Historia ya wanyaturu


Sijui wewe ni nani uwapangie wao kitu cha kuamini

Waache na ardhi yao,waache na mila zao

Wewe unazo za kwenu,kama zenu ni bora ni zenu,na wao wanaona zao bora

Hakuna ustaarabu eti wa jamii fulani una hold superiority over the other!

Waache,fanya yako!

Natoka Moshi by the way!
 

Again,yale yale!

Yale yale ya kuona ustaarabu fulani ni bora zaidi ya mwingine which is nonsense...

Unatumia skewed lens ya kabila lako ku-view kabila jengine lisilokuhusu!

Ndio shida hizi ya jitu moja kujiona eti jamii yake yeye ndio staarabu na yenye mila bora zaidi ya jamii ingine!

Kuhusu umasikini sijui unatumia vigezo gani vyako wewe ulivyojiamulia kupima jamii zengine?!

Tuseme jamii ya United States of America sababu imeendelea economically ndio watu zaidi ya watu wakiopo Tanzania sababu tu hawana maendeleo ya kiuchumi?

Mpumbavu sana wewe!

Huwezi tukana the entire population ya jamii fulani kwa kutumia vigezo vya jamii yako wewe binafsi!

Upumbavu ulioje!
 
Nshatembea kila mkoa natamani ningejua nasaba yake nimpe nikijuacho maana angekuwa anajiweza ASINGEENDA KUISHI IKUNGI
 
πŸ˜‚ .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…