kipenseli2021
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 1,390
- 1,431
Wewe nani pambana na maisha ya familia yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaWatanzania tumezungumza. Tumezungumza kwa kauli zetu kalikali kama msumari na waziwazi kuliko utandawazi. Tumezungumza kupitia Wanasheria, Maprofesa, Maaskofu, Masheikh, Wanasiasa, Wasomi hadi wananchi wa kawaida. Tumeuzungumza mkataba wa DP World kuliko hata Bunge letu.
Tumeuzungumza makataba kwa kuukosoa-kulingana na vifungu vyake. Tumepuuza hoja zisizo na haja za viongozi wa kiserikali na kichama waliojaribu kututoa kwenye hoja. Tumewapuuza kwa kuendelea kutetea tunachokiamini na tulichokiona kimkataba.
Najua kuwa Serikalini na chamani anasakwa 'mchawi' wa jambo lote hili. Yule aliyetuwekea wazi Mkataba wa DP World na Tanzania juu ya Bandari. Ilipangwa jambo hili lifanywe kimyakimya. Liiishe kimyakimya. Baada ya kubumburuka na kuanza kujadiliwa, tunaambiwa kuwa tunatoa maoni na yatazingatiwa. Inashangaza!
Hadi sasa, pamoja na ukimya wa Rais na Mwenyekiti wetu wa CCM juu ya hili, hakuna kiongozi yeyote wa Serikali au CCM aliyajibu hoja za haja za wakosoaji wa mkataba. Nguvu kubwa imeelekezwa kwenye kuuaminisha umma kuwa uwekezaji Bandarini utaleta tija. Hoja zetu ni juu ya ubovu na ubatili wa mkataba. Hizo hazina majibu.
Ni rahisi kuhitimisha bila kutisha kuwa Mkataba wa DP World tumeukataa. Na mambo yake yote tumeyakataa. Kukosekana kwa ukomo na maslahi ya kimkataba tumekukataa. Maelezo ya Serikali na viongozi wa CCM tumeyakataa. Tunasubiri tupuuzwe sauti zetu ili tuchukue hatua zetu!
Rais na Mwenyekiti wangu Mama Samia, huna lolote juu ya Mkataba wa DP World la kutuambia?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Igoma, Mwanza)
Bahati nzuri unafahamika kwa unafiki hivyo wengi wana JF watakupuuza tu!Ukimya nao ni jibu!.
Hoja karibu zote zimejibiwa
Ni kweli uwezaji wa DPW, utaleta tija.
It's true hoja za ubatili hazina majibu, ila hata kama kuna ubatili, IGA sio mkataba ni MoU tuu ya makubaliano kuiruhusu Tanzania kuingia mkataba na DPW. Mkataba ni HGA, utakuwa mzuri, japo kisheria, kukiisha tokea issues za ubatili, then ubatili huo unakuwa void ab initio, ila sisi huu ubatili wa mkataba huu tumeufanya kuwa ni ubatili wa voidable ambao unarekebishika.
Maadam wawakilishi rasmi wa Watanzania ni Bunge letu Tukufu, kama Bunge letu limeridhia, ni Watanzania tumeridhia.
Mfumo wetu wa utawala ni kupitia representation, Bunge letu ndio wawakilishi wetu, wakisema ndio, ni ndio, wewe Mwananchi huwezi kusema sio!. Itakubidi usubirie miaka 5, umfute kazi mwakilishi wako!.
Kilicho ridhiwa ni IGA, ni MoU ya makubaliano kuiruhusu Tanzania kuingia mkataba na DPW kutuendeshea Bandari zetu. Mkataba wa uendeshaji unaitwa HGA, hii HGA bado haijaingiwa, serikali yetu imepokea maoni ya Watanzania na itayajumuisha kwenye HGA, hivyo HGA itakuwa ni nzuri.
Sii kweli, sii yote, kuna mambo mengi, makubwa mazuri ya mkataba huu tumeyakubali, na machache mabaya wananchi tumeyakataa ila wawakilishi wetu, wabunge wetu na Bunge letu limekubali kila kitu.
Ukomo hauwepogi kwenye international treaties!, IGA ni MoU tuu sio mkataba, ukomo utakuwepo kwenye HGA ambayo ndio mkataba.
Mfumo wetu wa utawala ni spoon fed top down, serikali ikisema ni imesema, wewe Mwananchi huwezi kuikatalia.
Hata tukipuuzwa hatuwezi kuchukua hatua zozote zaidi ya kusubiria 2025 tuiadhibu CCM kwa kui vote out!. Hili pia haliwezekani kwasababu hata tukii vote out CCM, aje nani?, kwa vile hakuna mtu mbadala wa kuja, then tutaendelea na CCM mpaka atakapopatikana mbadala.
Mama anatakiwa kunyamaza kimya kabisa huku kazi nzuri ikiendelea.
P
Hatukatai uwekezaji wa DPWORLD, bali tunaukataa mkataba mbovu Kwanini CCM wanaahirisha kufikiri?Watanzania tumezungumza. Tumezungumza kwa kauli zetu kalikali kama msumari na waziwazi kuliko utandawazi. Tumezungumza kupitia Wanasheria, Maprofesa, Maaskofu, Masheikh, Wanasiasa, Wasomi hadi wananchi wa kawaida. Tumeuzungumza mkataba wa DP World kuliko hata Bunge letu.
Tumeuzungumza makataba kwa kuukosoa-kulingana na vifungu vyake. Tumepuuza hoja zisizo na haja za viongozi wa kiserikali na kichama waliojaribu kututoa kwenye hoja. Tumewapuuza kwa kuendelea kutetea tunachokiamini na tulichokiona kimkataba.
Najua kuwa Serikalini na chamani anasakwa 'mchawi' wa jambo lote hili. Yule aliyetuwekea wazi Mkataba wa DP World na Tanzania juu ya Bandari. Ilipangwa jambo hili lifanywe kimyakimya. Liiishe kimyakimya. Baada ya kubumburuka na kuanza kujadiliwa, tunaambiwa kuwa tunatoa maoni na yatazingatiwa. Inashangaza!
Hadi sasa, pamoja na ukimya wa Rais na Mwenyekiti wetu wa CCM juu ya hili, hakuna kiongozi yeyote wa Serikali au CCM aliyajibu hoja za haja za wakosoaji wa mkataba. Nguvu kubwa imeelekezwa kwenye kuuaminisha umma kuwa uwekezaji Bandarini utaleta tija. Hoja zetu ni juu ya ubovu na ubatili wa mkataba. Hizo hazina majibu.
Ni rahisi kuhitimisha bila kutisha kuwa Mkataba wa DP World tumeukataa. Na mambo yake yote tumeyakataa. Kukosekana kwa ukomo na maslahi ya kimkataba tumekukataa. Maelezo ya Serikali na viongozi wa CCM tumeyakataa. Tunasubiri tupuuzwe sauti zetu ili tuchukue hatua zetu!
Rais na Mwenyekiti wangu Mama Samia, huna lolote juu ya Mkataba wa DP World la kutuambia?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Igoma, Mwanza)
NIMEUKATAA,Watanzania tumezungumza. Tumezungumza kwa kauli zetu kalikali kama msumari na waziwazi kuliko utandawazi. Tumezungumza kupitia Wanasheria, Maprofesa, Maaskofu, Masheikh, Wanasiasa, Wasomi hadi wananchi wa kawaida. Tumeuzungumza mkataba wa DP World kuliko hata Bunge letu.
Tumeuzungumza makataba kwa kuukosoa-kulingana na vifungu vyake. Tumepuuza hoja zisizo na haja za viongozi wa kiserikali na kichama waliojaribu kututoa kwenye hoja. Tumewapuuza kwa kuendelea kutetea tunachokiamini na tulichokiona kimkataba.
Najua kuwa Serikalini na chamani anasakwa 'mchawi' wa jambo lote hili. Yule aliyetuwekea wazi Mkataba wa DP World na Tanzania juu ya Bandari. Ilipangwa jambo hili lifanywe kimyakimya. Liiishe kimyakimya. Baada ya kubumburuka na kuanza kujadiliwa, tunaambiwa kuwa tunatoa maoni na yatazingatiwa. Inashangaza!
Hadi sasa, pamoja na ukimya wa Rais na Mwenyekiti wetu wa CCM juu ya hili, hakuna kiongozi yeyote wa Serikali au CCM aliyajibu hoja za haja za wakosoaji wa mkataba. Nguvu kubwa imeelekezwa kwenye kuuaminisha umma kuwa uwekezaji Bandarini utaleta tija. Hoja zetu ni juu ya ubovu na ubatili wa mkataba. Hizo hazina majibu.
Ni rahisi kuhitimisha bila kutisha kuwa Mkataba wa DP World tumeukataa. Na mambo yake yote tumeyakataa. Kukosekana kwa ukomo na maslahi ya kimkataba tumekukataa. Maelezo ya Serikali na viongozi wa CCM tumeyakataa. Tunasubiri tupuuzwe sauti zetu ili tuchukue hatua zetu!
Rais na Mwenyekiti wangu Mama Samia, huna lolote juu ya Mkataba wa DP World la kutuambia?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Igoma, Mwanza)
Kwako Laki si pesa huna shida.Sisi tumeukubali
Mkuu nami nipo Jijini Mwanza. Tuonane jioni tunywe K Vant huku tukijadili kuhusu bandari!Watanzania tumezungumza. Tumezungumza kwa kauli zetu kalikali kama msumari na waziwazi kuliko utandawazi. Tumezungumza kupitia Wanasheria, Maprofesa, Maaskofu, Masheikh, Wanasiasa, Wasomi hadi wananchi wa kawaida. Tumeuzungumza mkataba wa DP World kuliko hata Bunge letu.
Tumeuzungumza makataba kwa kuukosoa-kulingana na vifungu vyake. Tumepuuza hoja zisizo na haja za viongozi wa kiserikali na kichama waliojaribu kututoa kwenye hoja. Tumewapuuza kwa kuendelea kutetea tunachokiamini na tulichokiona kimkataba.
Najua kuwa Serikalini na chamani anasakwa 'mchawi' wa jambo lote hili. Yule aliyetuwekea wazi Mkataba wa DP World na Tanzania juu ya Bandari. Ilipangwa jambo hili lifanywe kimyakimya. Liiishe kimyakimya. Baada ya kubumburuka na kuanza kujadiliwa, tunaambiwa kuwa tunatoa maoni na yatazingatiwa. Inashangaza!
Hadi sasa, pamoja na ukimya wa Rais na Mwenyekiti wetu wa CCM juu ya hili, hakuna kiongozi yeyote wa Serikali au CCM aliyajibu hoja za haja za wakosoaji wa mkataba. Nguvu kubwa imeelekezwa kwenye kuuaminisha umma kuwa uwekezaji Bandarini utaleta tija. Hoja zetu ni juu ya ubovu na ubatili wa mkataba. Hizo hazina majibu.
Ni rahisi kuhitimisha bila kutisha kuwa Mkataba wa DP World tumeukataa. Na mambo yake yote tumeyakataa. Kukosekana kwa ukomo na maslahi ya kimkataba tumekukataa. Maelezo ya Serikali na viongozi wa CCM tumeyakataa. Tunasubiri tupuuzwe sauti zetu ili tuchukue hatua zetu!
Rais na Mwenyekiti wangu Mama Samia, huna lolote juu ya Mkataba wa DP World la kutuambia?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Igoma, Mwanza)
Mpaka kieleweke.
Nafikiri utakuwa ni wakati muafaka kusema sha sha basi. Hakuna haja ya CCM wala Serikali yake kurudi mezani.
Turudishieni Bandari yetu sisi Watanganyika
CCM must go. Afresher CCM inahitajika, enyi wa sasa Pumzikeni, Kaeni pembeni, mjitafakari na kujitathmini.
Si umetajiwa hapo mwanzoni kabisa? Wana sheria, ma professor, na hata sisi watanzania tunao jielewa na siyo waganga njaa tuukataa huo mkataba. Kifupi tumemkataa Mwarabu na mambo yake yote.Mmeukataa wewe na nani?
Sema sisi Chadema tumeukataa usiseme sisi watanzania. Jukumu la kukuwakilisha wa Tanzania ulipata wapi. CCM wako madarakani na kuchanguliwa wana mandate ya kufanya maamuzi, wewe nani kakuchaguaWatanzania tumezungumza. Tumezungumza kwa kauli zetu kalikali kama msumari na waziwazi kuliko utandawazi. Tumezungumza kupitia Wanasheria, Maprofesa, Maaskofu, Masheikh, Wanasiasa, Wasomi hadi wananchi wa kawaida. Tumeuzungumza mkataba wa DP World kuliko hata Bunge letu.
Tumeuzungumza makataba kwa kuukosoa-kulingana na vifungu vyake. Tumepuuza hoja zisizo na haja za viongozi wa kiserikali na kichama waliojaribu kututoa kwenye hoja. Tumewapuuza kwa kuendelea kutetea tunachokiamini na tulichokiona kimkataba.
Najua kuwa Serikalini na chamani anasakwa 'mchawi' wa jambo lote hili. Yule aliyetuwekea wazi Mkataba wa DP World na Tanzania juu ya Bandari. Ilipangwa jambo hili lifanywe kimyakimya. Liiishe kimyakimya. Baada ya kubumburuka na kuanza kujadiliwa, tunaambiwa kuwa tunatoa maoni na yatazingatiwa. Inashangaza!
Hadi sasa, pamoja na ukimya wa Rais na Mwenyekiti wetu wa CCM juu ya hili, hakuna kiongozi yeyote wa Serikali au CCM aliyajibu hoja za haja za wakosoaji wa mkataba. Nguvu kubwa imeelekezwa kwenye kuuaminisha umma kuwa uwekezaji Bandarini utaleta tija. Hoja zetu ni juu ya ubovu na ubatili wa mkataba. Hizo hazina majibu.
Ni rahisi kuhitimisha bila kutisha kuwa Mkataba wa DP World tumeukataa. Na mambo yake yote tumeyakataa. Kukosekana kwa ukomo na maslahi ya kimkataba tumekukataa. Maelezo ya Serikali na viongozi wa CCM tumeyakataa. Tunasubiri tupuuzwe sauti zetu ili tuchukue hatua zetu!
Rais na Mwenyekiti wangu Mama Samia, huna lolote juu ya Mkataba wa DP World la kutuambia?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Igoma, Mwanza)
Watoke wapi barabarani? thubutu yao jeuri hiyo waitoe wapi. JPM aliwafanya vibaya hawa tia ndani mpaka mwenyekiti wao, piga chini ubunge mwenyekiti wao wakasema tunaandamana nchi haitakalika, siku ya pili walitokea watu kumi tu pale ubungo.Wangefanya demonstration hata ya kutoka huko kwny maandamano wanayoyahamasisha Kila siku tungeona kwli wanamaanisha....lakini wanabaki kubwekea tu hmu mitandaoni....halafu wanaposema watanzania wameukataa...ni lini ilipigwa hata kura kusema asilimia kubwa hawataki.....kiongozi wa dini au mwanasiasa kusema hataki au anakubali kitu flani haimaanishi amewasilisha mawazo ya watu woote anaowaongoza....kama Wana uchungu saana waingie barabarani kilazima alaf tuone...sio kubwekabweka Kila siku hmu ndani thread mpya Kila dakika
Nawe utakuwa umetumwa kutetea. Unalipwa ngapi?Ukimya nao ni jibu!.
Hoja karibu zote zimejibiwa
Ni kweli uwezaji wa DPW, utaleta tija.
It's true hoja za ubatili hazina majibu, ila hata kama kuna ubatili, IGA sio mkataba ni MoU tuu ya makubaliano kuiruhusu Tanzania kuingia mkataba na DPW. Mkataba ni HGA, utakuwa mzuri, japo kisheria, kukiisha tokea issues za ubatili, then ubatili huo unakuwa void ab initio, ila sisi huu ubatili wa mkataba huu tumeufanya kuwa ni ubatili wa voidable ambao unarekebishika.
Maadam wawakilishi rasmi wa Watanzania ni Bunge letu Tukufu, kama Bunge letu limeridhia, ni Watanzania tumeridhia.
Mfumo wetu wa utawala ni kupitia representation, Bunge letu ndio wawakilishi wetu, wakisema ndio, ni ndio, wewe Mwananchi huwezi kusema sio!. Itakubidi usubirie miaka 5, umfute kazi mwakilishi wako!.
Kilicho ridhiwa ni IGA, ni MoU ya makubaliano kuiruhusu Tanzania kuingia mkataba na DPW kutuendeshea Bandari zetu. Mkataba wa uendeshaji unaitwa HGA, hii HGA bado haijaingiwa, serikali yetu imepokea maoni ya Watanzania na itayajumuisha kwenye HGA, hivyo HGA itakuwa ni nzuri.
Sii kweli, sii yote, kuna mambo mengi, makubwa mazuri ya mkataba huu tumeyakubali, na machache mabaya wananchi tumeyakataa ila wawakilishi wetu, wabunge wetu na Bunge letu limekubali kila kitu.
Ukomo hauwepogi kwenye international treaties!, IGA ni MoU tuu sio mkataba, ukomo utakuwepo kwenye HGA ambayo ndio mkataba.
Mfumo wetu wa utawala ni spoon fed top down, serikali ikisema ni imesema, wewe Mwananchi huwezi kuikatalia.
Hata tukipuuzwa hatuwezi kuchukua hatua zozote zaidi ya kusubiria 2025 tuiadhibu CCM kwa kui vote out!. Hili pia haliwezekani kwasababu hata tukii vote out CCM, aje nani?, kwa vile hakuna mtu mbadala wa kuja, then tutaendelea na CCM mpaka atakapopatikana mbadala.
Mama anatakiwa kunyamaza kimya kabisa huku kazi nzuri ikiendelea.
P
Sijui wanakuogopa kukwambia!?Ukimya nao ni jibu!.

Mwambie huyo mbwiga, hao mburura wawili wanaopiga kelele humu wanajifanya kujikweza eti ni watanzania wote......thubutuuuu. watanzania wa kweli tupo huku na tunautaka huo mkataba sasa hvKama umeukataa ni wewe na mumeo lakini watanzania tumeukubali 1000%