Nina umri was miaka kadhaa sio teenager tena ni mtu mzima flan ila napenda chini na kwa imani yangu mambo magumu mno.
Niliachwa wkt nikiwa college, niliteseka Sana, nilikuja kugundua asb kumekicha. Wanawak chuo ni wengi TU hats sielewi Kwa NN Binti wa kinyaturu akanitesa mtoto was watu.
Niliachwa na mke wa mtu. Sjateseka sana japo nilijitafakari mambo mengi sana. Huyu mwanamke alinipenda mwenyewe sijui ninini kilimkumbusha mumewe alimwaga na bahat mbaya akawa ananipakazia Kwa wanaonijua.
Ipo shida mahali[emoji23]Nina umri was miaka kadhaa sio teenager tena ni mtu mzima flan ila napenda chini na kwa imani yangu mambo magumu mno.
Niliachwa wkt nikiwa college, niliteseka Sana, nilikuja kugundua asb kumekicha. Wanawak chuo ni wengi TU hats sielewi Kwa NN Binti wa kinyaturu akanitesa mtoto was watu.
Niliachwa na mke wa mtu. Sjateseka sana japo nilijitafakari mambo mengi sana. Huyu mwanamke alinipenda mwenyewe sijui ninini kilimkumbusha mumewe alimwaga na bahat mbaya akawa ananipakazia Kwa wanaonijua.
N vita murwaaaa..Unachapwa mbele unachapwa na nyuma sijui itakuaje ?
[emoji23] Nimetoka kapa.Usifanye mchezo na kuachwa ni hatari sijui hata kaandika vininiEbu nieleweshe kama wewe umeelewa....[emoji1787]
yani nimeelewa kichwa cha habari tu hapo,kuingia ndani amna kitu nikajua kweli kaachwa😂😂[emoji23] Nimetoka kapa.Usifanye mchezo na kuachwa ni hatari sijui hata kaandika vinini
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]yani nimeelewa kichwa cha habari tu hapo,kuingia ndani amna kitu nikajua kweli kaachwa[emoji23][emoji23]
kwa jinsi alivyoandika anaonekana bado ana wenge la kuachwa na mnyaturu wake.Ebu nieleweshe kama wewe umeelewa....🤣
Wapi hukoThank you Eid mubarak to u.
Njoo kule 🙄
UnapajuaWapi huko