Hitimisho: Mkataba wa Tanzania na Emirati ya Dubai kupitia DP World tumeukataa!

Kwanini "wachache" wameamua kuulinda na kuupigania huu mkataba kwa nguvu zote bila kujali maoni ya wengi?
Nini kimejificha nyuma ya pazia hadi kutumia cheap labour kama; baba level, kitenge na hadi steave nyerere?
Mbona serikali imekosa hekima jamani kuna nini awamu hii? Haijiulizi kwanini "wenye ufahamu" wote wanaupinga?
 
Kweli nimeamini Kaka yangu umezeeka... sio tena yule niliyekuwa namfahamu ana-host TV shows kali za hoja nzitonzito za MOTOMOTO.
 
Ila huyu Mama SSH hakuwa hivyo, nahisi kuna "kidudu mtu" mahali!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji115]wewe ni kichekesho tena unachekesha sana unajua kwanini samia anamchukia Nyerere kuliko Magufuli ???? Je unajua kwanini mtoto wa kiume wa karume wamemkalia kooni kule zanzibar [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi nilicheka sana nilipo msikia na yule binti wa karume fatma karume ana mshabikia Samia nilisema moyoni kuwa kweli wanawake akili zao ni ndogo sana kung'amua mambo ....kwa kifupi sababu zinazo mfanya samia kumchukia nyerere ndiyo hizo hizo zinazo mfanya kumchukia Abeid karume
 
Samia ameshindwa kuongoza nchi, hajui yuko ikulu kuwatumikia watanganyika, yeye kwa ujinga wake anajiona ndie bosi wetu mwenye mamlaka ya kutufanyia vile atakavyo, hana akili wala hajielewi.
 
Hii imeenda ,Hii imeenda kabisa.
 
Sawa asa what next? Msitumi?
 
Maadam wawakilishi rasmi wa Watanzania ni Bunge letu Tukufu, kama Bunge letu limeridhia, ni Watanzania tumeridhia.
Wabunge hawa hawakuchaguliwa na wananchi, bali walipitishwa na wanaccm tu, kwasabb uchaguzi wa mwaka 2020 uliibiwa (hazikuibiwa kura, bali uliibiwa uchaguzi).

Ni ville tu watanzania ni watu wa hewala hewala, vinginevyo pangechimbika.
 
Mbona mapema kuukataa!! Mm na familia yangu pamoja na ukoo wangu tunataka bandari yetu tu.
Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…