Hitaji kubwa la Tanzania ni Katiba Mpya

Hoja ya hovyo kabisa hii!
 
Sio kweli
 
Hitaji kubwa nchi hii ni kubadilisha mtizamo wetu na siasa zetu.
 
kenya na afirka kusina wanakatiba nzuli sana lakini ufisadi mtindo 1 raiya wako hoi mtu mweusi hawezi kujiongoza
Hivi wewe unaweza linganisha maendeleo ya Kenya na Afrika Kusini na hapa kwetu TZ?

Ama kweli kuwa Sisiem, maana yake ni kuhamishia akili yako mtaa ule wa Lumumba!😎

Wewe unajua kuwa Zuma amefungwa jela Afrika Kusini, hebu jaribu kuimagine, kama suala hilo linaweza kutokea hapa TZ, licha ya Rais aliyeko madarakani, kuivunja Katiba ya nchi, kadri atakavyo!
 
Hizi ndio fikra nyingi za wa ccm yaani ni aibu
 
Hili povu sio la nchi hii 🤣🤣🤣btw have a lovely evening uvccm!!
 
Hizi ndio fikra nyingi za wa ccm yaani ni aibu
kulia na kucheka zote kelele kutoa mandela tu lakini maris wote waliopita afirika kusini ni mafisadi na hukuna aliefungwa wala kutaifishwa mali alioiba huyu zuma hiyo changa la macho afungwi mtu hapo

kenya kuanzia mwaikibaki wote hao mafisadi mpaka uhuru hata ruto mawaziri wote mafisadi nani kafungwa au kutaifishwa mali alizo iba? tangu lini mtu mweusi akaacha kuiba
 

katiba ya sasa ni katiba bora sana, ina manufaa makubwa sana, SAY NO TO KATIBA MPYA
 
Katiba inajisimia yenyewe ni juu ya kiongozi wa nchi kuilinda au la; halafu aone mziki utakaotokea.Katiba haijali wasifu wa mtu.
utawala wa watu weusi hauna uwezo wa kusimamia katiba hata siku 1 tatizo kubebana urafi wizi umimi firika kuna nchi 54 zote watawala wake ni majizi tu raiya wake wako hoi viongozi wa kisiasa ndio matajiri kasolo nchi chache ambazo raiya wake kidogo wanapata maji safi ya kunywa shule afiya haki zao mahakaman nchi hizo mfano ribiya ya zamani moroco swazilandi misiri irijeriya nchi zote zilizo salia raiya wako hoi hata hapa kwetu katiba mtapata lakini wewe na mimi tutabaki kuwa hoi tu
 
Unalinganisha maendeleo ya Kenya, south Africa na nchi Yako Tanzania halafu nani alikeambia kwa kuwa huko Kuna ufisadi basi sisi tusiwe na katiba Mpya?
 
Katiba za mataifa mengi ya Africa ni za kidikteta zinatoa mianya kwa viongozi wa juu kufanya Chochote wanachojidikia na ndio matatizo mengi yanapoanzia
 
Unalinganisha maendeleo ya Kenya, south Africa na nchi Yako Tanzania halafu nani alikeambia kwa kuwa huko Kuna ufisadi basi sisi tusiwe na katiba Mpya?
malendo ya katiba bora kutoa haki kwa kila mtu kukomesha wizi na ubadhilifu wa mali za umma umimi kubebana na kazdharika, kwa watu weusi hiyo ni ndoto hata katba ushuke kutoka mbunguni kila mtu aione inashuka lakini asidi ahachi asili nchi zote za afirika kwni azina katiba chunguza uone maishi ya riya yalivio na chunguza uone wanasiasa wanavio tajirika kupitia kodi za wanyonge mama anakata mzizi wa fitina sasa katba mpiya ndio kipaumbele chake lakini sio sababu ya kuziya umimi ufisadi kubebana la sisi watu weusi uwezo wetu wa kujitawala ni mdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…