Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Mama kapanic hadi anaongea vitu watu wote wanashangaa.Duuu! Miaka mitatu ya kupata elimu ya katiba[emoji16][emoji16][emoji24]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama kapanic hadi anaongea vitu watu wote wanashangaa.Duuu! Miaka mitatu ya kupata elimu ya katiba[emoji16][emoji16][emoji24]
Kwa hiyo unataka kujilinganisha na Kenya au SA? Kwanini usijilinganishe na EGypt au Israel?kenya na afirka kusina wanakatiba nzuli sana lakini ufisadi mtindo 1 raiya wako hoi mtu mweusi hawezi kujiongoza
Ina uzuri gani wakati Mahakama haina uhuri na watu wanaiba mali za umma kwa kuwa hakuna mtu au chombo cha kuwawajibisha.Katiba iliyopo ni nzuri na inatufaa vyema tu.....
Hitaji la Tanzania si katiba mpya....
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app