History inapingana na wanaosema ''HAKUNA MUNGU'': The simple research you can do to prove it.

History inapingana na wanaosema ''HAKUNA MUNGU'': The simple research you can do to prove it.

Naongelea spiritual beings God included all things invisible meditated during spiritual rituals and i am not here to offer definitions of terms google it if you know not about it.

Let's see.

Jamaa hajui/ hawezi kum define mungu wake.

Hajui/ hawezi ku define proof ni kitu gani.

Hajui tofauti ya kujua na kuamini.

Halafu anataka kuendekeza ligi kuhusu habari ya falsafa ya uungu?
 
Naongelea spiritual beings God included all things invisible meditated during spiritual rituals and i am not here to offer definitions of terms google it if you know not about it.
Hana lolote huyo akishindwa ndo zake anataka uende kwenye hoja-nyepesi sasa anakudrive mpaka ufike huko.
 
Hana lolote huyo akishindwa ndo zake anataka uende kwenye hoja-nyepesi sasa anakudrive mpaka ufike huko.
Hata ivyo nimeshamsoma naona wenzake wamemkacha anatapatapa tu.
 
Let's see.

Jamaa hajui/ hawezi kum define mungu wake.

Hajui/ hawezi ku define proof ni kitu gani.

Hajui tofauti ya kujua na kuamini.

Halafu anataka kuendekeza ligi kuhusu habari ya falsafa ya uungu?
IMANI yako ya Atheism imekuharibu pakubwa kweli.
 
This is the public forum so even you, can try if you wish.
Dogo hapo kwa Kiranga bado sana
Nakushauri omba kwa Invisible access ya kuingia Jukwaa la DINI ndiko utakakopata Elimu na hizi changamoto zako zote kujibiwa
nakuombea safari njema na hii Nadharia yako

Ujue hata wale mafundi uashi wanafunzi huwa wanaokota vile vipande vipande vya mabingwa na kujifunzia kutengeneza vitu vidogo vidogo.
Sasa kitu cha mbolea ni kukubali tu wanaposhindwa waelekezwe.
Lakini hapa sioni hili, naona ubishi tu
.
 
Last edited by a moderator:
Ukiweza kumuelewesha Kiranga kuhusu uwepo wa Mungu utakua mtu mwema sana, nilishawahi kufanya hivyo siku za nyuma ila huyu mtu uelewa wake sijui unaishia wapi?

Anaelewa sana ila tatizo anafikiria ndani ya Box la mzungu aliemletea Atheism.
au anakubali kimoyomoyo watu wasishangae imekuwaje an old atheist turn to be a God fearing person.
 
Jamaa ana copy paste bila kusoma.

Kutoka huko huko dictionary.com wameandika kilekile nilichosema mimi hapa, kwamba, kuamini si kujua. Kuamini ni kwa kitu ambacho hakijathibitishwa bado.

Mtu anabisha, anaenda kuchukua link, bila kuisoma anairusha hapa, kumbe inamuumbua yeye mwenyewe!

[h=2]be·lieve[/h]/bɪˈliv/ Show Spelled [bih-leev] Show IPA
verb (used without object), be·lieved, be·liev·ing. 1. to have confidence in the truth, the existence, or the reliability of something, although without absolute proof that one is right in doing so: Only if one believes in something can one act purposefully.

verb (used with object), be·lieved, be·liev·ing. 2. to have confidence or faith in the truth of (a positive assertion, story, etc.); give credence to.

3. to have confidence in the assertions of (a person).

4. to have a conviction that (a person or thing) is, has been, or will be engaged in a given action or involved in a given situation: The fugitive is believed to be headed for the Mexican border.

5. to suppose or assume; understand (usually followed by a noun clause): I believe that he has left town.
 
You really want me to waste my time with the likes of this fellow?

I am afraid y'all will just have to excuse me.

Like I said, my cycles are rather valuable and in high demand.
 
Naongelea spiritual beings God included all things invisible meditated during spiritual rituals and i am not here to offer definitions of terms google it if you know not about it.
Hana lolote huyo akishindwa ndo zake anataka uende kwenye hoja-nyepesi sasa anakudrive mpaka ufike huko.
 
Naongelea spiritual beings God included all things invisible meditated during spiritual rituals and i am not here to offer definitions of terms google it if you know not about it.
Hana lolote huyo akishindwa ndo zake anataka uende kwenye hoja-nyepesi sasa anakudrive mpaka ufike huko.
 
Nani kakwambia sijaisoma kabla ya kuiweka hiyo link.Nimekuonesha maana ya kuamini ili ujione namna ulivyo juu ya IMANI yako ya Atheism you don't have any kind of proof for The Big Bang you just assume that there was a certain situation you named it Big Bang but what if i could ask you The Proof of it can you derive it right now to be visible? then do it,alternatively it is the sort of belief.
 
Hauna lolote ulijualo juu ya imani yako ya atheism na ni kichekesho kwa atheist mkubwa kama wewe afrika mashariki na kati hujui hata kama kitu ambacho hujakiona ila unadhani kuwa ni ukweli ni imani unayo juu ya kitu hicho unavyosema unakijua maana yake ni;knowing is affecting, implying, or DELIBERATELY REVEALING shrewd knowledge of secret or private information: a knowing glance.key word hapo ni revealing sasa swali Je! unaweza kutudhihirishia[kuifanya ionekane kwa macho] hiyo Big Bang?
 
Nimeona neno "prove" nikaona ngoja niangalie kuna ugunduzi gani mpya, naona madudu.

Unaelewa maana ya neno "prove"? Usha prove kwamba mungu yupo? Katika framework gani?

Kama unataka kufuatilia walichoamini watu wa kale, watu wa kale waliamini pia kwamba dunia si duara, ni bapa, na dunia haizunguki jua, bali jua linazunguka dunia.

Sasa utataka tuamini na hayo pia kwa sababu watu wa kale waliamini?

Umeanza kwa kutaja fact halafu unazama kwenye lindi la hearsay.

Kadiri miaka inavyozidi kwenda mbele, na elimu inavyozidi kuongezeka, ndivyo wasioamini kuwepo kwa mungu wanavyozidi.

Jumapili nilienda kuangalia Super Bowl Boulevard na michezo theatres za Time Square hapo, mchana nikapata lunch, restaurant niliyoingia zamani ilikuwa kanisa. Watu wameibadilisha imekuwa Italian restaurant. Umekaa kwenye restaurant unaona michoro ya kanisa pamoja na stained glasses zile.

Nikaona duh, watu hawa wazungu waliotuletea hii dini wenyewe washaona makanisa hayana deal. Nikakumbuka another time napita Wall St, kwenye exchange pale, nakutana na mhubiri wa Ki Nigeria anawahubiria Wamarekani wanampita kama hana akili nzuri. Reverse evangelism flow, safari hii Waafrika ndio wanaenda kuhubiri Ulaya na Marekani!

Sisi mpaka leo tunang'ang'ania dini na mungu.

jamaa kajaribu ku estabish kitu, kwamba...kwanini hivi vitu vya kiroho ambavyo viikuwepo ever since mpaka leo vipo vilevile havijabadilika (as a simple test) wewe umezungumza kuhusu dunia kuwa kama meza, kuhusu jua kuzunguka dunia...je mbona ni asilimia chache kama 5 hivi ndo bado zinaamini hivyo...na mbona ni asilimia chache kama 5 ambazo zinaamini kuwa Mungu hayupo?...na bado ukifanya uchunguzi utakuta hao wana sayansi kwa nafsi zao wanaamini Mungu yupo, hata wewe pia ni mmoja wao...u are a God fear person....bisha hapa
 
"God fear person" ni mnyama gani huyo?

Katika miaka 10 iliyopita kitabu gani cha falsafa ya dini umesoma?

Mwanafalsafa gani aliyeandika kuhusu falsafa ya dini katika miaka 1,000 iliyopita unamkubali kama gwiji aliyeandika vizuri? Kwa sababu gani?
 
Nani kakwambia sijaisoma kabla ya kuiweka hiyo link.Nimekuonesha maana ya kuamini ili ujione namna ulivyo juu ya IMANI yako ya Atheism you don't have any kind of proof for The Big Bang you just assume that there was a certain situation you named it Big Bang but what if i could ask you The Proof of it can you derive it right now to be visible? then do it,alternatively it is the sort of belief.

Wapi nime endorse Big Bang? Nimetoa mpaka kitabu cha Brian Clegg kilicho blow holes in The Big Bang Theory hapa.

Tatizo una assume sana tu.
 
Back
Top Bottom