ok.🐒View attachment 3655717
Wakuu !
Ukisoma hili hitimisho la Mh. Tundu Lissu unapata hisia na uchungu mwingi sana hasa ukizingatia namna vile Jamhuri ilivyokuwa inamfanyia.
Siku 136 bila rufaa kusikilizwa na wakawa wamemuweka mahabusu tu na hata alipoenda nae Mahakama ya rufaa akawashinda
Bado hata Mashahidi wa Jamhuri nao ni vizungumkuti na hakuna hata ushahidi uliokuwa unaweza kumtia hatiani.
Haki zake za maingi kule mahabusu alikuwa hazipati.
Huyu Jamaa historia itamkumbuka hata Mahakama ya mbinguni ana la kujitetea
Nukuu kidogo
“Mimi kwa hakika najua maslahi yangu ni yapi: kutetea ukweli ninaoujua kwa ujasiri na bila hofu… Kifo kinatutabasamia sote; yote ambayo mwanadamu anaweza kufanya ni kukitabasamia pia.”
“History will absolve me”.
Kwa hiyo nafasi bado ipo huko.Siku 136 bila rufaa kusikilizwa na wakawa wamemuweka mahabusu tu na hata alipoenda nae Mahakama ya rufaa akawashinda
Huu ni uchafu kwenye mada hii.Elite Home Tuition – Elimu Bora Tanzania Nzima 🇹🇿
📚 Elite Home Tuition tunatoa huduma bora za Home Tuition Tanzania nzima, kwa wanafunzi wa viwango mbalimbali kuanzia KG 1 hadi watu wazima.
Tunawasaidia wanafunzi wenye mahitaji tofauti ya kielimu, ikiwemo:
🧩 Autism / Autism Spectrum Disorder (ASD)
♿ Wanafunzi wenye mahitaji maalum ya kielimu (Special Needs Education)
🧠 Wanafunzi wenye changamoto za kujifunza (Learning Difficulties)
🗣️ Speech & Language Difficulties
📖 Slow Learners
🎯 Wanafunzi wanaohitaji msaada wa ziada kitaaluma
📚 Viwango tunavyohudumia:
👧 KG 1 hadi KG 4
🏫 Primary School
🎓 Secondary School
📖 A-Level
🎓 College & University
👨💼 Watu wazima
🌍 Lugha za kigeni:
🇬🇧 English
🇫🇷 French
🇩🇪 German
🇪🇸 Spanish
🇮🇹 Italian
🇨🇳 Chinese (Mandarin)
🇸🇦 Arabic
🇷🇺 Russian
🇯🇵 Japanese
🇰🇷 Korean
🇵🇹 Portuguese
🌍 Na lugha nyingine za kigeni kulingana na mahitaji yako.
📖 Mitaala yote: Tanzania National Curriculum, Cambridge, International Curricula na mitaala mingine.
✨ Tunatoa:
✅ One-to-One Home Tuition
✅ Online Tuition
✅ Special Needs Support
✅ Remedial Classes
✅ Exam Preparation
✅ Reading & Writing Support
✅ Language Classes
✅ Homework & Assignment Support
✅ Academic Support
📍 Tunapatikana Tanzania nzima.
📲 WhatsApp/Call: 0743567159
🏠 Elite Home Tuition
Quality Education at Your Doorstep. 🇹🇿
TUMEKUELEWAView attachment 3655717
Wakuu !
Ukisoma hili hitimisho la Mh. Tundu Lissu unapata hisia na uchungu mwingi sana hasa ukizingatia namna vile Jamhuri ilivyokuwa inamfanyia.
Siku 136 bila rufaa kusikilizwa na wakawa wamemuweka mahabusu tu na hata alipoenda nae Mahakama ya rufaa akawashinda
Bado hata Mashahidi wa Jamhuri nao ni vizungumkuti na hakuna hata ushahidi uliokuwa unaweza kumtia hatiani.
Haki zake za maingi kule mahabusu alikuwa hazipati.
Huyu Jamaa historia itamkumbuka hata Mahakama ya mbinguni ana la kujitetea
Nukuu kidogo
“Mimi kwa hakika najua maslahi yangu ni yapi: kutetea ukweli ninaoujua kwa ujasiri na bila hofu… Kifo kinatutabaSAMIA sote; yote ambayo mwanadamu anaweza kufanya ni kukitabaSAMIA pia.”
“History will absolve me”.
Hiki ndio kimenitia uchungu hata kuliko maneno ya Lissu mwenyeweform four failure anaamuru product ya Illboru special school iwekwe lupango!
Hiyo para ya mwisho inaonyesha mwamba yupo tayari kwa lolote even death penalty. Tumpate wapi mtu kama huyu ambaye Roho wa Mungu Yu ndani yake. Ambaye yupo tiyari kufia anchokiamini kuwa ni sahihi.View attachment 3655717
Wakuu !
Ukisoma hili hitimisho la Mh. Tundu Lissu unapata hisia na uchungu mwingi sana hasa ukizingatia namna vile Jamhuri ilivyokuwa inamfanyia.
Siku 136 bila rufaa kusikilizwa na wakawa wamemuweka mahabusu tu na hata alipoenda nae Mahakama ya rufaa akawashinda
Bado hata Mashahidi wa Jamhuri nao ni vizungumkuti na hakuna hata ushahidi uliokuwa unaweza kumtia hatiani.
Haki zake za maingi kule mahabusu alikuwa hazipati.
Huyu Jamaa historia itamkumbuka hata Mahakama ya mbinguni ana la kujitetea
Nukuu kidogo
“Mimi kwa hakika najua maslahi yangu ni yapi: kutetea ukweli ninaoujua kwa ujasiri na bila hofu… Kifo kinatutabasamia sote; yote ambayo mwanadamu anaweza kufanya ni kukitabasamia pia.”
“History will absolve me”.
Vyovyote na itakavyokuwa huko mahakamani:Wale majaji walio iendesha kesi yake, huhitaji kuwa na akili nyingi kugundua kama wanafanya ile kazi yao kwa maelekezo kutoka juu au upande wa mashtaka.