Hitimisho la Tundu: Antipas Lissu mbele ya Mahakama...

Hili jambo nadhani linaendeshwa kama alivyowahi kusema ROSTAM AZIZ juu ya mahakama za Tanganyika na Majaji wake.
 
Lissu The Great
 
Lakini usisahau. Anayopitia Samia usifikiri ni kidogo.
Hakuna binaadam yeyote anayetafuta hali kama hii aliyojiingiza Samia, bila kujali nafasi husika
Sahihi kabisa Samuya anatamani yaishe lakini kiburi na uchu wa madaraka vinamkosesha amani
 
ila hao majamaa wa sirikali wanaotumika na wanasiasa wana mioyo migumu sana, maana matendo wanayoyatenda siyo ya kawaida.
 
Familia ya Tundu Lissu na Lissu Mwenyewe wanapitia wakati mgumu sana
Na sie mashabiki na wanachama kwa kiasi kikibwa tunamshangaa sana huyu binadamu wa kike kwa kibiri hiki
 
Hii wewe umeitoa wapi?

Si ndo tu ameanza kutoa utetezi wake ijumaa kama utangulizi na amesema ili amalize kujieleza, anahitaji siku si chini ya 2?

Hii mmeipata wapi?
 
Ni hatari
Sema hana sifa za kuwa Jaji
Point yangu ni kwamba Hawa majaji wanaopelekewa kesi za wapinzani na hususan ya Lisu ni wale majaji wanaojulikana roho zao mbaya dhidi ya upinzani na mapenzi Yao Kwa CCM kama vile Mwigulu
 
Inasikitisha kwa kweli
Point yangu ni kwamba Hawa majaji wanaopelekewa kesi za wapinzani na hususan ya Lisu ni wale majaji wanaojulikana roho zao mbaya dhidi ya upinzani na mapenzi Yao Kwa CCM kama vile Mwigum
 
Hii wewe umeitoa wapi?

Si ndo tu ameanza kutoa utetezi wake ijumaa kama utangulizi na amesema ili amalize kujieleza, anahitaji siku si chini ya 2?

Hii mmeipata wapi?
Hiyo aliitoa kisutu si ya High court watu wanachanganya madesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…