mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,780
- 6,480
Inferiority complex forces them to post here for consolation.Anyway why is this on Kenya News? Moderators?. Flooding Kenya News section with nonsense Tz news is getting out of hand
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inferiority complex forces them to post here for consolation.Anyway why is this on Kenya News? Moderators?. Flooding Kenya News section with nonsense Tz news is getting out of hand
Kenya ranked as 'failed state'Kenya, South Africa and Nigeria are African leaders...others are Shithole countries including Tanzagiza... By the way umeme wa mgao bado unawasumbua Dar?
Sisi tunawapa chakula WFP nyie mnapata msaada toka WFP. Hamuoni hata aibu!!?
Yaani naona bado upo mbali sana kila siku unaongelea Ranking ranking unajua nani anayefanya hizo ranking? is your colony master dude!!Hawa hawa WFP ndio wanasema asilimia 35% ya watoto chini ya umri wa miaka mitano wa Watanzania wamedumaa (stunted) kwa ukosefu wa lishe bora.
Pia wamewaumbua jinsi mikoani na wilayani ni njaa, na ndio wao pia wameonyesha tumewashinda kwenye HDI ranking. Soma taarifa nyingi za WFP kuhusu Tanzania....wacha kupost Tweet moja na kukimbia.
Lakini muwashukuru maana wanawasaidia wakulima wenu kwa kununua mazao kutoka kwao wakati mumekubali kujituma.
UN World Food Programme
Yaani naona bado upo mbali sana kila siku unaongelea Ranking ranking unajua nani anayefanya hizo ranking? is your colony master dude!!
Hata hivyo unajua HDI inapatikana vipi? This is just calculation my friend.
1. Life Expectancy Index (Hii ni virtual arithmetic haipo)
2. Education Index (Hii nayo ni estimation according to colonial master)
3. Gross National Income Per Capita. Hii ni kasheshe kubwa sana
Gross National Income Per Capita
The gross national income per capita, or GNI, measures the annual income of the average citizen based on purchasing power parity, or PPP. The GNI index uses a minimum income of $100 and a maximum of $75,000. The index uses a logarithmic scale to show the decrease in purchasing power as income increases. The GNI per capita for citizens of Generica is $50,000. The income index for the HDI would be [Log(50,000) - Log(100)]/ [Log(75,000) - Log(100)], or 0.94.
Calculating the HDI
The HDI is found by taking the geometric mean of the life expectancy, education and income indexes. The geometric mean for three numbers involves taking the product of the numbers and finding the cube root. In the equation below, taking a number to the 1/3 power is the same as finding the cube root. For Generica, the formula would look like this:
(0.77 x 0.8 x 0.94) ^ 0.3333333
= (0.58) ^ 0.3333333
= 0.83
Usiponielewa basi utakuwa kichaa
Umeshinda wapi sasa!!?Hehehe mkishindwa manawaita wakoloni, wakiwasifu mnakuja kututambia.
Umeshinda wapi sasa!!?
Nilikuwa nataka kukuelimisha tu ili ujue how HDI calculated ili povu lako lishuke.
Basi kaa na ujinga wako kwa sababu wewe ni mkenya.Huna lolote la kunielemisha maana wewe ni Mtanzania.
Kdf haina haja ya kuvamia wanyonge kama seychelles. Hiyo tumewaachia nyie wanyonge wenzao. Sisi kazi yetu ni kufinya m*kende ya al shabab hadi wakome.
Alshababu wanawashika matako kila siku, hamna uwezo wa kushinda vita yoyote ileKdf haina haja ya kuvamia wanyonge kama seychelles. Hiyo tumewaachia nyie wanyonge wenzao. Sisi kazi yetu ni kufinya m*kende ya al shabab hadi wakome.
Ungejuwa waliokuwa nyuma ya ile coup usinge thubutu kusema hayo.Sasa hata Mtoto mdogo anajua military personnel ya Islands kama Seychelles, Comoros na Mauritius Mayotte ni kidogo sana such that even pirates can overrun them..
hzo mission si mlifanya collabo tu...m23 vijana wa mapanga na waliwakatakata hvvo hvo...hyo hta ni aibu walaiVipi kuhusu Msumbiji, Zimbawe, namibia, na Uganda ambako kote tulipambana na majeshi yenye nguvu na tukaibuka washindi?, Vipi kuhusu Liberia tulipomshikisha adabu Charles Taylor mliyekua mnamuita mbabe wa Vita hawezi kushindwa?, vipi M23 walipotezwa na Nani?. Tuambieni historia ya KDF katika uwanja wa vita.
Sent using Jamii Forums mobile app
hzo mission si mlifanya collabo tu...m23 vijana wa mapanga na waliwakatakata hvvo hvo...hyo hta ni aibu walai.Vipi kuhusu Msumbiji, Zimbawe, namibia, na Uganda ambako kote tulipambana na majeshi yenye nguvu na tukaibuka washindi?, Vipi kuhusu Liberia tulipomshikisha adabu Charles Taylor mliyekua mnamuita mbabe wa Vita hawezi kushindwa?, vipi M23 walipotezwa na Nani?. Tuambieni historia ya KDF katika uwanja wa vita.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha, mlipofukuzwa South Sudan na Ban Ki- Mon alivyoona jeshi lenu linakimbia na kuacha raia wakiuliwa na kibakwa, very weak Army. Tuonyesheni vita gani mliyoshinda, hata japo vita ya collabo mliyoshinda ni ipi?. Hata huko Sudan mlikofukuzwa mlikua collabo lakini bado mlishindwa mkafukuzwa. Very weak army in central and East Africa kuwahi kutokeahzo mission si mlifanya collabo tu...m23 vijana wa mapanga na waliwakatakata hvvo hvo...hyo hta ni aibu walai.
ikomboeni congo kwanza...bwahahaaa..naona watz wakilialia ili muwatoe majeshi wenu congo
El ade atack ilidumu kwa lisaa na nusu kdf wakapoteza personnel 185.Sasa hata Mtoto mdogo anajua military personnel ya Islands kama Seychelles, Comoros na Mauritius Mayotte ni kidogo sana such that even pirates can overrun them...mbona mkiingia Kongo mnakanyagwa kama burukenge na machete wielding child soldiers?... Danganyikans bure kabisa.
kama wavaa kobazi waliwatoa jasho mngeweza askari wa nchi waliopindua nchi? kikosi cha askari 70 walirudisha shelisheli kwe utulivu vipi somalia hadi leo mgambo af 2 tuu wanawatoa jasho mwaka wa 3 huuKdf haina haja ya kuvamia wanyonge kama seychelles. Hiyo tumewaachia nyie wanyonge wenzao. Sisi kazi yetu ni kufinya m*kende ya al shabab hadi wakome.
kaulize UN nani alinyakuwa kismayu...unafikiria kdf walifanya collabo kuinyakuwa kismayuHahahahaha, mlipofukuzwa South Sudan na Ban Ki- Mon alivyoona jeshi lenu linakimbia na kuacha raia wakiuliwa na kibakwa, very weak Army. Tuonyesheni vita gani mliyoshinda, hata japo vita ya collabo mliyoshinda ni ipi?. Hata huko Sudan mlikofukuzwa mlikua collabo lakini bado mlishindwa mkafukuzwa. Very weak army in central and East Africa kuwahi kutokea