Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Nina umri was miaka kadhaa sio teenager tena ni mtu mzima flan ila napenda chini na kwa imani yangu mambo magumu mno.
Niliachwa wkt nikiwa college, niliteseka Sana, nilikuja kugundua asb kumekicha. Wanawak chuo ni wengi TU hats sielewi Kwa NN Binti wa kinyaturu akanitesa mtoto was watu.
Niliachwa na mke wa mtu. Sjateseka sana japo nilijitafakari mambo mengi sana. Huyu mwanamke alinipenda mwenyewe sijui ninini kilimkumbusha mumewe alimwaga na bahat mbaya akawa ananipakazia Kwa wanaonijua.
Mwandiko wa mtu mwenye stress...