Historia ya Wimbo wa Taifa wa Tanzania na mtunzi wake

Ahsante sana nilijiuliza sana kipindi cha mashindano ya CECAFA nilipoona Zambia wanatumia melody kama yetu ila nikashindwa kuelewa duh ahsante sana.
 
Vipi kuhusu Spain, nasikia nayo haina wimbo wa taifa!!
 
nimejifunza jambo hapa,asanteni sana wadau,kweli JF ni kisima cha elimu
 
mwenye nayo atuwekee hapa hiyo melody ya SA na huo wa zambia tuziskie

Si lazima mwenye nayo atuwekee hapa.Unaweza kirahisi ku google na kama hukuukuta basi ujue taarifa iliyowekwa ina kasoro.
 

Wakati nasoma Uganda abt 15 yrs ago sikupata shida kukariri wimbo wa uganda ila ni kuwa huwa wanaimba beti moja tu mara nyingi hawaumalizii
 
hahaha,nchi yetu inaelekea kubaya sana...
Kweli kabisa maana kitu kikiwa ni cha kiasa hata kama ni cha maslahi ya Taifa kuna wadau wanaki-link na vyama viwili vyenye upinzani wa karibu kwa sasa alafu kikiwa kwenye hali flani ya kimungumungu wanaanza kuangalia tena kwa style ya mdau uliemjibu comment
 
Ndugu zangu naomba kujifunza nifaham haya. Nani alitunga wimbo wa Taifa letu; mbona unafanana na Zambia na South Africa? Pia nani mbunifu wa jina la "Tanzania" baada ya muungano.

Je kulikuwepo na wimbo wa Tanganyika?
 
Samahan wakuu naomba kuuliza nani mtunzi wa wimbo wetu wa taifa na katunikiwa nn?nategemea majibu mazuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…