Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
maswali kama haya uantakiwa uanze kwenye vitu ambavyo vinakuzunguka wewe kila siku na usijue namna ya kuvijua!!
wewe nyani unakubali kabisa kuna UHAI!
Hebu tuambie sasa, Huo uhai ni nani? na uko wapi? na ukoje?
pili wewe nyani unakubali kabisa kuna KIFO!
Hicho kifo na nani? Kiko wapi? na Kikoje?
tatu we Nyani unaamini kuwa Kuna busaram na hasira, na furaha!
Tusaidie kutuonyesha hivyo nilivyotaja hapo juu ni nini? na viko wapi? na vikoje?
Ukinionyesha hayo hapo juu na mimi NTAKUJIBU SWALI LAKO moja kwa moja!
Haya mr pretender! knock yourself out!
Acha longolongo wewe. Weka ushahidi wa uwepo wa mungu hapa.