History inapingana na wanaosema ''HAKUNA MUNGU'': The simple research you can do to prove it.

History inapingana na wanaosema ''HAKUNA MUNGU'': The simple research you can do to prove it.

Mfano ndugu Kiranga, umeenda shambani kwako ambako siku nyingi hujapita, kwa bahati ukakuta kuna nyumba

imejengwa katika shamba lako, bila shaka utataka kujua nani kaijenga nymba ile bila ya wewe kuwa na taarifa

kwakuwa unajua ya kwamba nyumba

ile haikujijenga wenyewe lazima kuna mtu aliyejenga. Hii maana yake ni kuwa lolote unaloliona katika dunia hii kuna aliye

nyuma yake. Angalia kuna jua linalotoka mashariki na kutua magharibi. Je katika hili hutaki kujua nani analitoa jua kutoka

mashariki kuelekea magharibi?.Nani analeta mvua? nani amekuumba wewe hata kuwa na akili za kuandika hapa JF? ikiwa

jambo dogo tu lile a nyumba unauliza nani kajenga nyumba, je haya makubwa hutaki kujua nani ameyafanya???

Safiiii
 
Mkuu, we are all born atheists.Mtoto mchanga anazaliwa hana dini.Mazingira ya malezi ndo yana determine belief system yako.Mfano mtu akizaliwa uarabuni mostly likely atakuwa muislam na mtu akizaliwa south east asia atakuwa m buddha

Evolution sio process ya siku moja au mbili

Evolution ni process inayo span millions of years across several generations under complex environment conditions

Pia homo sapien sapiens(binadamu) na apes wa sasa tuna share a common ancestor sio kwamba sisi binadamu tuli evolve kutoka hao nyani. Ndo mana DNA ya nyani inafanana na ya kwetu kwa asilimia 98

Na jambo jingine la kulitilia maanani ni kuwa si kila anayehoji uwepo wa mungu ni atheist
 
Mfano ndugu Kiranga, umeenda shambani kwako ambako siku nyingi hujapita, kwa bahati ukakuta kuna nyumba

imejengwa katika shamba lako, bila shaka utataka kujua nani kaijenga nymba ile bila ya wewe kuwa na taarifa

kwakuwa unajua ya kwamba nyumba

ile haikujijenga wenyewe lazima kuna mtu aliyejenga. Hii maana yake ni kuwa lolote unaloliona katika dunia hii kuna aliye

nyuma yake. Angalia kuna jua linalotoka mashariki na kutua magharibi. Je katika hili hutaki kujua nani analitoa jua kutoka

mashariki kuelekea magharibi?.Nani analeta mvua? nani amekuumba wewe hata kuwa na akili za kuandika hapa JF? ikiwa

jambo dogo tu lile a nyumba unauliza nani kajenga nyumba, je haya makubwa hutaki kujua nani ameyafanya???

Kama unachosema kina uhalisia wowote ule, nani yuko nyuma ya mungu?

Maana umeandika;
"Hii maana yake ni kuwa lolote unaloliona katika dunia hii kuna aliye nyuma yake"

Je mungu anaonekana? Unaweza kutuonesha na sisi?
 
Well and good.

Except mungu anasemwa kuwa anajua yote, anaweza yote na ana upendo wote.

Which would never be the case for any super nerdy hardware/ software designer.

Kwa hiyo mfano wako ni mbovu, kwa sababu unamlinganisha mungu mwenye kujua yote, kuweza yote na upendo wote na computer system designer ambaye hajui yote, hawezi yote na hana upendo wote.

Your analogy fails especially when you consider that right now, proportionately speaking, Bill Gates - since you mentioned computer systems- is doing more to eradicate polio than this yet imaginary godhead.

Bill Gates is funding a massive polio eradication campaign against unsurpassed odds.

God can do all that and more by a mere thought.

If god is there, all powerful, all knowing, all loving, why doesn't he do better than Bill Gates?

God can eradicate polio this instant, and rid us of this scourge?

Better yet, why would an all loving, all knowing, all capable godhead create a universe in which polio (and AIDS, cancer, diabetes, multiple sclerosis, malaria, heart attacks, dementia, Alzheimer's disease etc) is possible at all?

I bet you if Bill Gates had an option to kill all the computer viruses before the launch of Microsoft he would have done it.

Why wouldn't a goghead with all knowledge, all capability and all love do the same and even more?

On a proportionate "cross multiplication" system, where we compare resources and results, Bill Gates with his limited resources delivers better results than god.

Why can't god, with his unlimited resources, do better than Bill Gates?

mkuu nilikuwa najaribu kukueleza how shetani come to existance since you said earlier you dont believe in nguvu za giza,shetani and other kind of staff through comp,window and antivirus example,kwa hiyo mungu alivyotuumba akatuwekea muongozo tuishi vipi (dini) so atakaekiuka huo mwongozo yuko against na mungu na hamwamini so ana do harmful kwa mungu kama virus zinavyokuwa harmful kwa window na bill gates wakati analaunch window yake aliweka user manual ambayo kila mtu ukiifuata inavyotakiwa huwezi athiriwa na virus hata kidogo na sometime huitaji hata anti-virus,

kuhusu magojwa ni kwa sababu tumeacha user manual ya mungu nitabase kwenye uislam coz ndo ninayoiamini na through na it naamini uwepo wa mungu hadithi ya mtume inasema al uislam nadhiif-meaning uislam ni usafi so kama tutaishi maisha yetu ya kila siku kwa usafi maana yake magonjwa yanayotokana na uchafu yote hatuwezi kuyapata kuanzia kipimdupindu,kuharisha kichocho n.k,kuhusu ukimwi sababu kuu unajua inanenea kwa sex na hakuna dini inayoruhusu sex before marriage,so tungekuwa hatuzini either ukimwi ungekuwepo kwa kiasi kidogo sana au usingekuwepo kabisa pia uislam unatufundisha tusile sana tule kwa kiasi (tule wastani) maana tusishibe sana so kwa kufuata ongozo hilo maana magonjwa yote yanayotokana na kula sana(hovyo) yote tutaepukana nayo,as u knw we muslim tunaswali mara tano kwa siku na unajua muslim wanaswali vipi so yale ni mazoezi tosha kabisa kwa namna moja ama nyingine yanauweka mwili fiti,not to mention faida za kuchukua udhu mara zote ambazo waislam wanaenda kusali

so kuhitimisha ni kwamba kuna baadhi ya magonjwa yanatokana na sisi kuacha user manual ambayo mungu ametuwekea.na hoja yako ya mwisho kwamba eti bill gate na limited resource zake anafanya mambo makubwa kuliko mungu haina mashiko,mungu katupa akili pamoja na huyo bill gates so ni wajibu wetu kutumia akili kusaidia watu wengine mungu hawezi akadondosha dawa za malaria toka mbinguni zikatufikia sisi huku chini au za hizo polio ambazo bill gates anafund, kutupa sisi akili ya kutengeneza dawa za hayo magonjwa ni mchango wake mkubwa tosha.
 
mkuu nilikuwa najaribu kukueleza how shetani come to existance since you said earlier you dont believe in nguvu za giza and other kind of staff through comp,window and antivirus example,kwa hiyo mungu alivyotuumba akatuwekea muongozo tuishi vipi (dini) so atakaekiuka huo mwongozo yuko against na mungu na hamwamini so ana do harmful kwa mungu kama virus zinavyokuwa harmful kwa window na bill gates wakati analunch window yake aliweka user manual ambayo kila mtu ukiifuata inavyotakiwa huwezi athiriwa na virus hata kidogo na sometime huitaji hata anti-virus,kuhusu magojwa ni kwa sababu tumeacha user manual ya mungu nitabase kwenye uislam coz ndo ninayoiamini na through na it naamini uwepo wa mungu hadithi ya mtume inasema al uislam nadhiif-meaning uislam ni usafi so kama tutaishi maisha yetu ya kila siku kwa usafi maana yake magonjwa yanayotokana na uchafu yote hatuwezi kuyapata kuanzia kipimdupindu,kuharisha kichocho n.k,pia uislam unatufundisha tusile kwa kiasi tule wastani maana tusishibe sana so kwa kufuata ongozo hilo maana magonjwa yote yanayotokana na kula sana(hovyo) yote tutaepukana nayo,as u knw we muslim tunaswali mara tano kwa siku na unajua muslim wanaswali vipi so yale ni mazoezi tosha, kabisa mabayo kwa namna moja ama nyingine yanauweka mwili fiti,not to mention faida za kuchukua udhu mara zote ambazo waislam wanaenda kusali
so kuhitimisha ni kwamba kuna baadhi ya magonjwa yanatokana na sisi kuacha user manual ambayo mungu ametuwekea.

Kwa nini huyo mungu alimuumba shetani?,
 
Kwa nini huyo mungu alimuumba shetani?,

Mungu hajamuumba shetani,shetani come to existance kwa kuacha makatazo na maamrisho ya mungu,ni sawasawa na kusema eti bill gates ametengeneza virus just because inatack operating system yake(window) bali hiyo imekuja to existance kwa kwenda kinyume na instructions za bill gates,hata ww ukiamua unaweza kuwa shetani.
 
Sasa shetani kaumbwa na nani? Au katokea wapi?
 
Sasa shetani kaumbwa na nani? Au katokea wapi?

shetani wako wengi ila shetani mkuu ni ibilisi kama nilivysema hata wewe unaweza kuwa shetani kwa kuacha maamrisho ya mungu na yule aliumbwa b4 na mungu kama vimbe wengine(malaika) wa kawaida ila amekuwa shetani mkuu coz amekacha direct oda ya mungu. So shetani hajaumbwa na mungu,mungu alimuumba malaika ila kwa umuch knw wake akaja kuwa shetani.
 
Acha kucheza na maneno, unasema "aliumbwa b4 na mungu kama viumbe wengine(malaika) wa kawaida ila amekuwa shetani mkuu"

Halafu "so shetani hajaumbwa na mungu"

Sasa Mkuu which is which?

Halafu kama mungu kaumba, yeye aliumbwa na nani?
 
tukubaliane kwanza kwamba mungu hajamuumba shetani kabla ya kwenda kwenye hoja ya mungu kaumbwa na nani???

Hapo mkuu kwenye shetani kutokuumbwa na mungu ni wewe tu umekataa kuelewa mimi statement yangu ipo clear sana kwamba mungu alimuumba malaika akaasi akawa shetani,ni sawa na kumaalaumu mzazi kumzaa mtoto mbaya (i.e mwizi,jambazi,muuwaji) yeye amezaliwa yupo clean hajui kitu chochote kibaya ni kwa umuch know wake umemepleka kuwa bnaadamu muovu ambazo angeamua asingekuwa mtoto muovu kwa sababu kuamua kutokuwa mtoto muovu ni jambo ambalo liko ndani ya uwezo wake. So mzazi hana kosa,the same applied to mungu na shetani.
 
Hapana.
Huwezi kusema kwa sababu mwanao kawa bwabwa basi hujamzaa wewe ila akiwa rijali useme umemzaa wewe

Unachoogopa wewe ni nini kukubali kuwa shetani ni product ya mungu? Wakati maelezo yako hapo juu yashathibitisha hilo

"Umuch know" aliutoa wapi? Kwa nini yeye tu akawa na "umuch know" na sio wengine? Je aliumbwa na "umuch know"?
 
mkuu hapo usichoelewa nini hasa mbona kila kitu kipo wazi.shetani sio product ya mungu,mungu product yake ni malaika,kwanini mimi/wewe hujawa bwabwa au muovu how can you say mzazi wako ni product ya wewe kuwa bwabwa wakati mzazi wako hajawahi kuwa muovu au bwabwa na wala hassuport ubwabwa?? Sasa hapo mzazi wako amechangiaje wewe kwa bwabwa??? Na wakati product ya ubwabwa iko ndani ya decision yako??
 
Inawezekana vipi kiumbe kikamilifu/ a perfect being kikatengeneza kiumbe kisicho kikamilifu/ imperfect being?
 
Inawezekana vipi kiumbe kikamilifu/ a perfect being kikatengeneza kiumbe kisicho kikamilifu/ imperfect being?

inawezekana as long as hicho kimbe kisicho kikamilifu kimepewa uwezo wa kufikiri na kufanya maamuzi yake bila kuingiliwa na kiumbe kilichomuumba ,because there wont be any meaning ya kuumba kitu ambacho hakiwezi kufanya maamuzi yake mwenyewe ,kiumbacho kimeweka njia sahihi ya kuifuata wewe umekata kutoifuata unawezaje kukilaumu kilichokuumba,??
 
mkuu hapo usichoelewa nini hasa mbona kila kitu kipo wazi.shetani sio product ya mungu,mungu product yake ni malaika,kwanini mimi/wewe hujawa bwabwa au muovu how can you say mzazi wako ni product ya wewe kuwa bwabwa wakati mzazi wako hajawahi kuwa muovu au bwabwa na wala hassuport ubwabwa?? Sasa hapo mzazi wako amechangiaje wewe kwa bwabwa??? Na wakati product ya ubwabwa iko ndani ya decision yako??

Huku sasa ni kurudi nyuma, maana tulishaeleweshana kuhusu uwepo wahao MIUNGU mkashindwa kuthibiisha
Mkasema ni aya zimeshushwa kupitia Jibril , bado nikakataa kwani vitabu vingi kumbukumbu zake zipo (mafunjo)na magome zinatunzwa katika Maktaba nyingi zikiwemo wa Misri
Sasa Shetani kaumbwa na nani ndio kabisaaa unatudanganya

unapojaribu kutoa hoja usikashifu unajua kwa nini huyu aliyebanwa mbavu alibanwa mbavu unajua kulikuwa kuna mafunzo gani during tendo la kubanwa mbavu kabla ya kuamua kuponda kitu ni vyema ukajua knowldge behind it.
Mkuu nimekuelewa NA SITARUDIA kwani sio tabua yangu ila nichokozwapo [post 175]
kuu ungeangalia vizuri hayo majibu yalitoka kwa nanani na yalikuwa na kashfa gani (hakuna mtu mwenye ROHO ya chuma
juu umeelezwa kuhusu bwabwa umejibu ipasavyo kwanini hukugeuza shavu la pili (imetumia upanga kwa upanga
 
inawezekana as long as hicho kimbe kisicho kikamilifu kimepewa uwezo wa kufikiri na kufanya maamuzi yake bila kuingiliwa na kiumbe kilichomuumba ,because there wont be any meaning ya kuumba kitu ambacho hakiwezi kufanya maamuzi yake mwenyewe ,kiumbacho kimeweka njia sahihi ya kuifuata wewe umekata kutoifuata unawezaje kukilaumu kilichokuumba,??

Unaelewa mantiki ya ukamilifu? Ni ngumu sana kuelewa kwa sababu hujawahi experience ukamilifu.

Mantiki ya kiumbe kikamilifu ni kuwa hakina chembe ya imperfection hata kidogo, inatoka wapi wakati chenyewe ni kikamilifu?

Hakiingiliwi vipi wakati huyo mungu kawapa amri za kuzifuata na lazima mumuabudu yeye la sivyo mtachomwa moto? Huu ndio unaita uhuru wa kufanya maamuzi bila kuingiliwa?
 
Saying it so doesn't make it so.

Just because someone or something says that god exists, it doesn't mean that he or she really exists.

To prove that he or she really exists, one has to provide solid, indubitable, incontrovertible, and conclusive proof to support the claim.

Other than that, words alone don't prove jack!

hata wakati wa misha ya Yesu, walikuwepo walionena haya unenayo leo ambao hawakusadiki wala kuamini, pamoja na miujiza yote aliowafanyia.
 
hata wakati wa misha ya Yesu, walikuwepo walionena haya unenayo leo ambao hawakusadiki wala kuamini, pamoja na miujiza yote aliowafanyia.

Hata wanamazingaombwe wanatenda miujiza lakini haitoi proof ya uwepo wa mungu
 
Huku sasa ni kurudi nyuma, maana tulishaeleweshana kuhusu uwepo wahao MIUNGU mkashindwa kuthibiisha
Mkasema ni aya zimeshushwa kupitia Jibril , bado nikakataa kwani vitabu vingi kumbukumbu zake zipo (mafunjo)na magome zinatunzwa katika Maktaba nyingi zikiwemo wa Misri
Sasa Shetani kaumbwa na nani ndio kabisaaa unatudanganya

Mkuu nimekuelewa NA SITARUDIA kwani sio tabua yangu ila nichokozwapo [post 175]
kuu ungeangalia vizuri hayo majibu yalitoka kwa nanani na yalikuwa na kashfa gani (hakuna mtu mwenye ROHO ya chuma
juu umeelezwa kuhusu bwabwa umejibu ipasavyo kwanini hukugeuza shavu la pili (imetumia upanga kwa upanga
kuhusu shetani kaumbwa na nani nishamuelewsha vizuri sana bwana Mourinho labda kama na ww hutaki kuelewa,sasa hivi kaingia kwenye mada ya perfection na imperfection.

Kama umechunguza vizuri utaona mimi nimeingia kwenye huu mjadala leo sijatukia mada nimeanza soma from page ya kwanza mpk ya mwisho ili nisije nikarudia mambo ambayo yashasemwa huko nyuma binafsi bado sijatoa uthibitisho wangu juu ya uwepo wa mungu so usiseme nakurudisha nyuma,kwanza nilikuwa na malizana na Mourinho kuhusu shetani sio product ya mungu then ndo na mimi niingie kwenye hoja ya msingi na mimi nielezee kwa upande wangu uwepo wa mungu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom