Hitimisho la Tundu: Antipas Lissu mbele ya Mahakama...

Hitimisho la Tundu: Antipas Lissu mbele ya Mahakama...

Manyanza

Platinum Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
22,269
Reaction score
58,563
IMG-20260823-WA0101.jpg

Wakuu !
Ukisoma hili hitimisho la Mh. Tundu Lissu unapata hisia na uchungu mwingi sana hasa ukizingatia namna vile Jamhuri ilivyokuwa inamfanyia.

Siku 136 bila rufaa kusikilizwa na wakawa wamemuweka mahabusu tu na hata alipoenda nae Mahakama ya rufaa akawashinda

Bado hata Mashahidi wa Jamhuri nao ni vizungumkuti na hakuna hata ushahidi uliokuwa unaweza kumtia hatiani.

Haki zake za maingi kule mahabusu alikuwa hazipati.

Huyu Jamaa historia itamkumbuka hata Mahakama ya mbinguni ana la kujitetea

Nukuu kidogo

“Mimi kwa hakika najua maslahi yangu ni yapi: kutetea ukweli ninaoujua kwa ujasiri na bila hofu… Kifo kinatutabasamia sote; yote ambayo mwanadamu anaweza kufanya ni kukitabasamia pia.”

“History will absolve me”.

View attachment 3655717

ok.🐒

Wakuu !
ni nini hiki 😅😅😅 coding.

Siku 136 bila rufaa kusikilizwa na wakawa wamemuweka mahabusu tu na hata alipoenda nae Mahakama ya rufaa akawashinda
Kwa hiyo nafasi bado ipo huko.

Kinachofanyika huku sasa hivi ni matumaini waliyonayo kwamba pengine watamlainisha kabla ya kufikia huko kwenye hiyo mahakama nyingine.
Najuwa Tundu Lissu hata siku moja hawezi kulainishwa

Mwisho wa yote, Tundu Lissu atabaki amesimama kwa heshima kubwa sana ndani ya taifa hili; na ukombozi wake kamwe hauwezi kuzuiwa na yeyote.

Elite Home Tuition – Elimu Bora Tanzania Nzima 🇹🇿

📚 Elite Home Tuition tunatoa huduma bora za Home Tuition Tanzania nzima, kwa wanafunzi wa viwango mbalimbali kuanzia KG 1 hadi watu wazima.

Tunawasaidia wanafunzi wenye mahitaji tofauti ya kielimu, ikiwemo:

🧩 Autism / Autism Spectrum Disorder (ASD)
♿ Wanafunzi wenye mahitaji maalum ya kielimu (Special Needs Education)
🧠 Wanafunzi wenye changamoto za kujifunza (Learning Difficulties)
🗣️ Speech & Language Difficulties
📖 Slow Learners
🎯 Wanafunzi wanaohitaji msaada wa ziada kitaaluma

📚 Viwango tunavyohudumia:
👧 KG 1 hadi KG 4
🏫 Primary School
🎓 Secondary School
📖 A-Level
🎓 College & University
👨‍💼 Watu wazima

🌍 Lugha za kigeni:
🇬🇧 English
🇫🇷 French
🇩🇪 German
🇪🇸 Spanish
🇮🇹 Italian
🇨🇳 Chinese (Mandarin)
🇸🇦 Arabic
🇷🇺 Russian
🇯🇵 Japanese
🇰🇷 Korean
🇵🇹 Portuguese
🌍 Na lugha nyingine za kigeni kulingana na mahitaji yako.

📖 Mitaala yote: Tanzania National Curriculum, Cambridge, International Curricula na mitaala mingine.

✨ Tunatoa:
✅ One-to-One Home Tuition
✅ Online Tuition
✅ Special Needs Support
✅ Remedial Classes
✅ Exam Preparation
✅ Reading & Writing Support
✅ Language Classes
✅ Homework & Assignment Support
✅ Academic Support

📍 Tunapatikana Tanzania nzima.

📲 WhatsApp/Call: 0743567159

🏠 Elite Home Tuition
Quality Education at Your Doorstep. 🇹🇿
Huu ni uchafu kwenye mada hii.

Kama hata hujui ni wapi panapofaa kutupa takataka kama hii yako, utakuwaje na msaada kwa mtu yeyote kwa kumfundisha jambo!

Huu ni mfano mzuri wa Samia alivyoharibu nchi hii. Mambo yanakwenda hovyohovyo tu kila mahali.

View attachment 3655717
Wakuu !
Ukisoma hili hitimisho la Mh. Tundu Lissu unapata hisia na uchungu mwingi sana hasa ukizingatia namna vile Jamhuri ilivyokuwa inamfanyia.

Siku 136 bila rufaa kusikilizwa na wakawa wamemuweka mahabusu tu na hata alipoenda nae Mahakama ya rufaa akawashinda

Bado hata Mashahidi wa Jamhuri nao ni vizungumkuti na hakuna hata ushahidi uliokuwa unaweza kumtia hatiani.

Haki zake za maingi kule mahabusu alikuwa hazipati.

Huyu Jamaa historia itamkumbuka hata Mahakama ya mbinguni ana la kujitetea

Nukuu kidogo

“Mimi kwa hakika najua maslahi yangu ni yapi: kutetea ukweli ninaoujua kwa ujasiri na bila hofu… Kifo kinatutabaSAMIA sote; yote ambayo mwanadamu anaweza kufanya ni kukitabaSAMIA pia.”

“History will absolve me”.
TUMEKUELEWA

Ndio maana Majaji walisema maneno yafuatayo.... Wengi yaliwapita

' Mahakama hii haiangalii uzito wa ushahidi uliotolewa au vielelezo Bali kwa kuwa Kuna establish ya kesi basi mstakiwa inatakiwa ujitetee'

Hii statement Ina maana ushahidi ulioletwa Mahakamani haukukamilisha vigezo ..kwa maana mashahidi wote wameleta maneno tuu.. hakuna kielelezo hata kimoja...

Hivyo Mahakama inataka isikilize upande wa Lissu anasemaje.... Japo naona Kuna ukakasi kwa Mahakama kukubali wakubwa kama IGP, DG TISS na wengine kuja...wanaona wataaibika

Huko vijijini watu wanapambana kuandaa mashamba yao huyu ndugu anakuja na quotes za Marcus Aurelius.

They guy ni typical mwanaharakati.

Sio mwanasiasa kabisa.

View attachment 3655717
Wakuu !
Ukisoma hili hitimisho la Mh. Tundu Lissu unapata hisia na uchungu mwingi sana hasa ukizingatia namna vile Jamhuri ilivyokuwa inamfanyia.

Siku 136 bila rufaa kusikilizwa na wakawa wamemuweka mahabusu tu na hata alipoenda nae Mahakama ya rufaa akawashinda

Bado hata Mashahidi wa Jamhuri nao ni vizungumkuti na hakuna hata ushahidi uliokuwa unaweza kumtia hatiani.

Haki zake za maingi kule mahabusu alikuwa hazipati.

Huyu Jamaa historia itamkumbuka hata Mahakama ya mbinguni ana la kujitetea

Nukuu kidogo

“Mimi kwa hakika najua maslahi yangu ni yapi: kutetea ukweli ninaoujua kwa ujasiri na bila hofu… Kifo kinatutabasamia sote; yote ambayo mwanadamu anaweza kufanya ni kukitabasamia pia.”

“History will absolve me”.
Hiyo para ya mwisho inaonyesha mwamba yupo tayari kwa lolote even death penalty. Tumpate wapi mtu kama huyu ambaye Roho wa Mungu Yu ndani yake. Ambaye yupo tiyari kufia anchokiamini kuwa ni sahihi.

Hii ndo definition ya though ukweli unauma ila haki haipo duniani. Na hiki kina happen mbele ya macho yetu sio maigizo hapa.

No one cares about the truth, they care about power and ego.

Liberation haiji haraka namna hii, collective bado haina uhitaji na hakuna mtanzania anaye feel hiyo pain kwa ukubwa ule tuaoudhania

Wale majaji walio iendesha kesi yake, huhitaji kuwa na akili nyingi kugundua kama wanafanya ile kazi yao kwa maelekezo kutoka juu au upande wa mashtaka.
Vyovyote na itakavyokuwa huko mahakamani:

1. Kesi imefuatiliwa na kila aliyetaka kufuatilia kinachoendelea huko.
2. WaTanzania watakuwa wameshuhudia wenyewe uhalisi wa mahakama zetu
3. WaTanzania watakuwa wamepata kumfahamu vizuri zaidi Tundu Lissu ni mtu wa namna gani

Kinachotafutwa katika kesi hii; kama ilivyo katika maswala mengine yote hapa nchini, mahakama inatengeneza mazingira ya kumpa Samia fursa ya kujinasua toka kwenye janga kubwa alilojiingiza mwenyewe; ikitegemewa kwamba itafikia mahali Tundu Lissu alegee na kukubali matakwa yao ya kumtumia yeye na chama chake.
Kama hilo litashindkana, Samia pia atatafuta kusifiwa kwa kuimaliza kesi kwa kuiondoa mahakamani kwa maigizo ya kutafuta kujenga mshikamano ndani ya taifa, jambo ambalo Samia hawezi kabisa kulitimiza.

Back
Top Bottom