Zemanga zoze
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 1,016
- 1,722
Balimi ndo bia yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heinken zilikuwepo miaka hiyo?Wakati yupo pale Chuo Kikuu Mlimani, nilikuwa namuonaga anakunywa Heineken, sijui sikuhizi
D.Mchambuzi amekupa ongera kwa kumiliki gari.Subiri nipupute mchanga kwenye gari kwanza
Nyuka ya mzee shedi mkuu. hapo ndo penye..Mpelekee uji/nyuka/maunga!
Waliosoma miaka ilee Mazengo/moshi tech watakuwa wanaelewa!
Sawa mkuu..kwa hiyo anapiga Balimi au safari?wakati akiwa waziri kuna siku alikagua barabara sasa kwa bahati pembeni yake kukawa na bar fulani akapata chakula na kupata kilaji tu cha kawaida cha kizalendo baridi kweli wakajadiliana jambo wakaenda zao rais ni mzalendo asiye na mfano wake alikuwaga hana habari ya masheratoni wala ma kempisky yeye muda wa chakula ukifika kama kuna mama ntilie au babalishe ataingia na kupata chakula chake safi kabisa hii ndio sifa yake kubwa sio mtu wa kujibosti bosti au kujiona ona
Hahahaaa nilitaka kukuuliza hilo jina la Nyuka umelitoa wapi???..Mpelekee uji/nyuka/maunga!
Waliosoma miaka ilee Mazengo/moshi tech watakuwa wanaelewa!
Ukipiga ile kitu nyingi usingizi huu hapa!Nyuka ya mzee shedi mkuu. hapo ndo penye..
Wakati anafanya PhD yake akiwa WaziriHeinken zilikuwepo miaka hiyo?
Pombe anakunywa pombePombe anywe bia? Sidhani