History: Tanzania troops in Seychelles

History: Tanzania troops in Seychelles

Sisi tunawapa chakula WFP nyie mnapata msaada toka WFP. Hamuoni hata aibu!!?

Hawa hawa WFP ndio wanasema asilimia 35% ya watoto chini ya umri wa miaka mitano wa Watanzania wamedumaa (stunted) kwa ukosefu wa lishe bora.
Pia wamewaumbua jinsi mikoani na wilayani ni njaa, na ndio wao pia wameonyesha tumewashinda kwenye HDI ranking. Soma taarifa nyingi za WFP kuhusu Tanzania....wacha kupost Tweet moja na kukimbia.
Lakini muwashukuru maana wanawasaidia wakulima wenu kwa kununua mazao kutoka kwao wakati mumekubali kujituma.

UN World Food Programme
 
Yaani naona bado upo mbali sana kila siku unaongelea Ranking ranking unajua nani anayefanya hizo ranking? is your colony master dude!!
Hata hivyo unajua HDI inapatikana vipi? This is just calculation my friend.
1. Life Expectancy Index (Hii ni virtual arithmetic haipo)
2. Education Index (Hii nayo ni estimation according to colonial master)
3. Gross National Income Per Capita. Hii ni kasheshe kubwa sana

Gross National Income Per Capita
The gross national income per capita, or GNI, measures the annual income of the average citizen based on purchasing power parity, or PPP. The GNI index uses a minimum income of $100 and a maximum of $75,000. The index uses a logarithmic scale to show the decrease in purchasing power as income increases. The GNI per capita for citizens of Generica is $50,000. The income index for the HDI would be [Log(50,000) - Log(100)]/ [Log(75,000) - Log(100)], or 0.94.

Calculating the HDI
The HDI is found by taking the geometric mean of the life expectancy, education and income indexes. The geometric mean for three numbers involves taking the product of the numbers and finding the cube root. In the equation below, taking a number to the 1/3 power is the same as finding the cube root. For Generica, the formula would look like this:

(0.77 x 0.8 x 0.94) ^ 0.3333333

= (0.58) ^ 0.3333333

= 0.83

Usiponielewa basi utakuwa kichaa
 
Hehehe mkishindwa manawaita wakoloni, wakiwasifu mnakuja kututambia.
 
Umeshinda wapi sasa!!?
Nilikuwa nataka kukuelimisha tu ili ujue how HDI calculated ili povu lako lishuke.

Huna lolote la kunielemisha maana wewe ni Mtanzania.
 
Vipi kuhusu Msumbiji, Zimbawe, namibia, na Uganda ambako kote tulipambana na majeshi yenye nguvu na tukaibuka washindi?, Vipi kuhusu Liberia tulipomshikisha adabu Charles Taylor mliyekua mnamuita mbabe wa Vita hawezi kushindwa?, vipi M23 walipotezwa na Nani?. Tuambieni historia ya KDF katika uwanja wa vita.
Sent using Jamii Forums mobile app
hzo mission si mlifanya collabo tu...m23 vijana wa mapanga na waliwakatakata hvvo hvo...hyo hta ni aibu walai
 
Vipi kuhusu Msumbiji, Zimbawe, namibia, na Uganda ambako kote tulipambana na majeshi yenye nguvu na tukaibuka washindi?, Vipi kuhusu Liberia tulipomshikisha adabu Charles Taylor mliyekua mnamuita mbabe wa Vita hawezi kushindwa?, vipi M23 walipotezwa na Nani?. Tuambieni historia ya KDF katika uwanja wa vita.
Sent using Jamii Forums mobile app
hzo mission si mlifanya collabo tu...m23 vijana wa mapanga na waliwakatakata hvvo hvo...hyo hta ni aibu walai.

ikomboeni congo kwanza...bwahahaaa..naona watz wakilialia ili muwatoe majeshi wenu congo
 
Hahahahaha, mlipofukuzwa South Sudan na Ban Ki- Mon alivyoona jeshi lenu linakimbia na kuacha raia wakiuliwa na kibakwa, very weak Army. Tuonyesheni vita gani mliyoshinda, hata japo vita ya collabo mliyoshinda ni ipi?. Hata huko Sudan mlikofukuzwa mlikua collabo lakini bado mlishindwa mkafukuzwa. Very weak army in central and East Africa kuwahi kutokea
 
Mosquito siku hizi inauwawa na nyundo pia shoka walai Midanganyika itatuonyesha vituko.Whoever bewitched you alitupa ufunguo Pacific sea,
 
Sasa hata Mtoto mdogo anajua military personnel ya Islands kama Seychelles, Comoros na Mauritius Mayotte ni kidogo sana such that even pirates can overrun them...mbona mkiingia Kongo mnakanyagwa kama burukenge na machete wielding child soldiers?... Danganyikans bure kabisa.
El ade atack ilidumu kwa lisaa na nusu kdf wakapoteza personnel 185.
while tpdf shambulio lao lilidumu masaa 18 wakapoteza askari 14
el ade was full military base

jwtz ilkua detach yan kambi nusu na askari wachache
militants walikua zaidi ya 600 (askari wa rwanda) ila walikimbia

kdf hawana record nzuri bora uganda

yani kambi ilitekwa siku4 af unakuja kuhara hapa
broh in military wise Burundi ndio saizi yenu
 
Kdf haina haja ya kuvamia wanyonge kama seychelles. Hiyo tumewaachia nyie wanyonge wenzao. Sisi kazi yetu ni kufinya m*kende ya al shabab hadi wakome.
kama wavaa kobazi waliwatoa jasho mngeweza askari wa nchi waliopindua nchi? kikosi cha askari 70 walirudisha shelisheli kwe utulivu vipi somalia hadi leo mgambo af 2 tuu wanawatoa jasho mwaka wa 3 huu

acheni ujinga kufananisha jwtz na vitu vya kijinga!!
 
Hahahahaha, mlipofukuzwa South Sudan na Ban Ki- Mon alivyoona jeshi lenu linakimbia na kuacha raia wakiuliwa na kibakwa, very weak Army. Tuonyesheni vita gani mliyoshinda, hata japo vita ya collabo mliyoshinda ni ipi?. Hata huko Sudan mlikofukuzwa mlikua collabo lakini bado mlishindwa mkafukuzwa. Very weak army in central and East Africa kuwahi kutokea
kaulize UN nani alinyakuwa kismayu...unafikiria kdf walifanya collabo kuinyakuwa kismayu
 
Back
Top Bottom