wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
Kalapina_mstari wa mbeleInspector Haroun - Asali wa Moyo
Juma Nature - Dance with Me
Professor Jay - Hapo vipi
Feruz - Ndege mtini
Uncle Pina aliua muleKalapina_mstari wa mbele
Uongo...Inspector Haroun - Asali wa Moyo
Lady Jay Dee - Ndi ndi ndi
Juma Nature - Dance with Me
Professor Jay - Hapo vipi
Feruz - Ndege mtini
Ngwea (Rip) - Nipeni dili
Chege na Temba - mkono moja
For sure mkuuLady jaydee hajawahi kupotea ...cheki ile ngoma mambo ma5...si recent kabsa...!???
Tunasahishana mkuu, maana miaka imeenda
LEO ilikuwa ni wimbo wa kundi, AY hit yake ya mwisho nayoikumbuka ni UsijaribuAY-Leo
Fid Q-Professional
MwanaFA ft Gnako-Mfalme
Dully Syekes-Baby Candy
LEO ilikuwa ni wimbo wa kundi, AY hit yake ya mwisho nayoikumbuka ni Usijaribu
Dully Sukes katoa hits za ziada kama Bongo fleva
Mkuu acha uwongo baada ya hapo vipi ya prof jay hit songs kadhaa zilifuata kutoka kwake.Inspector Haroun - Asali wa Moyo
Juma Nature - Dance with Me
Professor Jay - Hapo vipi
Dully Sykes - Bongo fleva
Ray C - Unanimaliza
Feruz - Ndege mtini
Mwana Fa - Mfalme
Ngwea (Rip) - Nipeni dili
Chege na Temba - mkono moja
Marlaw - Pii pii
AY - Leo remix
Mr Blue - Baki na mimi
nimepata wakati mgumu kumuweka Lady Jay Dee, kila tunapodhani kastafu anakipa kitu
Hapo umenikumbusha vizuri ni kweli kuna remix ya leoAY ana wimbo unaitwa LEO, remix alimshirikisha Avril
Dully baada ya Baby Candy sijaona wimbo mwingine Bongo Fleva level za chini sana
Oya MWANA FA yupo sana..Inspector Haroun - Asali wa Moyo
Juma Nature - Dance with Me
Professor Jay - kipi sijasikia
Dully Sykes - Bongo fleva
Ray C - Unanimaliza
Feruz - Ndege mtini
Mwana Fa - Mfalme
Ngwea (Rip) - Nipeni dili
Chege na Temba - mkono moja
Marlaw - Pii pii
AY - Leo remix
Mr Blue - Baki na mimi
TID na Qchief - Nilikataa
nimepata wakati mgumu kumuweka Lady Jay Dee, kila tunapodhani kastafu anakipa kitu