Ngopyoro city
Senior Member
- Aug 28, 2020
- 144
- 220
Kuna jamaa alisema alipokua kijana alikua anapiga Sana bangi Sasa sina hakika kama aliaacha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Don't ever judge the book's contents by its glittering, enticing coverNecta 2030...Eleza jinsi jina la kitabu linavosadifu yaliyondani.?
Thank you MadamDon't ever judge the book's contents by its glittering, enticing cover
Anakunywa sana tena sanaWakuu kwema?
Nataka kumzawadia Raisi wangu mpendwa John Pombe Magufuli zawadi ya mwaka mpya, nataka kumzawadia kreti la bia.je huwa anakunywa bia kweli?
Asanteni
NopeAnakunywa sana tena sana
Mwaka 2015 alikuwa kusini mwa tanzania kipindi ni mgombea alipiga tungi siku hiyo na alilewa sana akaanza kutukana walinzi wake wakambebaNope
Usisahau na mjani piaSawa mkuu..kwa hiyo anapiga Balimi au safari?
Hii ndiyo michikwali bubu ya Chama cha Demoghasia & Maombolezo. Siasa zenu za majitaka tushazijua na tumezizika rasmi kwenye ballot box ileeee Oktoba 28! Pls look for some other work to do.Mwaka 2015 alikuwa kusini mwa tanzania kipindi ni mgombea alipiga tungi siku hiyo na alilewa sana akaanza kutukana walinzi wake wakambeba
Bia gani anakunywa?
Ntashangaa sana kukutana na mtu anaitwa KAYAMAN halafu hali nyasi
Heinken zilikuwepo miaka hiyo?
Shida sio kuanzishwa,nazungumzia kuagizwa kuletwa bongo na kuuzwa mpaka huyo mtu akamuona JPM anakunywa hizo!Heineken ilianza 1864 so hata wadutch walivyokuwa wanakuja huku walikuwa wanakuja nazo, mkuu bia za siku mingi sanaaa
Heineken imeanza kuzalishwa mwaka 1870Heinken zilikuwepo miaka hiyo?
Wakuu kwema?
Nataka kumzawadia Raisi wangu mpendwa John Pombe Magufuli zawadi ya mwaka mpya, nataka kumzawadia kreti la bia.je huwa anakunywa bia kweli?
Asanteni
Mpelekee Maziwa ya mtindi.Wakuu kwema?
Nataka kumzawadia Raisi wangu mpendwa John Pombe Magufuli zawadi ya mwaka mpya, nataka kumzawadia kreti la bia.je huwa anakunywa bia kweli?
Asanteni
Nilichoandika nilikishuhudiaHii ndiyo michikwali bubu ya Chama cha Demoghasia & Maombolezo. Siasa zenu za majitaka tushazijua na tumezizika rasmi kwenye ballot box ileeee Oktoba 28! Pls look for some other work to do.
Weka pichaKuna jamaa alisema alipokua kijana alikua anapiga Sana bangi Sasa sina hakika kama aliaacha
Hujajibu swali, unagwayagwaya tuuuuHeineken imeanza kuzalishwa mwaka 1870
Shida sio kuzalishwa,shida ni kuingizwa nchini!Heineken imeanza kuzalishwa mwaka 1870