History inapingana na wanaosema ''HAKUNA MUNGU'': The simple research you can do to prove it.


Acha longolongo wewe. Weka ushahidi wa uwepo wa mungu hapa.
 
]Uwepo wake nani? Na yupo wapi huyo ambaye yupo[/B]?



Mungu ni nani? Yuko wapi? Yukoje?




Acha longolongo wewe. Weka ushahidi wa uwepo wa mungu hapa.


Nilidhani najadili na mtu mwenye kutumia kichwa kufikiri! i guess i was wrong!!

I always believe NYANI never evolve! YOU JUST PROVE IT TO ME!

Thanks.
 
hasason mgonjwa, chongchung Mayombo
Hebu mukuje huku maana ninyi ndio mliianzisha hii Mada sasa mmeikimbia
tukiwaambia ni watoto wadogo na kielimu (sio ya darasani ni kimaisha) hamna lolote
sasa kaka zenu na Babu zenu hapa wameshaandikiwa barua mpaka na MUNGU!!! Teh teh teh

usiku huu sina mbavu
Mungu mwenyewe kaniandikia.
Kha! yaani hapa ni ujanja ujanja, kujuwa kwingi na ku kwepa kwepa maswali ya wengine.
Mi mwenyewe naona kama jamaa ameanza kutojielewa sasa hata yeye mwenyewe

Mkiuanzisha uzi mjue na kuusaport hii ndio JF
SIO Blah Blah na miungu ya ma Pyramids
 
Last edited by a moderator:
don't you know "work" is my middle name!?

Kaka kahtaan achana na hawa watu kabisa, wanachotaka hawa wamjue Mungu kama Mjomba wao. wawe na uwezo wa

kucheza naye na mambo mengine.Una mambo mengi ya kufanya kaka hawa ni wajinga tu. Kama kufiikisha

umeshafikisha. Binaadamu unasema Mungu humjui wala humuamini, hii inamaana miujiza yote iliyofanywa na mitume

(Saleh,Issa, Musa nk) ilikuwa sio kweli. Hawa ni sawa na kina Abu Jahl waliotaka kuona milango ya mbingu ikifunguka

ndio waamini. Ona hii, Huku kwetu kuna mtu alienda kusoma urusi aliporudi akawa na imani ya hawa kina kiranga. Lakini

baadae sijui kilitomkea kitu gani akawa mchamungu mzuri sana khamsa swalawati kabisa.
 
Kwa mtazamo wangu hawa akina kiranga wanafahamu uwepo wa mungu,wanachofanya wao ni mzaha,kama kweli hawaami uwepo wa mungu alie waumba basi kuanzia leo wasilale,wasile,wasiende haja chooni,wakiweza kufanya vitu hivyo hapo juu kwa muda wa wiki 1 basi itakuwa hakuna aliewaumba bali wamejiumba.
 

Hahahshahaaaaaaaaaa! teh teh teh teh uuuuuuuuuwwwwwwwwiiiih! duh!!!!!!
 
Na kumjua maana yake ni kwamba yupo, au siyo?

Na kama kuna watu wanamjua maana yake ni kwamba wanaweza kutuonyesha siye wengine ambao hatumjui, siyo?


Kujua is a relative term. 1.) Kuna vitu tunavijua kwa sababu vinaeleweka 2.) Kuna vitu tunavijua kwa sababu tunaamini walioelewa 3.) Kuna vitu tunafikiri tunavijua lakini hatuvijuhi 4.) Kuna vitu tunaelewa kuwa hatuvijuhi 5.) kuna vitu vinajulikana lakini hatuvijuhi.
 

Hahahaaaa...naona umeamua kuacha kujibu maswali yangu na badala yake umeamua kutoa onyesho la tap dancing!
 

Hujui kuwa maji huwa yanapitiliza mpaka nchi kavu kwa jina la Kimbunga cha baharini??
 
Hahahaaaa...naona umeamua kuacha kujibu maswali yangu na badala yake umeamua kutoa onyesho la tap dancing!

Kwikwikwi. Hapana mkuu. Nauangalia mjadala huu kutoka angle nyingine kabisa. Kwa upande wangu kutomjua mungu haina maana kuwa mungu hayupo. Vilevile kumjua mungu haina maana kuwa mungu yupo kwa sababu mungu unayemjua wewe na mungu wa watu wengine anaweza kuwa tofauti.

Kwa mfano wamasai wanaamini mungu mmoja. Mungu huyu kawapa wamasai ng'ombe na watu wa makabila mengine wameiba ng'ombe kutoka kwa wamasai. Hivyo ni haki ya mmasai kurudisha ng'ombe kutoka kwa watu wa makabila mengine. Kwa mawazo ya mmasai, msukuma ana haki ya kumiliki ng'ombe.

Mzee wa kimasai akitoa somo hili kwa wajukuu wake wataamini na kufikiri kuwa wanajua.
 


Shukran sana
 
Ukisoma huu mtiririko wa majibishano ya hoja kwenye hii thread haishangazi kuona kwa nini sehemu nyingi za ibada katika nchi zilizoendelea ( Nchi za Magharibi) zinageuzwa kuwa migawaha na vilabu huku wananchi wanaoishi nchi za 'dunia ya tatu' wakigeuza majengo ya shule kuwa sehemu za ibada.

Tunaishi kwa misingi ya imani na hiyo imani imetufunga kuutafuta ukweli ndani ya evidence kwa sababu kufanya hivyo katika macho ya imani utakuwa 'unakufuru' (kumkosea Mungu).

Imani zimetujenga katika misingi ya kutokuuliza na hata ukiuliza sana, unaishia kubezwa na kutukanwa kama njia ya kukunyamazisha katika hoja yako. ndiyo yale yale ya 'You're either with us, or against us'.

Mtu kama hajui dawa yake ni kumwelimisha na katika kumwelimisha, lazima ulete vidhibiti vya kudhibitika kwa kile unachomwelimisha.

Imani zetu za dini kuhusu uwepo wa Mungu zimetufunga ili tuzitoke nje ya maandiko na kuanza kuyatingisha kuona kana yanajitoshereza katika ukweli. haishangazi Mtu akiulizwa uwepo wa Mungu anachofanya ni kukupa vifungu vya Biblia au Quran kama ndiyo jibu.

Socrates alishawahi kusema, The more you know, the more you realize you know nothing.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…