Hitimisho ya mahusiano baina ya Chimbuvu na Madame B

Hitimisho ya mahusiano baina ya Chimbuvu na Madame B

Daima ukitaka uujue utamu wa ngoma ni uingie ucheze.
Prrrrrrrrrrrrrrrrrr mpaka macca
ukisikia yalaaa ujue mtu kavunjika mguu.thanx

Once aliyepo jikoni ndiye ajuae mchemko wa chungu upo hatua gani !
Mda wa kutia unga, kusonga, ongeza maji, epua, na mapakuzi.
Aidha alae pilipili pasina shuruti, starehe yake ni muasho!
Yeye ndiye ajuae mwenendo wa muasho, muda upi ataupoza kwa maji au kuvumilia kuwashwa.
Mhe, Chimbuvu, kichwa ya mtu serikali ya mtu ! Kila la kheri.
 
Last edited by a moderator:
Huwa hawaonekani hao mpaka maafa yatokee mabatini utawasikia 'natoa katoni 20 za maji ya uhai' aliyekuambia kuwa wana kiu ni nani?

ni watu ambao huwa wanafanya mambo kwa akili sana, mara nyingi hutumia chance hata iwe ndogo namna gani
 
Jamani Chimbvu pole kwa majaribu yanayokukumba ila usijali yatapita tu
 
Last edited by a moderator:
Bado sijaelewa sababu iliyofanya unimention kwenye hili hitimisho lako!
 
khaaaaaa unajua nilikuwa sijaelewa................. Chimbuvu hongera sana! Aisee kweli mdogo wangu Madame B kaaga vilivyo kule milimani!!!

and the :first: iiiiiiiiz Chimbuvu
 
Last edited by a moderator:
Daaah mjomba mjomba moto umeota motoo...
 
Back
Top Bottom