Historia Yangu yenye kujaa ukakasi na uhusiano wangu na Member huyu wa JF

Historia Yangu yenye kujaa ukakasi na uhusiano wangu na Member huyu wa JF

Acha ukafiri hivi ww ni muislam wa aina gani anafurahia nguruwe hivo huogopi dhambi
Unamzungunmzia nguruwe yupi??? Huyu huyu ambaye mmeambiwa mambo yakiwa magumu kuleni tu au mwingine???

Quran 2:173 na Quran 6:145

Inasema ukila NGURUWE kama sehemu hiyo uliyopo haina chakula cha mbadala basi Sio dhambi , Yaani Allah kakataza kula Nguruwe anasema ni haramu wakati huo huo anasema tena ukila pasipo matamanio yaani kama hakuna chakula cha mbadala sio dhambi na allah Yeye mwenyewe atakusamehe..!!
 
Kwa mujibu wa stori yako Baba yako alikua ni mshirikina ila kajificha kwenye swala 5 kwahiyo hata wewe kuritadi na kuwa kafiri haiwezi kuwa ajabu
Anasogeza agenda very smart 🤓
 
Huyu jamaa nilimchallenge akanifuata inbox na ID yake la komeo la chuma 🤣🤣🤣,kama mara 2 hivi ...Mwishoe akaniblock🤣🤣
Kumbe huyu jamaa ndie Komea ! ndio maana ujinga na mada zao zinafanana sana.
 
Back
Top Bottom