Hitimisho: Mkataba wa Tanzania na Emirati ya Dubai kupitia DP World tumeukataa!

Kabisa
 
Bahati nzuri unafahamika kwa unafiki hivyo wengi wana JF watakupuuza tu!
 
Hatukatai uwekezaji wa DPWORLD, bali tunaukataa mkataba mbovu Kwanini CCM wanaahirisha kufikiri?
 
Chifu Mangungo/ Hangaya wa karne ya 21
 
Nje ya mada, hivi tukigawana mbao madini yetu ya Tanzanite yatakuwa Tanganite?

Au tuanze kuyaita Tanganite?

Wadigo si watasema ni yao?
 
NIMEUKATAA,

Mkataba ni Fake na BATILI.

Hatutauvunja, tutauchanachana, maana fake ni fake.
 
Mkuu nami nipo Jijini Mwanza. Tuonane jioni tunywe K Vant huku tukijadili kuhusu bandari!
 
 
Mmeukataa wewe na nani?
Si umetajiwa hapo mwanzoni kabisa? Wana sheria, ma professor, na hata sisi watanzania tunao jielewa na siyo waganga njaa tuukataa huo mkataba. Kifupi tumemkataa Mwarabu na mambo yake yote.
 
Sema sisi Chadema tumeukataa usiseme sisi watanzania. Jukumu la kukuwakilisha wa Tanzania ulipata wapi. CCM wako madarakani na kuchanguliwa wana mandate ya kufanya maamuzi, wewe nani kakuchagua
 
Watoke wapi barabarani? thubutu yao jeuri hiyo waitoe wapi. JPM aliwafanya vibaya hawa tia ndani mpaka mwenyekiti wao, piga chini ubunge mwenyekiti wao wakasema tunaandamana nchi haitakalika, siku ya pili walitokea watu kumi tu pale ubungo.
 
Nawe utakuwa umetumwa kutetea. Unalipwa ngapi?
 
Sijui wanakuogopa kukwambia!?

Utakuwa unafilimbwa wewe sio bure! Sikutegemea unaejisifu kujua sheria, kuongea ujinga!

Mmehongwa, kusapoti huu wizi, hata mimi nisiejua sheria siwezi saini MoU yenye vipengele tata ya hivi hasa article no 23. hata kama nimelewa.

Nilikua nakuheshimu!....kumbe wewe Kiazi hivi!
 
Kama umeukataa ni wewe na mumeo lakini watanzania tumeukubali 1000%
Mwambie huyo mbwiga, hao mburura wawili wanaopiga kelele humu wanajifanya kujikweza eti ni watanzania wote......thubutuuuu. watanzania wa kweli tupo huku na tunautaka huo mkataba sasa hv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…