Historia Yangu yenye kujaa ukakasi na uhusiano wangu na Member huyu wa JF

Historia Yangu yenye kujaa ukakasi na uhusiano wangu na Member huyu wa JF

Una ji expose. Hasira zinakuwaka unatoa povu sehemu zako zote za wazi. Itakuwa ulinyonywa ulimi na mudi ukiwa mdogo kisha akakuoa ukiwa na miaka 6. Una hasira sana bwabwa la kitanga. Ndo ukajiita Tanganian? Na shanga unavaa? Ukivaa gauni lako au kipedo tayari unajiona bi Aisha.
Unatumia sana nguvu mshirikina wewe ,unalazimisha kutunga stori za uongo🤣🤣🤣

We dogo endelea na stori zako za punyeto!
 
Sipo hapa kukushawishi, bali kutaka uniambie hiyo aya ya kurani inazungumza nini..!!
"""Lakini aliye fikiwa na dharura bila ya kutamani wala kupita kiasi, yeye hana dhambi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu""

Umeelewa hapo lakini.... Bila kutamani... Hiyo aya imetafsiliwa na wana zuoni na kusema hapo ni katazo kwa ujumla kwa dunia ya sasa haitokuja tokea kitimoto kuwa kitu cha kula kwa dharura
 
Haya malizia stori hiyo tuone ukakasi na member wa JF, na ole wako uwe ulipita na member mwingine kitawaka humu ndani uzuri JF nzima inajua mimi ndio mama mtoto wako.
🤣🤣🤣🤣 Unataka kuniwashia moto? Siku hizi nmebadilika sana. Nmekuwa mpole
 
Nmekaa na watu wa aina mbalimbali. Nimefanya kazi na Wazungu, Wakristo, Waislamu, Waarabu, Wahindi, Wachina kidogo, Wajapan na wasio na Dini.

Nlipenda sana kujifunza kuhusiana na hizi Dini kuu mbili. Ukristo na Uislamu. Mzee wangu alipenda sana tushike Dini. Ingawa yeye alikuwa msomi kiasi flani. Lakini kipindi kile vuguvugu la Dini limepamba moto na ile Agenda ya kuibadili Tanzania iwe ya Kiislamu.

Mzee alikuwa akifuatilia sana. Kama mnakumbuka wazee wenzangu sakataka la OIC na mapesa ambayo Ghadaffi Marehemu alikuwa akitoa.... Mzee alifanikiwa kuwa kwenye kamfumo ka kuzipiga zile pesa na masheikh wengine na ma al hadj ambao sitawataja. Wengine ni marhamu.

Nlimaliza kidato cha nne na division 3 nikarudi kitakaa nikakuta wengi kitaani wamechoka wameingia kwenye ngada na wengine wamebaki kwenye bhangi. Sisi miaka yetu tulikuwa tunavutia huku Makuburi au Mwananchi. Sema mimi akili nlikuwa nayo. Wenzangu nliowaacha waliendekeza sana bangi na kupiga mchiriku. Nilikaa miaka 2 home nazuga zuga tu kabla ya mzee kuamua tena kunipeleka kusoma shule hiyo ya "Kikafir" alivyokuwa anasema mwenyewe.

Shuleni kiukweli hatukutengwa sema sisi watoto wa Dar tulikuwa much know sana. Shule ilikuwa chini ya Kanisa la RC. Nakumbuka yale mateso waliyokuwa wanapata njuka/salamander miaka hiyo ndo nlishangaa zile shule za sekondary zilikuwa kama jeshi. Pamoja na kuwa ni ya Kanisa bado ubabe ulikuwepo. Na ilikuwa huwezi enda semelea kwa Maburuda au walimu maana ungeonekana mchekea kama watoto wa Kitanga.

Nlimaliza na kupata Division 3 tena. Nikarudi kitaa. Lakini nlikuja kupata Degree mwaka 2006 na kuajiriwa NSSF kwanza. Nachoshukuru katika waliokuwa na vyeti fake mimi sikuwepo maana nlikuwa na Diploma ya Business Admin na nikaja soma Degree baadaye.

Nlianza kukengeuka katika imani nikiwa chuo. Nlipenda sana kusoma na kufikiria. Hapo ndipo nlipoanza kuona Waarabu kuna mengi sana walitudanganya. Na kibaya nikimuuliza mzee alikuwa anakuwa mkali sana. Hatujadiliani ananitukana nimeanza kuwa kafir na kujuta why alinipeleka shule hizo. Mgongano na mzee ukawa mkubwa sana. Mi nikakata hata mguu kwenda Kimanga Mji Mpya. Nikawa nmehamia Kinondoni.

Kipindi hicho nmebadilika sasa nami msomi so washkaji wa kitaa wengi nilipoteza. Nikiwa Kinondoni nilianza ishi maisha ya kujirusha sana. Kule Tanganians ni wengi sana ( wanaume chakula barafu/wanaume poa) lakini mijishangazi nayo ipo.

Siku moja nipo kijiwe flani jioni napiga zangu msosi nikalale akaja mtoto mzuri shombembe. Akakaa pembeni yangu. Amekaa mara akaanza kuwa kama analia kwa kwikwi... Mi nlimwona toka anaingia. Ana msambwanda wa haja kiuno nyigu. Kama lile lijimama flani la miaka ile la kiarabu lilikuwa maarufu likaondoka kwa ngoma. Acha mama mingoi. Lile lilikuwa linacheza sana Taarabu. Jina limenitoka.

Basi nikajiwa na huruma nikasogea mezani pake na kuuliza kulikoni. Yule mdada aliendelea kulia akisema ni bora afe tu... Nikambembeleza sana ndo mwishowe akasema yeye ni muda hana mume alishaachika. Akaamua aishi peke yake akifanya biashara za nguo kutoka zanzibar kuleta Dar. Last week mzigo wake umekamatwa na TRA , amepambana sana. Mwishowe umetaifishwa na ulikuwa mzigo wa Milion 19 miaka hiyo. Sasa amekata tamaa.

Nikambembeleza sana. Akajilegeza nikamwomba apate angaa msosi na kinywaji. Akaaomba nimwagizie. Basi nikaagiza kuku kienyeji choma nusu na ndizi kinywaji akasema anataka Safari. Aaaah.... Hatukuchukua muda akaagiza tena na tena. Akachangamka nami nikachangamka kuwa leo naenda pelekea moto chotara la kiarabu.

Mida ikaenda tukakubaliana sasa twende ghetto. Si haba nlikuwa na chumba na sebule ila choo cha nje. Nyumba nyingi Kinoclan miaka ile zilikuwa za kiduanzi sana. Lilikubali kwenda nami kwa sharti kuwa nisilifaanye kitu kabisa maana lipo kwenye majonzi. Na limeniona mimi mstaarabu. nikawa nasema tu tawile, tawile mama, tawile.

Nami moyoni nasema mstaarabu wa nyoko. Yaani mbuzi kaja kufia kwa muuza nyama nikamzike? No way. Nlijua zile zilikuwa mbwembwe tu nikifika naye room hachomoki.

Kweli tunatoka tuite taxi likaniambia hapana. Hatuwezi enda kwangu. Kama vipi tukalale lodge. Na mimi sifahamu lodge Kinoclan. Nikachekecha. Likasema kuna sehemu huwa linaona kula lodge twende huko.

Tukachukua taxi mitaa ya karibu na chuo cha open. Tukaelekea sehemu husika. Moyoni nawaza nitakavyoligegedua lijimama. Lenyewe limenilalia kifuani. Mimi kitu kinasoma 5G hata akili za kubeba condom sina. Nasema tu toto kama hili unalipelekea na live wire no cover umeme uwe mkali.....

Tukafika lodge husika. Ina ghorofa tukachukua room ya chini. Tumeingia ndani tukaanza vua nguo. Lenyewe wakati huo linahangaika kutaka kwanza enda oga.... Kama baada ya dka 15 tukiwa tunasumbuana sumbuana mi nataka kwanza nipunguze wese angalau kimoja. Linasema hapana kwanza.

Mara nakuja sikia mlangoni... 'K*amayo we mse** fungua mlango.... Mlango unagongwa kwa hasira kinyama.....

Nitaendelea...

Saa 7:30 usiku naombeni nipumzike kidogo.

trudie Kalpana ephen_
Ukwelinasema
 
3e6afa94-02ee-44ff-b635-1e71c6ebd1b5.jpeg
 
Back
Top Bottom