Upimaji huo wa faida na hasara haiondoi ukweli kwamba kuna madharaTunapima faidia na hasara
Nyuzi zake za nyuma zinajieleza na nina Screenshots zake akitukana Uislamu na Kuna nyuzi zake nyingi akiigiza kuwa Muislamu kwa malengo ya kutaka Waislamu watukanwe na Wenye tabia hii humu wapo wengi tu.
Ameita wenzake Makafiri kwa malengo ya kupandisha hasira na kuwachokoza watu wa upande wa Kikisrto kushambulia Waislam anajua kabisa akiifanya hivyo atachochea Fujo na ndicho anachopenda ukirefer nyuzi zake na tabia zake.
Na watu wameshaMScan na kugundua ID yake nyingine ni ile Komeo Lachuma sasa vuta picha akili za Komeo ni mtu wa sawa humu ? Vilevile mada za Komeo na huyu chizi sawa sawa .
Ukiwa mjinga Kiasi hiki haustahili kujibiwa.Unatafuta wanaume kwa nguvu. Inaonekana unatamani sana nikuoe? Haya kama mlikaa mkakubaliana kuwa huyu ni mimi siwezi wakataza. Mimi nitaendelea kuelimisha watu humu kuhusiana na mtuwe wao Pedophile, mzinzi, laghai, jambazi na muuaji.
Ukiwa mjinga Kiasi hiki haustahili kujibiwa.
Kwa hiyo Waislamu wanaoishi na kuyatumia majini kwa faida yao hawafai kuwa kwenye hiyo diniKumbe Baba yako alikuwa mganga wa kienyeji, acha kusema alikuwa muislamu mzuri. Muislamu mzuri hawezi kuwa mganga au hawezi kuongea na majini. Mimi ni musilamu na siwezi kuongea na majini na wala siwezi kuwaona. Ni wachawi tu ndio huweza kuwasiliana na majini. Wachawi hawaendi peponi.
Umejitahidi sana kupambana na uislamu lakini vipi umefanikiwa kiasi gani mpaka sasa? Nakuhakikishia utakufa na utauacha uislamu kama ulivyo.
Hapa unadhirihirisha jinsi gani kilaza .Bwabwa umenijibu halafu unasema hujanijibu... Muendelee kukaa vikao mkubaliane nina IDs ngapi na mziweke hapa watu wazifahamu. Mimi ntaendelea kuwashona tu mpaka mkaze masaburi yenu. Na pia mpate ilimu duniya
Hiyo ni haramu kabisa imekatazwa katika dini ya uislamu. Na anayefanya hayo mambo anapata dhambi.Kwa hiyo Waislamu wanaoishi na kuyatumia majini kwa faida yao hawafai kuwa kwenye hiyo dini
Mbona mnatuchanganya. Kuna wenzenu wanasema mmeruhusiwa kuyatumia na ni moja ya viumbe vya majini alivyoambiwa Adam avitawale?Hiyo ni haramu kabisa imekatazwa katika dini ya uislamu. Na anayefanya hayo mambo anapata dhambi.
Nani amesema tumeruhusiwa kuyatumiaMbona mnatuchanganya. Kuna wenzenu wanasema mmeruhusiwa kuyatumia na ni moja ya viumbe vya majini alivyoambiwa Adam avitawale?
Waislamu huwa wanasema. Mfano hao SharifNani amesema tumeruhusiwa kuyatumia
Kumbe ni waislam na si UislamWaislamu huwa wanasema. Mfano hao Sharif
Ndugu yangu ukitaka kuujua Uislamu wewe soma Qurani. Uislamu ni dini njema iliyokamilika ila waislamu ni binadamu wanaofanya makosa. Mambo yanayofanywa na waislamu haimaanishi ndio Uislamu unasema hivyo.Mbona mnatuchanganya. Kuna wenzenu wanasema mmeruhusiwa kuyatumia na ni moja ya viumbe vya majini alivyoambiwa Adam avitawale?