B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 24,831 Reaction score 45,154 Sep 12, 2023 #61 Poa 2 said: Duuu! Miaka mitatu ya kupata elimu ya katiba[emoji16][emoji16][emoji24] Click to expand... Mama kapanic hadi anaongea vitu watu wote wanashangaa.
Poa 2 said: Duuu! Miaka mitatu ya kupata elimu ya katiba[emoji16][emoji16][emoji24] Click to expand... Mama kapanic hadi anaongea vitu watu wote wanashangaa.
B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 24,831 Reaction score 45,154 Sep 12, 2023 #62 25000q said: kenya na afirka kusina wanakatiba nzuli sana lakini ufisadi mtindo 1 raiya wako hoi mtu mweusi hawezi kujiongoza Click to expand... Kwa hiyo unataka kujilinganisha na Kenya au SA? Kwanini usijilinganishe na EGypt au Israel? Wajinga mnajifunza kwa waliofeli?
25000q said: kenya na afirka kusina wanakatiba nzuli sana lakini ufisadi mtindo 1 raiya wako hoi mtu mweusi hawezi kujiongoza Click to expand... Kwa hiyo unataka kujilinganisha na Kenya au SA? Kwanini usijilinganishe na EGypt au Israel? Wajinga mnajifunza kwa waliofeli?
Sir John Roberts JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 12,835 Reaction score 23,584 Sep 12, 2023 #63 Katiba siyo kipaumbele kwa sasa wananchi wapewe elimu.
Mkunazi Njiwa JF-Expert Member Joined Apr 22, 2023 Posts 8,538 Reaction score 7,559 Sep 12, 2023 #64 Katiba iliyopo ni nzuri na inatufaa vyema tu..... Hitaji la Tanzania si katiba mpya.... Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Katiba iliyopo ni nzuri na inatufaa vyema tu..... Hitaji la Tanzania si katiba mpya.... Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 24,831 Reaction score 45,154 Sep 12, 2023 #65 Mkunazi Njiwa said: Katiba iliyopo ni nzuri na inatufaa vyema tu..... Hitaji la Tanzania si katiba mpya.... Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app Click to expand... Ina uzuri gani wakati Mahakama haina uhuri na watu wanaiba mali za umma kwa kuwa hakuna mtu au chombo cha kuwawajibisha. Mfano Bandari na DPW
Mkunazi Njiwa said: Katiba iliyopo ni nzuri na inatufaa vyema tu..... Hitaji la Tanzania si katiba mpya.... Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app Click to expand... Ina uzuri gani wakati Mahakama haina uhuri na watu wanaiba mali za umma kwa kuwa hakuna mtu au chombo cha kuwawajibisha. Mfano Bandari na DPW