JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
Ukiona hivyo ujue sijam mention, quote wala ku like comment ya King'asti
Kulishwa chakula ama?
Kulishwa chakula ama?
Chimbuvu alilishwa na nani vile?..ili tumuulize alikotoa na madhara yake..alaf na CCB vipi?
Hivi limbwata lina ladha gani?
Si kweli kwamba nimelishwa limbwata
mambo Donn ni aje?
chimbuvu ye amepewa na madame b ... C.C.B Ntaiweka pending aise
Mwanzilishi tena unapanga kukimbia?
Sijui ni nini hata mimi