Hitimisho: Mkataba wa Tanzania na Emirati ya Dubai kupitia DP World tumeukataa!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wao wachukue hizo pesa zao lakini Watanzania wenye mapenzi mema na Nchi yao tumeukataa.

Harafu na hao waravbu wa Dubai wana matatizo gani? Wana moyo gani wa kuwekeza kwenye kiwanja chenya Migogoro? Au wanapenda shari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…