Historia Yangu yenye kujaa ukakasi na uhusiano wangu na Member huyu wa JF

Muongo huyo dogo tu ,ni wale wako ughaibuni hawana mbele wala nyuma ,kazi kuvaa makoti nakubwa na kujifanya watu wa hiphop

Sio muislamu wala hajawahi kuwa muislamu, ana ID nyingi humu ...Anajidanya mwenyewe.

Sawa dada wa kitanga. Mi nipo tandale kwa tumbo tu hapo nacheza bao asubuh to jioni. Na pia nina IDs 15 humu
 
Nimezaliwa mwaka 1970, na kupata Elimu yangu ya Msingi hapa hapa Dar Es Salaam na Sekondary Nje ya Dar Es Salaam katika shule zinazomilikiwa na Makafir. Kiukweli ilikuwa changamoto kidogo kutokana na Mzee wangu kuwa ni mtu anayeshika sana Dini.

Kwa wale watu walioishi Kimanga, Mji Mpya watakuwa wanaufahamu Msikiti wa Ngunde. Mzee wangu alikuwa hakosi kuswali pale swala zote tano. Nakumbuka hata kipindi kile Sheikh Shariff Majini amekuja Kimanga mmoja ya watu ambao walisupport sana ile mihadhara alikuwa mzee wangu.

Mimi nmecheza mpira Uwanja wa Twiga nikichezea Twiga na akina Omary, Mluguru, Galabu n.k kwa wenyeji wa maeneo hayo watakuwa wanakumbuka.

Sheikh Shariff alifanya sana mihadhara ule Uwanja wa Twiga. Nilikuwepo kipindi hicho sehemu za mbele kabisa. Akina Mazinge watakuwa wananikumbuka pia sababu nlikuwa mtu wa imani sana. Mwaipopo na Abubakar. Hawa hawawezi nikumbuka.

Mzee wangu alikuwa ni mmoja ya wazee wenye kauwezo flani yale maeneo tukiwa na nyumba nzuri miaka hiyo yenye fensi. Na tulifanikiwa kwenda shule tofauti na wenyeji wengi ambao waliishia darasa la 7 au hawakumaliza shule. Sekondary O Level nlisoma ya Serikali na A level nikaenda ya Makafir.

Mimi nlikaa na wahuni... Ile mitaa ilikuwa na wahuni sana. Tukicheza mnanda, mchiriku n.k mpaka kipindi imekuja anzishwa team ya Begeju baada ya Twiga kuvunjika. Begeju ikawa ina wahuni wavuta bhangi na Twiga ya wastaarabu. Ilikuwa hizi teams zikikutana moto lazima uwake.

Leo hii nimefikaje hapa JF? Na wengi wananiona kama si Muislamu (nakubaliana nao) na huwa natamani sana niweze kuwa Mkristo ingawa bado sijaweza kuwa sababu ya aina ya maisha ambayo nimezoa na imani iliyonikuza. Huwa nawaambia watu mimi Role Model wangu kwa tabia zangu zote ni Muhamad. Huwa sitanii.

Lakini Elimu ilinisaidia sana kufunguka na kusoma kwa kureason hivi vitabu. Nlianza kusoma Biblia kwa lengo la kupata mistari ya kupotoshea Wakristo na kuwananga. Badala yake ikaanza kunifundisha vitu ambavyo vilianza kunifanya nione kuna maeneo mengi sikuwa sawa katika imani yangu ya awali.

Mzee wangu alikuwa anajua kuyaita majini na kuongea nayo. Alikuwa analetewa hata watu awapige kisomo na alikuwa na mambo mengi sana ambayo mimi yalikuwa yananitatiza. Lakini all in all alikuwa swala 5 na muislamu kweli kweli. Aliwachukia sana Wakristo na mara nyingi alikuwa akisema alitamani waondolewe wote Duniani. Hii ilikuwa inanishangaza. Nlisoma shule ya Wakristo. Tena RC. Nakumbuka ambavyo waliheshimu sana imani za sisi waislamu wachache.

Hatukuzidi 13 pale shuleni. Lakini walihakikisha hatulishwi nguruwe na vyombo ambavyo vinatumika kupikia Nguruwe havichanganywi na vya ujumla. Walitupa darasa la kuswalia. Walituheshimu sana. Mimi hili lilinipa shida. Sababu nlitamani tuchukiane wao hawakutuchukia wala kututenga. Walikuwa nasi vizuri tu. Ilinifanya nitake kujifunza Biblia. Sikujua ambayo ngekutana nayo huko mbele. Huwa najuta sana kwa uamuzi huo wa kusoma Biblia mpaka leo

Nitaendelea...
Hadi hapo ulipo hadithia ni kwamba ukipata nafasi ya kuwa kiongozi utakuwa ni kiongozi mzuri sana kwa sababu
1. umesema umekaa na wahuni lakini wewe hukuwa muhuni. Namaanisha unajua sababu zilizofanya wenzio wawe wahuni na solution kwao unayo ukipata platform nzuri.
2. Pili umesema ulikuwa unasoma kwa reason. hiyo reason umekufundisha uliyokuwa huyajui na imebadili fikra zako kuhusu maisha na ndiyo kitu kikubwa katika kusoma kwetu au kupelekwa shule.
3. Ukipata nafasi ya kuwa kiongozi mzee wako atapata shida siku za mwanzo sababu mtakuwa na mitazamo tofauti kuhusu watu na maisha kwa ujumla.
Nitaendelea ngoja niishie hapa.
Hongera sana kwa kutupa uzoefu wako kuhusu maisha na dini zetu. Hongera sana huzeeki bure bro miaka 55 sasa.
 
Nimezingatia neno NITAENDELA...! lakini umerudi huendelei ila una kazi ya kujibu post za watu
 
Hadi hapo ulipo hadithia ni kwamba ukipata nafasi ya kuwa kiongozi utakuwa ni kiongozi mzuri sana kwa sababu
1. umesema umekaa na wahuni lakini wewe hukuwa muhuni. Namaanisha unajua sababu zilizofanya wenzio wawe wahuni na solution kwao unayo ukipata platform nzuri.
2. Pili umesema ulikuwa unasoma kwa reason. hiyo reason umekufundisha uliyokuwa huyajui na imebadili fikra zako kuhusu maisha na ndiyo kitu kikubwa katika kusoma kwetu au kupelekwa shule.
3. Ukipata nafasi ya kuwa kiongozi mzee wako atapata shida siku za mwanzo sababu mtakuwa na mitazamo tofauti kuhusu watu na maisha kwa ujumla.
Nitaendelea ngoja niishie hapa.
Hongera sana kwa kutupa uzoefu wako kuhusu maisha na dini zetu. Hongera sana huzeeki bure bro miaka 55 sasa.
Angalia nyuzi zake ,jinga hilo halina mbele wala nyuma ..Ni shoga linanifuata sana inbox .
 
Makafiri, 😩😩

Hili limeniliza sana,

Hili limeniumiza mno,

Katika nyuzi nilizoumia, huu umeniumiza,,

Hivi hizi dini, Yaan unatamani mkristo asiwepo kisa kutokufuasa Allah?

ama waislamu wasiwepo kisa hawaamini kwenye neema na wokovu ? Aseeh binadamu tuna shida mahali

cc Kiranga Infropreneur min -me

Haya tunaoamini kwenye Imani

Uislamu umekamilika Mash'Allah 😍 cc Poor Brain Busu la Kenge kipenzi chetu Hussain Ali akiutetea 🥺 💔,
Haya kwenye neema na wokovu cc Setfree Meneja Wa Makampuni

Haya kwenye jopo la udaku

trudie Mrs none Binti wa zamani
Ukomavu ni kuvumilia jambo bila kuonyesha umekwazika. unajiumiza bure. Potezea maisha yaendelee
 
Kwanini unaita watu kafiri waliokusomesha pumbavu we kobazi.
Mbona husemi ulifundishwa ushoga huko madrasa.
Usituletee ujinga hapa.
 
Back
Top Bottom