mbona hata kifo cha osama hakijaiteteresha al-queda.
Once aliyepo jikoni ndiye ajuae mchemko wa chungu upo hatua gani !
Mda wa kutia unga, kusonga, ongeza maji, epua, na mapakuzi.
Aidha alae pilipili pasina shuruti, starehe yake ni muasho!
Yeye ndiye ajuae mwenendo wa muasho, muda upi ataupoza kwa maji au kuvumilia kuwashwa.
Mhe, Chimbuvu, kichwa ya mtu serikali ya mtu ! Kila la kheri.
mambo ya panchoo kabisa.... Ila umenimwaga ile mbaya
dah! siasa ikishaingia mahali lazma mambo yaharibike
Huwa hawaonekani hao mpaka maafa yatokee mabatini utawasikia 'natoa katoni 20 za maji ya uhai' aliyekuambia kuwa wana kiu ni nani?
habari yako?
sio mbaya, za kwako?