History inapingana na wanaosema ''HAKUNA MUNGU'': The simple research you can do to prove it.

Haha, nimecheka sana, baada tu ya hii comment yako jamaa kweli kaja na akaanza ubishi.. Huyo ni Atheist anayeamini sana science huku hata science yenyewe hayuko deep

Deep is a relative term, what is your mark? What is your yardstick? What is your criteria? What is your justification for the criteria?

To a child, the shallow end of the pool can still be as deep as The Mariana Trench while to Mr. Hasheem Thabeet, the deepest point in the same pool might still be as shallow as a teacup.

By Dr. Murray-Gell-Mann's standards, I indeed must admit I am not deep at all, but do you want to spar with me on an average Tanzanian vs average Tanzanian bout?

Sitaki kuamini, nataka kujua.
 
Huja prove kuwapo kwa mungu bado, wazungu hawako beyond bias and ignorance, so "wazungu" alone is not an argument. You have to demonstrate your point.

Ningekuwa nawahusudu sana wazungu ningepigia debe dini iliyoletwa na wazungu.

Look who is talking!

By the way, kufikiri kwamba "atheism" ni uzungu ni kuonesha kukosa elimu katika mambo haya, whole societies in Asia were atheist hundreds and even thousands of years before the conventionally accepted birth of Jesus.

And some still maintan that stance todate, en masse.

Most African traditional beliefs are more akin to mysticism than theism, a big distinction where the question of the Abrahamic godhead is concerned.

Umeelewa swali na hoja ila huelewi namna ya kujitetea sasa umeona uchomeke maneno kwenye post yasiyokuwa na uhusiano na hoja, me nimebase Africa unaniletea Asia japo napo huko unapasha viporo tu.
 
Me ndo nimekuuliza swali unatakiwa unijibu.
Even though hiyo imani yako ya Atheism nani kaianzisha.

Wewe umesema kuna simple research ya ku prove uwepo wa mungu.

Nimekuuliza unajua maana ya neno "prove"? Unaongelea katika framework gani?

Hujajibu.

Kabla ya kuzama kwenye proof lazima ujibu hayo maswali kwanza, pamoja na kum define huyo mungu unayemuongelea ni mungu gani.

Maana kuna wengine wanaamini "Mungu" ni mti fulani uliopo Kurasini.

Sasa mtu akisha m define mungu hivyo, na mti huo upo Kurasini, siwezi kubishana naye kwamba mungu yupo. Kwa sababu katika framework yake iliyo u define mti ule kama mungu, mti upo, na kwa sababu kasema mti ni mungu, kama mti upo basi mungu yupo, kwa mujibu wa framework yake.

Sasa tuambie, unatumia framework gani? mungu ni nini? Na proof ni nini?

Tusije kupelekana sana, kumbe wewe unaongelea "proof" ya imani.

Which is an oxymoron if ever there was one.
 
Then your reserach is most parochial on a subject that is most universal.

You are not doing the subject justice.

I also pointed that African traditions are more towards mysticism than theism.

I doubt you can discern the distinction.
 
Wewe umesema kuna simple research ya ku prove uwepo wa mungu.

Nimekuuliza unajua maana ya neno "prove"? Unaongelea katika framework gani?

Hujajibu.

Kabla ya kuzama kwenye proof lazima ujibu hayo maswali kwanza, pamoja na kum define huyo mungu unayemuongelea ni mungu gani.

Maana kuna wengine wanaamini "Mungu" ni mti fulani uliopo Kurasini.

Sasa mtu akisha m define mungu hivyo, na mti huo upo Kurasini, siwezi kubishana naye kwamba mungu yupo. Kwa sababu katika framework yake iliyo u define mti ule kama mungu, mti upo, na kwa sababu kasema mti ni mungu, kama mti upo basi mungu yupo, kwa mujibu wa framework yake.

Sasa tuambie, unatumia framework gani? mungu ni nini? Na proof ni nini?

Tusije kupelekana sana, kumbe wewe unaongelea "proof" ya imani.

Which is an oxymoron if ever there was one.
Kama umeninote vizuri kwenye hii text nime mention ''spiritual realm/beings/deities'' tokea awali vipo kwa wanadamu wote ulimwenguni kote je ni fiction?
Jibu acha kujing'ata-ng'ata au sema sijui sio unataka kuzunguka mbuyu apa.
 
Kiswahili nacho tabu kuamini ni kuwa na uhakika juu ya swala fulani usishtuke kaka we jibu swali whatsoever word you will use to replace ''kuamini'' we toa jibu.

Kuamini ni kuwa na uhakika? Kwa mujibu wa nani?

To the contrary, kuamini ni kukosa uhakika.

Ukiwa na uhakika huna haja ya kuamini, ushajua.

Nikiwa na shilingi hapa, nataka kuitupa hewani nione itakavyoangukia, kichwa au mwenge, kabla ya kuirusha naweza kusema "naamini itaangukia upande wa kichwa kiwe juu".

Nikishairusha na ikiangukia kichwa juu, siwezi kusema tena "naamini imeangukia upande wa kichwa kikiwa juu", nishaona, nishahakiki, siamini, najua.

Sasa wewe unachoonekana kutofahamu ni kuchanganya imani na ujuzi.

Unataka kuniambia "najua shilingi itaangukia upande wa kichwa kikiwa juu".

Utajuaje hilo kabla hujarusha shilingi? Hujui, unaamini tu.

Hujajua tofauti ya kujua na kuamini unataka kuparamia habari za uwepo wa mungu?
 
:focus:
 
Me ndo nimekuuliza swali unatakiwa unijibu.
Even though hiyo imani yako ya Atheism nani kaianzisha.
Swali gani umemuuliza Kiranga?
ww ungetetea hoja yako km ulivyoileta.lkn ukiamza kumfuata lila Member na kumuuliza Imani yake utachemsha
Inaelekea wewe unawahusudu wazungu sana sasa inawezekanaje hao wazungu wako hapo Wall street waliompita mnaigeria wanakuja kumfuata tena mnaigeria kwa garama zao huko Nigeria.
waangalie.
[h=2]History inapingana na wanaosema ''HAKUNA MUNGU'': The simple research you can do to prove it.[/h]mm mwenyewe nimeshindwa kuprove na evidence zako
Nakuja kwa waafrika kwani nazungumza nao kwa namna waganga wa kienyeji na wachawi [samahani hawa ntawatumia sana kwani walikuwa kabla ya biashara ya utumwa na ukoloni] historia na makumbusho unaweza kwenda na kukuta picha moja inamuonesha mama mmoja huko bagamoyo mganga wao wanauita ''fundi'' akimpndisha mtu marohani ikumbukwe hapo makumbusho.
unaweza kusema hawa waganga ni matapeli lakini je huo utapeli ulianzwa enzi za mababu mpaka sasa upo na sio afrika bali dunia nzima inakuwaje kwani duniani pote hakuna sehemu utakayokosa mambo ya kichawi pote chunguza utaona na yapo hata kabla ya uvumbuzi wa meli gari au Internet yani kabla ya muingiliano wa kiutamaduni kwa namna yoyote ile je nayo ni fiction?
 
Last edited by a moderator:

mm mwenyewe nimeshindwa kuprove na evidence zako

This is the public forum so even you, can try if you wish.
 
Bahati mbaya umetoka nje ya mada nimekuletea proven facts kama Timbuktu, Lugha, Tamaduni, Egypt, Serikali na sijakuwekea reference ya andiko hata moja kama hujanielewa nimekupa ushahidi wa uwepo wa spiritual beings kabla ya kusambaa kwa dini.

swali je ni fiction?

Unafahamu tofauti ya ushahidi na proof?

Unajua kwamba ushahidi wote unaweza kuonesha kwamba fulani kaua wakati hajaua?

Unafahamu kwamba ulicholeta hapo ni "oral tradition", one of the most unreliable sources for researchers?

Unafahamu kwamba kuwa na maneno yenye maana ya "mungu" na kusambaa kwa dini si proof wala ushahidi kwamba mungu yupo kama vile kuwa na maneno "pembetatu duara" kusivyo ushahidi wala proof ya kwamba kuna kitu kama pembetatu duara?
 
Swali gani umemuuliza Kiranga?
ww ungetetea hoja yako km ulivyoileta.lkn ukiamza kumfuata lila Member na kumuuliza Imani yake utachemsha

History inapingana na wanaosema ''HAKUNA MUNGU'': The simple research you can do to prove it.

mm mwenyewe nimeshindwa kuprove na evidence zako

Ujue hata wale mafundi uashi wanafunzi huwa wanaokota vile vipande vipande vya mabingwa na kujifunzia kutengeneza vitu vidogo vidogo.

Sasa kitu cha mbolea ni kukubali tu wanaposhindwa waelekezwe.

Lakini hapa sioni hili, naona ubishi tu.

Mtu hata hajanieleza framework yake ni ipi, definition yake ya mungu ni ipi, definition yake ya "proof" ni ipi, anataka kuzama kwenye mjadala moja kwa moja?

I am tempted to stop engaging the fellow, my cycles are too valuable and in high demand.
 
That is the topic, the initialization of the topic, definition of terms.

If you can't do that, you do not have a topic.

Ukisema "Mungu" wengine kwa dini zao ng'ombe ni mungu, wengine mti ni mungu, wengine maji ni mungu, wengine kila kitu ni mungu. Sasa sisi tutajuaje unakusudia nini unaposema "Mungu"?

Ndiyo maana nikakwambia kabla kuzama kwenye mjadala fanya definitions kwanza.

Usifikiri kwa sababu umetoka chini ya jiwe, mnaamini jiwe hilo ndio mungu, basi kila mtu ataamini hivyo hivyo.
 
Unafahamu tofauti ya ushahidi na proof?

Unajua kwamba ushahidi wote unaweza kuonesha kwamba fulani kaua wakati hajaua?

Unafahamu kwamba ulicholeta hapo ni "oral tradition", one of the most unreliable sources for researchers?

Unafahamu kwamba kuwa na maneno yenye maana ya "mungu" na kusambaa kwa dini si proof wala ushahidi kwamba mungu yupo kama vile kuwa na maneno "pembetatu duara" kusivyo ushahidi wala proof ya kwamba kuna kitu kama pembetatu duara?
Whaaaat!!!! Chuo cha Timbuktu ni Oral tradition au The History of Ancient Egypt, the old documents found in the mid east on top of that don't dare to say oral tradition is infirm in actual History search cause large part of Africa was static then.

History itself prove Africans including all mankind were practiced rituals to the deities from the begin.

Answer my question please.
 
Ujue hata wale mafundi uashi wanafunzi huwa wanaokota vile vipande vipande vya mabingwa na kujifunzia kutengeneza vitu vidogo vidogo.

Sasa kitu cha mbolea ni kukubali tu wanaposhindwa waelekezwe.

Lakini hapa sioni hili, naona ubishi tu.

Mtu hata hajanieleza framework yake ni ipi, definition yake ya mungu ni ipi, definition yake ya "proof" ni ipi, anataka kuzama kwenye mjadala moja kwa moja?

I am tempted to stop engaging the fellow, my cycles are too valuable and in high demand.

That is the topic, the initialization of the topic, definition of terms.

If you can't do that, you do not have a topic.

Ukisema "Mungu" wengine kwa dini zao ng'ombe ni mungu, wengine mti ni mungu, wengine maji ni mungu, wengine kila kitu ni mungu. Sasa sisi tutajuaje unakusudia nini unaposema "Mungu"?

Ndiyo maana nikakwambia kabla kuzama kwenye mjadala fanya definitions kwanza.

Usifikiri kwa sababu umetoka chini ya jiwe, mnaamini jiwe hilo ndio mungu, basi kila mtu ataamini hivyo hivyo.

"This is the public forum"

Nuff said.

Huyu ndiye mtu anayetaka ku argue high philosophy na cosmogony!
Wacha kuleta utoto wewe jibu swali unajikanyaga tu umeaha kujibu vitu vya msingi unapambana na mambo ya Baby Class any way labda neme ku overdose.
Nice dreams or you want night stories?
 
Kati yangu na wewe uliyeshindwa kum define mungu wako, na kushindwa kutoa proof, nani kashindwa kujibu maswali?
 
Naongelea spiritual beings God included all things invisible meditated during spiritual rituals and i am not here to offer definitions of terms google it if you know not about it.
 
Back
Top Bottom