Wacha kusema uwongo definitions ulizoziomba ulipewa tena ukasema zinamuoffend mleta mada mwenyewe saivi unaikana kauli yako mwenyewe.
Atahivyo kama ni kujibu mbona tokea mwanzo hukujibu ulikuwa unatafuta visingizio ili uikimbie mada na umevipata vya kitoto kabisa.
Jamaa yenu anasema imani ni ujuzi, halafu analeta definition inayosema imani si ujuzi.
Unataka mimi nibishane naye nini wakati yeye mwenyewe hajui anachotaka kutueleza ni nini?
On top of that, assumptions kibao. Ana assume kila atheist ana endorse Big Bang Theory. Namwambia mimi ni atheist na si endorse Big Bang Theory, ka ni label with a widely liberal assumption kwamba nina endorse Big Bang. Nimembana anioneshe ni wapi nime endorse, anaona haya na kukubali kwamba ka assume tu kwamba kwa sababu mimi atheist nitakuwa na endorse Big Bang. Sasa mtu wa ku assume.assume tu kama huyu anaweza kutupa proof?
Kama ka assume tu kwamba Kiranga kwa kuwa atheist ana endorse Big Bang, kwa nini asi assume tu kwamba mungu yupo?
Huyu anaweza kwenda kwenye rigors za philosophy of religion?
As if that was not enough, kauliza "proof" ni nini kwa anavyojua yeye, hata kujibu hilo kazi.
Maana nimetafuta proof ya uwepo wa mungu hapa sijaiona, nikafikiri labda kwa "prove" anamaanisha kitu tofauti na ninachokielewa mimi.
Hajajibu.
Swali langu ni dogo tu. If at all there is any sane person out there thinking this thread is worthwhile and redeemable.
Namtaka atuambie kwake ku prove ni kufanya nini na atupe hiyo proof aliyoisema.