Hit za mwisho walizotoa malegend wa bongo flava, baada ya hapo walirudi level za kawaida na wengine hawakuvuma tena

Hit za mwisho walizotoa malegend wa bongo flava, baada ya hapo walirudi level za kawaida na wengine hawakuvuma tena

wastani kwa idadi

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2024
Posts
503
Reaction score
1,432
Inspector Haroun - Asali wa Moyo
Juma Nature - Dance with Me
Professor Jay - kipi sijasikia
Dully Sykes - Bongo fleva
Ray C - Unanimaliza
Feruz - Ndege mtini
Mwana Fa - Mfalme
Ngwea (Rip) - Nipeni dili
Chege na Temba - mkono moja
Marlaw - Pii pii
AY - Leo remix
Mr Blue - Baki na mimi
TID na Qchief - Nilikataa


nimepata wakati mgumu kumuweka Lady Jay Dee, kila tunapodhani kastafu anakipa kitu
 
Inspector Haroun - Asali wa Moyo
Lady Jay Dee - Ndi ndi ndi
Juma Nature - Dance with Me
Professor Jay - Hapo vipi
Feruz - Ndege mtini
Ngwea (Rip) - Nipeni dili
Chege na Temba - mkono moja
Uongo...

Lady Jay Dee - Mambo Matano.


Ngwea - CNN
 
AY-Leo
Fid Q-Professional
MwanaFA ft Gnako-Mfalme
Dully Syekes-Baby Candy
 
AY-Leo
Fid Q-Professional
MwanaFA ft Gnako-Mfalme
Dully Syekes-Baby Candy
LEO ilikuwa ni wimbo wa kundi, AY hit yake ya mwisho nayoikumbuka ni Usijaribu

Dully Sukes katoa hits za ziada kama Bongo fleva

Kwa mwana FA baada ya mfalme kuna gwiji na we endelea tu, zina hadhi ya kuwa level za hit ?
 
LEO ilikuwa ni wimbo wa kundi, AY hit yake ya mwisho nayoikumbuka ni Usijaribu

Dully Sukes katoa hits za ziada kama Bongo fleva
AY ana wimbo unaitwa LEO, remix alimshirikisha Avril

Dully baada ya Baby Candy sijaona wimbo mwingine Bongo Fleva level za chini sana
 
Inspector Haroun - Asali wa Moyo
Juma Nature - Dance with Me
Professor Jay - Hapo vipi
Dully Sykes - Bongo fleva
Ray C - Unanimaliza
Feruz - Ndege mtini
Mwana Fa - Mfalme
Ngwea (Rip) - Nipeni dili
Chege na Temba - mkono moja
Marlaw - Pii pii
AY - Leo remix
Mr Blue - Baki na mimi

nimepata wakati mgumu kumuweka Lady Jay Dee, kila tunapodhani kastafu anakipa kitu
Mkuu acha uwongo baada ya hapo vipi ya prof jay hit songs kadhaa zilifuata kutoka kwake.
 
Professor jay kipi sijasikia 2014
Professor jay ft sholo mwamba-Kazi 2015
-Kwa professor muongezee hiyo Hit Ft Sholo Mwamba Ilihit Hiyo Nyimbo.
*Lady Jaydee Labda Aamue Kuacha Muziki.Kile Ni Kipaji Asilia.
 
Inspector Haroun - Asali wa Moyo
Juma Nature - Dance with Me
Professor Jay - kipi sijasikia
Dully Sykes - Bongo fleva
Ray C - Unanimaliza
Feruz - Ndege mtini
Mwana Fa - Mfalme
Ngwea (Rip) - Nipeni dili
Chege na Temba - mkono moja
Marlaw - Pii pii
AY - Leo remix
Mr Blue - Baki na mimi
TID na Qchief - Nilikataa


nimepata wakati mgumu kumuweka Lady Jay Dee, kila tunapodhani kastafu anakipa kitu
Oya MWANA FA yupo sana..
 
Back
Top Bottom