mchumia tumbo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2012
- 1,458
- 471
Wimbo wa Tanganyika ni upi mkuuWimbo tunao wa tanganyika ila ulitakiwa kubadilishwa lakin julias k nyerere ndie aliamua kuubadilisha kwa makusudi kwa sababa zake mwenyewe fatilia mtunzi wa nyimbo hiyo alikua ni mtu gani? Alafu utajua
Niliwahikuambiwa Moses Nnauye alikuwa na kipaji cha mziki ndio maana pia mwanae Nape Nnauye pia ni mpigaji mzuri wa vyomboNa Tanzania Nakupenda si wimbo wa Taifa, lakini ni moja kati ya nyimbo zinazoheshimika sana nchini, kuufuatia wimbo wa Taifa. ..Nakumbuka pale uwanja wa Taifa wakati wa Maombolezo ya kitaifa ya Mwalimu wimbo huu uliwaliza asilimia kubwa ya viongozi pale jukwaani..Kuna wakati nilipata tetesi kuwa ulitungwa na aliyekuwa Mwanasanaa Mahsusi hapa nchini, Marehemu Kanali Moses Nnauye!
Huo wimbo wa Tanganyika ndio upi??Wimbo tunao wa tanganyika ila ulitakiwa kubadilishwa lakin julias k nyerere ndie aliamua kuubadilisha kwa makusudi kwa sababa zake mwenyewe fatilia mtunzi wa nyimbo hiyo alikua ni mtu gani? Alafu utajua
XhosaKabila gani?