Hitimisho: Chama ni Kiungo Bora wa Muda wote

Hitimisho: Chama ni Kiungo Bora wa Muda wote

Akili nyingine hizi daaaaah yani mchezaji kuifikisha team robo final ndo kelele zinakuwa nyingi hivi vipi Wale waloipeleka final mwaka 1993 tena kipindi hicho uwekezaji ukiwa mdogo waseme nini?? Wapeni heshima ma legends wenu ndo wamefanya Hz team kuwa zilivyoleo, unadhani wangekuwa wanacheza Kwa performance ndogo hizi team zingepata majina??

Hi Simba ya Chama haijawahi kuvuka hatua ya robo kwenda nusu lakini kuna wanaume washapambana team ikafika semi final kwenye klabu bingwa na final kwenye shirikisho hawaimbwi Sana kwasababu teknolojia kipindi chao ilikuwa ndogo
 
Halafu unavyosema millennia navyojua ni kipindi cha miaka buku sasa ndo Kwanza tupo 2022 sasa sijui umetumia kigezo gani kufanya conclusion ya millennia ambayo hata haijaisha bado, what if wakatokea talents wengine Bora zaidi yake?? Tuache ushabiki wa kipuuzi na kishamba tuuongelee mpira kwenye uhalisia wake
NB
Chama ni miongoni mwa wachezaji bora kwasasa kwenye Ligi yetu
 
Chama anatesa dhidi ya timu ndogo akikutana na wakurugumbe anajinyeaga tu, mfano juzi kati na Mbeya City mavi yalimbana huyu mwana Ngada FC, Sembe FC, Pusha FC, Punda FC, Bwimbwi FC au nasema uongo ndugu zangu.

Unajiskia vibaya ila ndo hvyo hamna namna[emoji23][emoji23]pole mkuu
 
Uzi huu kinyesi fc watapita kama wanaaga maiti ya gay!
 
Back
Top Bottom