hasason
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 1,648
- 1,539
Hawa wanaojiita atheists naomba niwaambie sio kila kitu mzungu anachowadangaya na nyie mnadanganyika kwa bei ya peremende unajua kabla hujakubali au kukanusha jambo unatakiwa ujirithishe kwa facts.
ni ulimbukeni kwa mtu especially muafrika kupinga hakuna spiritual beings beyond physical realm kwanza kwa research fupi na rahisi ya terminologies zinazoelezea spiritual deities na discourses zake.
nataka niseme hakuna old terminologies zilizotumika na ancients hadi sasa ziko zisizo na maana tokea karne na dahari kulikuwa na maneno kama ''mungu'' ''roho'' ''majini'' ''pepo'' ''kuzimu'' ''mbingu'' ''shetani'' na mengine lukuki ambayo yanahusiana na vitu vya kiroho.
Haitawezekana hata siku moja mfanano huu utokee kwa all mankind lifestyles na culture alafu useme ni fiction to all generations and races never.
Zipo lugha nyingi duniani ambazo hazina huu msamiati wa ''atheism'' ikiwemo kiswahili naomba usichnganye na Upagani au Paganism mpagani ni mtu asiyehuthuria congregations zozote lakini anaamini kuna Mungu unaweza kumkuta anaenda kwa waganga na kusoma nyota.
huwezi kusema lugha zote duniani maarufu na zisizo maarufu [native tongues] zinayo haya maneno yametokea kwa bahati mbaya uki trace haya maneno kwenye articles utakuta yalikuwepo tokea mwanadamu alipokuja juu ya uso wa nchi lakini uki trace atheism hili neno limekuwa popular baada ya philosophies na theories za Darwinism atheism and the like nayo ni karne ya 19 awali hivi vitu havikuwapo.
Nasema ni mshutuko kwa mwafrika kusema hakuna spiritual realm kutoka na history na life style ya waafrika anzia South Africa mpaka Libya njoo Somalia mpaka Liberia kote miaka na miaka wapo waganga wakienyeji wasoma nyota tena hapa tunayo records nzuri ukienda Mali Timbuktu waafrika tunajivunia kwamba ndicho chuo cha kwanza duniani na wasomi wa
dunia wanaamini hivyo lakini hicho chuo kilikuwa kinahusu mambo ya falaki au unajimu sana majini na mambo mengi ya kiroho pia Egypt ndio nchi iliyokuwa na high standard of civilization 700 and 500 BC juu ya uso wadunia lakini walikuwa na Elite waliosababisha mafanikio makubwa kama hayo nao ni scribes, astronomers[hawa sio apollo bali ni wanafalaki] architects, mathematicians and artisans, administrators, priests [waganga/wachawi] hawa wote ndio walio establish the Ancient Egyptian society mpaka wakajenga pyramids ambazo America wamiweka katika dollar bill nembo ambayo haina uhusiano kabisa na historia ya marekani bali Egypt.
Unaweza ukasema ipo lugha[maneno] rasmi yanayotumika katika mamlaka kama serikalini mahakamani taasisi za kielimu ambayo yana discourse au facts pale yanapotamkwa ni tofauti kabisa na maneno ya mitaani kama euphemisms au ironic words ambayo mara nyingi haya huongelewa na mob ambayo maisha yako huwezi kuyakuta yameandikwa kwenye official reports au Governmental documents kwani huko huandikwa kitu na kutambulika rasmi baada ya kujulikana basis na factual za maneno hayo.
Ninachotaka nikujengee hapa ni namna neno God linavyotumika kwenye nyaraka za serikali na vitabu vya imani ambavyo vyote hivi vinahusiana na mabo ya kiroho vinavyotumika na serikali ambayo inatazamwa na wananchi kama the highest level ya educated factual intelligent and sophisticated knowledge govern the rest refer Pilate Theory.
Nakuja kwa waafrika kwani nazungumza nao kwa namna waganga wa kienyeji na wachawi [samahani hawa ntawatumia sana kwani walikuwa kabla ya biashara ya utumwa na ukoloni] historia na makumbusho unaweza kwenda na kukuta picha moja inamuonesha mama mmoja huko bagamoyo mganga wao wanauita ''fundi'' akimpndisha mtu marohani ikumbukwe hapo makumbusho.
unaweza kusema hawa waganga ni matapeli lakini je huo utapeli ulianzwa enzi za mababu mpaka sasa upo na sio afrika bali dunia nzima inakuwaje kwani duniani pote hakuna sehemu utakayokosa mambo ya kichawi pote chunguza utaona na yapo hata kabla ya uvumbuzi wa meli gari au Internet yani kabla ya muingiliano wa kiutamaduni kwa namna yoyote ile je nayo ni fiction?
Atheist wanapinga uwepo wa Mungu lakini ''wanaamini'' BIG BANG nikikuuliza unaweza kunipa proof ya big bang kwamba imetokea wapi na nini sababu zake na kwa nini itokee watakosa la kukwambia ila watasema wanaamini yani hujawahi ona lakini labda niwaambie maana ya IMANI kwamba ni kuwa na hakika na mambo yatarajiwayo [au yaliyokwisha kuwako] ni bayana ya mambo yasiyoonekana. Hivyo kwa tafsiri hii kuamini kuwa kulikuwa na big bang ambayo hujawahi ona ikitokea hiyo ni imani.
Hutakuwa na tofauti na anayemuamini Mungu ambaye hajawahi muona hivyo atheism ni imani kama imani nyingine ila imani hii inaamini katika bigbang na sio Mungu ila wako watu pia wanaoamini jua ng'ombe mwezi nyoka mti n.k lakini sio Mungu hivyo hawana tofauti na atheist.
Darwin anasema binadamu ni advanced apes facts zake zimebase kwenye environment [phenotype] kitu ambacho hakiwezi kubadilisha genes za kiumbe na kuathiri traits za kiumbe genetipycally huwezi kusema a certain type of gas or physial condition an affect the genes of an organism completely and left others unchanged.
ni wazi tunaelewa traits za binadamu zinaamishwa through genes from ancestor to his descendants hizi traits ni body morphology, skin color, aye color, tallness, tongue rolling, early baldness, diseases, albinism, blood type, sex, etc.
ni kitu kisichokaa kiwezekane phenotype ikaathiri genotype code hata siku moja na hii ni nature ya viumbe wote.
Kwa namna technology ilivyopanuka kwa sasa tungeweza kutengeneza mazingira yaliyowafanya apes kuwa mwanadamu katika eneo/chumba fulani tuka apply hizo gases na all conducive environment zilizopelekea mabadiliko yote ya mwanadamu then tukachunguza mabadiliko yatakayojitokeza lakini sio kwamba haijafanyika shida ni kutangaza matokeo litakaloathiri brainwashed all over the surface kwani watajua Darwinism ni Vanity and nullity hauwezi ku prove lakini wanaamini then wanapinga dini wakati wote tunaamini nguvu fulani ya tofauti sema tunatofautiana mtazamo.
Conclusion ni kwamba hakuna Atheism duniani hata wao wanaimani na kuishikilia kama wengine wanaweza kukuambia Bible ni manmade lakini muulize hizo ''facts'' zinazotetea theory yako ni mawazo yako sio kwamba ulisoma novel ya Charls Darwin and the like ikakuvutia na wewe ukaamini?
soma hapa
Samahani kwa kuchanganya lugha.