Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Kwann niogope wakati wengine wanafurahia uzinifu na uasherati??Acha ukafiri hivi ww ni muislam wa aina gani anafurahia nguruwe hivo huogopi dhambi
Kwann niogope wakati wengine wanafurahia uzinifu na uasherati??Acha ukafiri hivi ww ni muislam wa aina gani anafurahia nguruwe hivo huogopi dhambi
Angalia stori zake ,najua kaenda kublock profile yake ...Huyu bwana , content zake ni kufanya lolote lile ili kupambana na uislamu ,ana ID nyingi humu ...Ukitia hizo basi ni contents za ngono tupu.Weka ukweli wako hapa, mfano amesema amezaliwa 1970, ukweli wako ni upi?
Nataka mtu wa kunifundisha diniAcha ukafiri hivi ww ni muislam wa aina gani anafurahia nguruwe hivo huogopi dhambi
Adhabu ya kuzini na kula nguruwe tofauti ujueKwann niogope wakati wengine wanafurahia uzinifu na uasherati??
Mashallah mashaallahNataka mtu wa kunifundisha dini
Kafir mwenzangu hujambo? Mi mbona nalipenda hilo jina na sijawahi lichukia. Nimesoma na naelewa. Wewe Kafir mwenzangu unasemaje?Naona unalia sana ,kuna siku uliitwa hivyo mpaka leo roho inakuuma
Bora uitwe shoga kuliko kafiri🤣🤣tabia za kuliwa umeshazoea ..Kinyeo kimeshazeeka hiko.
Tutachomwa wote moto,, full stopAdhabu ya kuzini na kula nguruwe tofauti ujue
Ahahaha hapana uwezi chomwa moto kwa kuziniTutachomwa wote moto,, full stop
Asante sheikh, nitasoma vipi sasaMashallah mashaallah
Karbu mkuu
🤔😩Ahahaha hapana uwezi chomwa moto kwa kuzini
Unachangia 5k kila siku jioni nakupa darsa kwenye group letuAsante sheikh, nitasoma vipi sasa
Watu wa aina yetu huwa hatupewi uongozi. Ni ngumu sana ndugu yangu.Hadi hapo ulipo hadithia ni kwamba ukipata nafasi ya kuwa kiongozi utakuwa ni kiongozi mzuri sana kwa sababu
1. umesema umekaa na wahuni lakini wewe hukuwa muhuni. Namaanisha unajua sababu zilizofanya wenzio wawe wahuni na solution kwao unayo ukipata platform nzuri.
2. Pili umesema ulikuwa unasoma kwa reason. hiyo reason umekufundisha uliyokuwa huyajui na imebadili fikra zako kuhusu maisha na ndiyo kitu kikubwa katika kusoma kwetu au kupelekwa shule.
3. Ukipata nafasi ya kuwa kiongozi mzee wako atapata shida siku za mwanzo sababu mtakuwa na mitazamo tofauti kuhusu watu na maisha kwa ujumla.
Nitaendelea ngoja niishie hapa.
Hongera sana kwa kutupa uzoefu wako kuhusu maisha na dini zetu. Hongera sana huzeeki bure bro miaka 55 sasa.
Umekosa hoja, umeshindwa kusema uongo upi kasema, umeshindwa kuweka kweli yako.Angalia stori zake ,najua kaenda kublock profile yake ...Huyu bwana , content zake ni kufanya lolote lile ili kupambana na uislamu ,ana ID nyingi humu ...Ukitia hizo basi ni contents za ngono tupu.
Kiufupi ni mkristo asiyefanya yake ila yuko busy kupambana na uislamu ,kitu ambacho ni kupoteza tu muda .
Elfu tano ya nyoko 😏Unachangia 5k kila siku jioni nakupa darsa kwenye group letu
jf hatubishani kwa umri au cheo tunabishana kwa hoja.1970 kazaliwa bimkubwa wangu nae kapishana mwaka mmoja na mzee.....humu ndani unaweza kubishana na baba yako mzazi kabisaa
Jf watu wanaishi maisha yao halisi.50+ mbona nyuzi zako kama za pre form 1? Humu unaweza bishana na mtu kumbe ni dingi ako kabisa
makafir ndio kitu gani?sstory yake nimeishai njiani sisomagi nyuzi zenye udini na ubaguziNimezaliwa mwaka 1970, na kupata Elimu yangu ya Msingi hapa hapa Dar Es Salaam na Sekondary Nje ya Dar Es Salaam katika shule zinazomilikiwa na Makafir. Kiukweli ilikuwa changamoto kidogo kutokana na Mzee wangu kuwa ni mtu anayeshika sana Dini.
Kwa wale watu walioishi Kimanga, Mji Mpya watakuwa wanaufahamu Msikiti wa Ngunde. Mzee wangu alikuwa hakosi kuswali pale swala zote tano. Nakumbuka hata kipindi kile Sheikh Shariff Majini amekuja Kimanga mmoja ya watu ambao walisupport sana ile mihadhara alikuwa mzee wangu.
Mimi nmecheza mpira Uwanja wa Twiga nikichezea Twiga na akina Omary, Mluguru, Galabu n.k kwa wenyeji wa maeneo hayo watakuwa wanakumbuka.
Sheikh Shariff alifanya sana mihadhara ule Uwanja wa Twiga. Nilikuwepo kipindi hicho sehemu za mbele kabisa. Akina Mazinge watakuwa wananikumbuka pia sababu nlikuwa mtu wa imani sana. Mwaipopo na Abubakar. Hawa hawawezi nikumbuka.
Mzee wangu alikuwa ni mmoja ya wazee wenye kauwezo flani yale maeneo tukiwa na nyumba nzuri miaka hiyo yenye fensi. Na tulifanikiwa kwenda shule tofauti na wenyeji wengi ambao waliishia darasa la 7 au hawakumaliza shule. Sekondary O Level nlisoma ya Serikali na A level nikaenda ya Makafir.
Mimi nlikaa na wahuni... Ile mitaa ilikuwa na wahuni sana. Tukicheza mnanda, mchiriku n.k mpaka kipindi imekuja anzishwa team ya Begeju baada ya Twiga kuvunjika. Begeju ikawa ina wahuni wavuta bhangi na Twiga ya wastaarabu. Ilikuwa hizi teams zikikutana moto lazima uwake.
Leo hii nimefikaje hapa JF? Na wengi wananiona kama si Muislamu (nakubaliana nao) na huwa natamani sana niweze kuwa Mkristo ingawa bado sijaweza kuwa sababu ya aina ya maisha ambayo nimezoa na imani iliyonikuza. Huwa nawaambia watu mimi Role Model wangu kwa tabia zangu zote ni Muhamad. Huwa sitanii.
Lakini Elimu ilinisaidia sana kufunguka na kusoma kwa kureason hivi vitabu. Nlianza kusoma Biblia kwa lengo la kupata mistari ya kupotoshea Wakristo na kuwananga. Badala yake ikaanza kunifundisha vitu ambavyo vilianza kunifanya nione kuna maeneo mengi sikuwa sawa katika imani yangu ya awali.
Mzee wangu alikuwa anajua kuyaita majini na kuongea nayo. Alikuwa analetewa hata watu awapige kisomo na alikuwa na mambo mengi sana ambayo mimi yalikuwa yananitatiza. Lakini all in all alikuwa swala 5 na muislamu kweli kweli. Aliwachukia sana Wakristo na mara nyingi alikuwa akisema alitamani waondolewe wote Duniani. Hii ilikuwa inanishangaza. Nlisoma shule ya Wakristo. Tena RC. Nakumbuka ambavyo waliheshimu sana imani za sisi waislamu wachache.
Hatukuzidi 13 pale shuleni. Lakini walihakikisha hatulishwi nguruwe na vyombo ambavyo vinatumika kupikia Nguruwe havichanganywi na vya ujumla. Walitupa darasa la kuswalia. Walituheshimu sana. Mimi hili lilinipa shida. Sababu nlitamani tuchukiane wao hawakutuchukia wala kututenga. Walikuwa nasi vizuri tu. Ilinifanya nitake kujifunza Biblia. Sikujua ambayo ngekutana nayo huko mbele. Huwa najuta sana kwa uamuzi huo wa kusoma Biblia mpaka leo
Nitaendelea...