History inapingana na wanaosema ''HAKUNA MUNGU'': The simple research you can do to prove it.


Safiiii
 

Na jambo jingine la kulitilia maanani ni kuwa si kila anayehoji uwepo wa mungu ni atheist
 

Kama unachosema kina uhalisia wowote ule, nani yuko nyuma ya mungu?

Maana umeandika;
"Hii maana yake ni kuwa lolote unaloliona katika dunia hii kuna aliye nyuma yake"

Je mungu anaonekana? Unaweza kutuonesha na sisi?
 

mkuu nilikuwa najaribu kukueleza how shetani come to existance since you said earlier you dont believe in nguvu za giza,shetani and other kind of staff through comp,window and antivirus example,kwa hiyo mungu alivyotuumba akatuwekea muongozo tuishi vipi (dini) so atakaekiuka huo mwongozo yuko against na mungu na hamwamini so ana do harmful kwa mungu kama virus zinavyokuwa harmful kwa window na bill gates wakati analaunch window yake aliweka user manual ambayo kila mtu ukiifuata inavyotakiwa huwezi athiriwa na virus hata kidogo na sometime huitaji hata anti-virus,



kuhusu magojwa ni kwa sababu tumeacha user manual ya mungu nitabase kwenye uislam coz ndo ninayoiamini na through na it naamini uwepo wa mungu hadithi ya mtume inasema al uislam nadhiif-meaning uislam ni usafi so kama tutaishi maisha yetu ya kila siku kwa usafi maana yake magonjwa yanayotokana na uchafu yote hatuwezi kuyapata kuanzia kipimdupindu,kuharisha kichocho n.k,kuhusu ukimwi sababu kuu unajua inanenea kwa sex na hakuna dini inayoruhusu sex before marriage,so tungekuwa hatuzini either ukimwi ungekuwepo kwa kiasi kidogo sana au usingekuwepo kabisa pia uislam unatufundisha tusile sana tule kwa kiasi (tule wastani) maana tusishibe sana so kwa kufuata ongozo hilo maana magonjwa yote yanayotokana na kula sana(hovyo) yote tutaepukana nayo,as u knw we muslim tunaswali mara tano kwa siku na unajua muslim wanaswali vipi so yale ni mazoezi tosha kabisa kwa namna moja ama nyingine yanauweka mwili fiti,not to mention faida za kuchukua udhu mara zote ambazo waislam wanaenda kusali




so kuhitimisha ni kwamba kuna baadhi ya magonjwa yanatokana na sisi kuacha user manual ambayo mungu ametuwekea.na hoja yako ya mwisho kwamba eti bill gate na limited resource zake anafanya mambo makubwa kuliko mungu haina mashiko,mungu katupa akili pamoja na huyo bill gates so ni wajibu wetu kutumia akili kusaidia watu wengine mungu hawezi akadondosha dawa za malaria toka mbinguni zikatufikia sisi huku chini au za hizo polio ambazo bill gates anafund, kutupa sisi akili ya kutengeneza dawa za hayo magonjwa ni mchango wake mkubwa tosha.
 

Kwa nini huyo mungu alimuumba shetani?,
 
Kwa nini huyo mungu alimuumba shetani?,

Mungu hajamuumba shetani,shetani come to existance kwa kuacha makatazo na maamrisho ya mungu,ni sawasawa na kusema eti bill gates ametengeneza virus just because inatack operating system yake(window) bali hiyo imekuja to existance kwa kwenda kinyume na instructions za bill gates,hata ww ukiamua unaweza kuwa shetani.
 

Sasa shetani kaumbwa na nani? Au katokea wapi?
 
Sasa shetani kaumbwa na nani? Au katokea wapi?

shetani wako wengi ila shetani mkuu ni ibilisi kama nilivysema hata wewe unaweza kuwa shetani kwa kuacha maamrisho ya mungu na yule aliumbwa b4 na mungu kama vimbe wengine(malaika) wa kawaida ila amekuwa shetani mkuu coz amekacha direct oda ya mungu. So shetani hajaumbwa na mungu,mungu alimuumba malaika ila kwa umuch knw wake akaja kuwa shetani.
 

Acha kucheza na maneno, unasema "aliumbwa b4 na mungu kama viumbe wengine(malaika) wa kawaida ila amekuwa shetani mkuu"

Halafu "so shetani hajaumbwa na mungu"

Sasa Mkuu which is which?

Halafu kama mungu kaumba, yeye aliumbwa na nani?
 
Acha kucheza na maneno, unasema "aliumbwa b4 na mungu kama viumbe wengine(malaika) wa kawaida ila amekuwa shetani mkuu"

Halafu "so shetani hajaumbwa na mungu"

Sasa Mkuu which is which?

Halafu kama mungu kaumba, yeye aliumbwa na nani?
tukubaliane kwanza kwamba mungu hajamuumba shetani kabla ya kwenda kwenye hoja ya mungu kaumbwa na nani???



Hapo mkuu kwenye shetani kutokuumbwa na mungu ni wewe tu umekataa kuelewa mimi statement yangu ipo clear sana kwamba mungu alimuumba malaika akaasi akawa shetani,ni sawa na kumaalaumu mzazi kumzaa mtoto mbaya (i.e mwizi,jambazi,muuwaji) yeye amezaliwa yupo clean hajui kitu chochote kibaya ni kwa umuch know wake umemepleka kuwa bnaadamu muovu ambazo angeamua asingekuwa mtoto muovu kwa sababu kuamua kutokuwa mtoto muovu ni jambo ambalo liko ndani ya uwezo wake. So mzazi hana kosa,the same applied to mungu na shetani.
 

Hapana.
Huwezi kusema kwa sababu mwanao kawa bwabwa basi hujamzaa wewe ila akiwa rijali useme umemzaa wewe

Unachoogopa wewe ni nini kukubali kuwa shetani ni product ya mungu? Wakati maelezo yako hapo juu yashathibitisha hilo

"Umuch know" aliutoa wapi? Kwa nini yeye tu akawa na "umuch know" na sio wengine? Je aliumbwa na "umuch know"?
 
mkuu hapo usichoelewa nini hasa mbona kila kitu kipo wazi.shetani sio product ya mungu,mungu product yake ni malaika,kwanini mimi/wewe hujawa bwabwa au muovu how can you say mzazi wako ni product ya wewe kuwa bwabwa wakati mzazi wako hajawahi kuwa muovu au bwabwa na wala hassuport ubwabwa?? Sasa hapo mzazi wako amechangiaje wewe kwa bwabwa??? Na wakati product ya ubwabwa iko ndani ya decision yako??
 

Inawezekana vipi kiumbe kikamilifu/ a perfect being kikatengeneza kiumbe kisicho kikamilifu/ imperfect being?
 
Inawezekana vipi kiumbe kikamilifu/ a perfect being kikatengeneza kiumbe kisicho kikamilifu/ imperfect being?

inawezekana as long as hicho kimbe kisicho kikamilifu kimepewa uwezo wa kufikiri na kufanya maamuzi yake bila kuingiliwa na kiumbe kilichomuumba ,because there wont be any meaning ya kuumba kitu ambacho hakiwezi kufanya maamuzi yake mwenyewe ,kiumbacho kimeweka njia sahihi ya kuifuata wewe umekata kutoifuata unawezaje kukilaumu kilichokuumba,??
 

Huku sasa ni kurudi nyuma, maana tulishaeleweshana kuhusu uwepo wahao MIUNGU mkashindwa kuthibiisha
Mkasema ni aya zimeshushwa kupitia Jibril , bado nikakataa kwani vitabu vingi kumbukumbu zake zipo (mafunjo)na magome zinatunzwa katika Maktaba nyingi zikiwemo wa Misri
Sasa Shetani kaumbwa na nani ndio kabisaaa unatudanganya

unapojaribu kutoa hoja usikashifu unajua kwa nini huyu aliyebanwa mbavu alibanwa mbavu unajua kulikuwa kuna mafunzo gani during tendo la kubanwa mbavu kabla ya kuamua kuponda kitu ni vyema ukajua knowldge behind it.
Mkuu nimekuelewa NA SITARUDIA kwani sio tabua yangu ila nichokozwapo [post 175]
kuu ungeangalia vizuri hayo majibu yalitoka kwa nanani na yalikuwa na kashfa gani (hakuna mtu mwenye ROHO ya chuma
juu umeelezwa kuhusu bwabwa umejibu ipasavyo kwanini hukugeuza shavu la pili (imetumia upanga kwa upanga
 

Unaelewa mantiki ya ukamilifu? Ni ngumu sana kuelewa kwa sababu hujawahi experience ukamilifu.

Mantiki ya kiumbe kikamilifu ni kuwa hakina chembe ya imperfection hata kidogo, inatoka wapi wakati chenyewe ni kikamilifu?

Hakiingiliwi vipi wakati huyo mungu kawapa amri za kuzifuata na lazima mumuabudu yeye la sivyo mtachomwa moto? Huu ndio unaita uhuru wa kufanya maamuzi bila kuingiliwa?
 

hata wakati wa misha ya Yesu, walikuwepo walionena haya unenayo leo ambao hawakusadiki wala kuamini, pamoja na miujiza yote aliowafanyia.
 
hata wakati wa misha ya Yesu, walikuwepo walionena haya unenayo leo ambao hawakusadiki wala kuamini, pamoja na miujiza yote aliowafanyia.

Hata wanamazingaombwe wanatenda miujiza lakini haitoi proof ya uwepo wa mungu
 
kuhusu shetani kaumbwa na nani nishamuelewsha vizuri sana bwana Mourinho labda kama na ww hutaki kuelewa,sasa hivi kaingia kwenye mada ya perfection na imperfection.


Kama umechunguza vizuri utaona mimi nimeingia kwenye huu mjadala leo sijatukia mada nimeanza soma from page ya kwanza mpk ya mwisho ili nisije nikarudia mambo ambayo yashasemwa huko nyuma binafsi bado sijatoa uthibitisho wangu juu ya uwepo wa mungu so usiseme nakurudisha nyuma,kwanza nilikuwa na malizana na Mourinho kuhusu shetani sio product ya mungu then ndo na mimi niingie kwenye hoja ya msingi na mimi nielezee kwa upande wangu uwepo wa mungu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…