Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,922
Heineken ilikuwepo miaka hiyo? Hili ndio swali lako.Hujajibu swali, unagwayagwaya tuuuu
Na mimi nikakujibu ilikuwepo tangu 1873
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heineken ilikuwepo miaka hiyo? Hili ndio swali lako.Hujajibu swali, unagwayagwaya tuuuu
Hajauliza ilianza kuingia lini nchini.kauliza Heineken ilikuwepo miaka hiyo?Shida sio kuzalishwa,shida ni kuingizwa nchini!
Mimi ndio nimeuliza ilikuwepo kipindi hicho?Labda niongezee,ilikuwepo nchini kipindi hicho?Maana aliyekuwa muingizaji wa Heinkeni na Windhock ni Rugemalira ambaye yuko Jela kwa uhujumu uchumi!Hajauliza ilianza kuingia lini nchini.kauliza Heineken ilikuwepo miaka hiyo?
Na mimi nikamjibu ilikuwepo tangu mwaka 1873
@Waterloo ni mbishiiii, as if haelewi kinachoulizwa. Ujiniasi mwingine ukipitiliza nako ni tabu balaa.Mimi ndio nimeuliza ilikuwepo kipindi hicho?Labda niongezee,ilikuwepo nchini kipindi hicho?Maana aliyekuwa muingizaji wa Heinkeni na Windhock ni Rugemalira ambaye yuko Jela kwa uhujumu uchumi!
Na kampuni yake ya uingizaji vinywaji hivyo haikuwepo kipindi hicho!
Je,vinywaji hivyo vilikuwepo nchini?
Shule ulipataga ngapi!???Heineken ilikuwepo miaka hiyo? Hili ndio swali lako.
Na mimi nikakujibu ilikuwepo tangu 1873
Mkwepa-maswali WaterlooHajauliza ilianza kuingia lini nchini.kauliza Heineken ilikuwepo miaka hiyo?
Na mimi nikamjibu ilikuwepo tangu mwaka 1873
Sijasoma mimiShule ulipataga ngapi!???
Labda niongezee,ilikuwepo nchini kipindi hicho?Mimi ndio nimeuliza ilikuwepo kipindi hicho?Labda niongezee,ilikuwepo nchini kipindi hicho?Maana aliyekuwa muingizaji wa Heinkeni na Windhock ni Rugemalira ambaye yuko Jela kwa uhujumu uchumi!
Na kampuni yake ya uingizaji vinywaji hivyo haikuwepo kipindi hicho!
Je,vinywaji hivyo vilikuwepo nchini?
Very poor reasoning. Bado inawezekana kuwa iliingia mapema, mfano 1970s, lakini kwa wakati huo unaozungumziwa haikuwepo. Nakushauri mtafute wakili Kinyanjui wa Kenya ama Kibatali hapa Bongo wanaweza kukusaidia, vinginevyo utafungwa asubuhi.Labda niongezee,ilikuwepo nchini kipindi hicho?
Hapa ulipoongezea hapa ndio penyewe. Ulitakiwa useme nchini Tanzania iliingia lini?
Suala ndio hilo,ilikuwepo nchini kipindi hicho?Labda niongezee,ilikuwepo nchini kipindi hicho?
Hapa ulipoongezea hapa ndio penyewe. Ulitakiwa useme nchini Tanzania iliingia lini?
Kweli kabisa!@Waterloo ni mbishiiii, as if haelewi kinachoulizwa. Ujiniasi mwingine ukipitiliza nako ni tabu balaa.
Shida sio kuanzishwa,nazungumzia kuagizwa kuletwa bongo na kuuzwa mpaka huyo mtu akamuona JPM anakunywa hizo!
Kuna bidhaa nyingi tu ziko miaka na miaka nchi za watu ila bongo hazijawahi kufika!
Atakuwa anakunywa ila labda shots zake kadhaa za Hennessey kila baada ya dinner.
Labda nini?Magufuli sio wa Hennessy mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Labda nini?
Mazengo complex ya Msasa......Ujamaa middle.....Unga electrical.Mpelekee uji/nyuka/maunga!
Waliosoma miaka ilee Mazengo/moshi tech watakuwa wanaelewa!
Azimio kwa askofu!Mazengo complex ya Msasa......Ujamaa middle.....Unga electrical.
Wewe wapi? Mwenge, muongozo au Azimio?
Yule mpelekee maziwa anapenda sana bia labda WaziriWakuu kwema?
Nataka kumzawadia Raisi wangu mpendwa John Pombe Magufuli zawadi ya mwaka mpya, nataka kumzawadia kreti la bia.je huwa anakunywa bia kweli?
Asanteni