ya kuogopa kuchanganyana ili kulinda tamaduni zao.

  • POWER - Vyeo vya uongozi na siasa vingi Mbeya jiji ni wanyaki,
  • EDUCATION - Shule nyingi nzuri binafsi na za wazazi wanyaki wamerundikana
  • AJIRA - kwa kuwa wengi wameelimika, ajira za Mbeya wamezoa
  • MAKANISA - Hlli halina mjadala, wachungaji na waimba gospel maarufu TZ wanatokea Mbeya
 
Wanawake zenu kazi yao kuza mbunye tu. Wanaondoka na mikungu ya ndizi 5 na mapalachichi 20, anasema anakwenda kuuza Mbeya. Anamuacha mume hata mwezi, na wanaume hawabishi. Kumbe wanauza "K" tu Mbeya
Endelea kukalia majungu tu,

Wanawake unaowaponda wameelimika wana vyeo vikubwa serikalini, ni maprofesa, n.k. mfano mdogo tu ni mbunge wa Mbeya hapo, Tulia Mwansasu.
 
Endelea kukalia majungu tu,

Wanawake unaowaponda wameelimika wana vyeo vikubwa serikalini, ni maprofesa, n.k. mfano mdogo tu ni mbunge wa Mbeya hapo, Tulia Mwansasu.
Lakini ni wauza "K". Umalaya hauna kisomo. Hata mama yako aweza kuwa alikuwa malaya na ukazaliwa wewe
 
Mbeya ni kama Dar es Salaam ambayo ni Makao Makuu ya nchi na Wazaramo wamesogea pembeni na makabila yote ya nchi hii yako hapa.

Vivyo hivyo hata Mbeya makabila yote ya mkoa wa Mbeya na mikoa jirani yamesogea mjini na Wasafwa wamesogea pembeni.

Kiuchumi tusidanganyane kwa sasa Mbeya kwa kuwa Wanyakyusa na Wasafwa wote wako level moja. Kabila lenye uchumi Mbeya ni Wakinga.

Ila tatizo la Wanyakyusa bado wamekariri historia kudhani kuwa wako JUU kushinda makabila mengine. Siyo kweli ni choka mbaya tu pia
 
Si walikuwa wanakimbia shule,wamisionari waliwaletea elimu wakawa wanachoma moto majengo,mwisho wakapeleka elimu Unyakyusani.Kazi kunywa pombe tu,labda kulima ndio wanajua
Kuweka maelezo sahihi ni kwamba, Wasafwa walipinga ukoloni na mambo yake yote. Kumbuka ukoloni uliambatana na ujenzi wa shule, Mahakama, ukulima wa mashamba makubwa (ardhi walipokonywa wenyeji) nk. It is not surprising kwamba Wachagga waliokubali ukoloni walielimika Mapema kuliko Wapare, Wahaya walielimika mapema kuliko Wanyambo na Wahangaza nk. The same kwa Wanyakyusa, waliukubali ukoloni mapema kuliko Wasafwa. Kabila gani halinywi pombe labda?
 
Majina ya koo za kisafwa ndo kama yapi wakuuu...huwa siwajui kabisa....
Ukisikia majina haya, jua ni Wasafwa, ingawa mengine machache kama Mwaipopo yanaingiliana na majirani zao Wanyakyusa
  • Mwalyego
  • Silinjaje
  • Ngobhe
  • Mukeya
  • Mukinga
  • Tuyagaje
  • Tuyangine
  • Mwaifwani
  • Nzunda
  • Ndele
  • Mengo/Mwamengo
  • Nyalile
  • Mwangunda
  • Mwamboneke
  • Mwambabe/Mbambe
  • Nsunye
  • Mwanjanye
  • Mahinya
  • Mlozi
  • Sijabaje nk.
 
Wasafwa nao wajitutumue kujitangaza tamaduni zao.

Wasitegemee watu kutoka nasaba nyingine kuwabeba. Wajibebe
Huwa wanajitangaza sana nowadays. Ingia youtube tafuta Awilo wa Mbeya ama Wamwiduka Band, hawa ni waimbaji wa nyimbo za Kisafwa ambao wametumbuiza mpaka Sauti za Busara, Bungeni Dodoma na matamasha makubwa makubwa ya ndani ya nchi. Mwaka juzi walikuwa na tamasha la utamaduni wao pale Makumbusho Dar. Video za tamasha hilo zipo YouTube.
 
Thank u....
 
Hili kabila ni watu wachafu ni wa ajabu ajabu huko mbeya wanamsemo afadhali mnyakyuza Malaya kuliko msafwa mchafu.
 
Mkuu upo sawa ila mambo mengi hujayaongelea.Nimeishi kwa wasafwa na wanyaki.
Ardhi nyeti ya uzalishaji imeshikwa na wasafwa na wakinga. Wakinga ndio wamiliki wakuu wa MISITU ya kupanda popote mbeya.
Ardhi ya uzalishaji chakula bado ipo kwa wasafwa. Wasafwa hupata hela kila msimu ila elimu ya utunzaji hela kama wakinga hawana.
Wanyakyusa ni watu wenye matamanio ya maendeleo ya vitu mfano kujenga magari, mavazi nk. Wamejitahudi sana kujenga nyumba nzuri kwa kipato cha kuunga unga cha ndizi, maharage, kakao, miti nk.
Wasafwa wanazalisha matani na matani ya VIAZI na mbao ila hela wananywea na kuhonga.
Elimu inayotakiwa kwa wasafwa sio ya shule bali ya ujasiliamali wa kutunza pesa. Kazi wanajituma sana ila shida ndio hio.
Wasafwa hawana makuu, wapo humble.
Kingine wasafwa hawapendi kusafiri mikoa ya mbali labda aende kama mfanyakazi lakini baadae hupanga kurudi Mbeya huwajazoea mikoa ya shida shida hasa isio na chakula kama Shinyanga Singida nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…