Historia Yangu yenye kujaa ukakasi na uhusiano wangu na Member huyu wa JF

Historia Yangu yenye kujaa ukakasi na uhusiano wangu na Member huyu wa JF

Ulikuwepooo? How come useme sio muislam....
Why aite wenzake makafiri..
Nyuzi zake za nyuma zinajieleza na nina Screenshots zake akitukana Uislamu na Kuna nyuzi zake nyingi akiigiza kuwa Muislamu kwa malengo ya kutaka Waislamu watukanwe na Wenye tabia hii humu wapo wengi tu.

Ameita wenzake Makafiri kwa malengo ya kupandisha hasira na kuwachokoza watu wa upande wa Kikisrto kushambulia Waislam anajua kabisa akiifanya hivyo atachochea Fujo na ndicho anachopenda ukirefer nyuzi zake na tabia zake.

Na watu wameshaMScan na kugundua ID yake nyingine ni ile Komeo Lachuma sasa vuta picha akili za Komeo ni mtu wa sawa humu ? Vilevile mada za Komeo na huyu chizi sawa sawa .
 
Kafiri wewe
Unatafsir aya hovyo ujui unachosema kabisa..
Kwa sasa sehemu gani dunia utakuna na hali ngumu ya kufanya ww ule nguruwe...

Nyie ndio mnapotosha watu
Ungeeleza basi hiyo aya inasema nini kuhusu NYIE WATAKATIFU MSIO MAKAFIRI na ulaji wa ulaji wa huyo nuruwe..!!
 
Back
Top Bottom