unyangii2017
Senior Member
- Jan 18, 2017
- 160
- 100
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanashindwa kujiamini tu mpaka wanaongeza saizi..Binafsi sijawahi kuona faida sana zaidi ya fahari ya macho
Hata wao wanafanya hivyo ili watu kama nyie mpate fahari ya macho.Wanashindwa kujiamini tu mpaka wanaongeza saizi..Binafsi sijawahi kuona faida sana zaidi ya fahari ya macho
Ni baadhi sio wote, Chura ina add nini kwenye mahusianoTatizo sio wao kujiamini tatizo ni sisi , wao wanaangalia sisi tunapenda nini!
Tungekuwa hatupendi 'michura' basi wasingesumbuka 'kujikarabati' ili watuvutie.
Tatizo ni sisi.
ahahaha huwa nawashangaa sana wale mademu wanaoumiza vichwa kujikarabati mizigo yao hawafikirii vitu vingine vya kimaisha..Hata wao wanapenda iwe fahari ya macho tu.
Naitazama avatar yako,sitegemei jibu tofautiWanaojiongezaga kalio wanakuwa washajichokea na maisha.
Naitazama avatar yako,sitegemei jibu tofautiWanaojiongezaga kalio wanakuwa washajichokea na maisha.
Utajua mwenyeweNaitazama avatar yako,sitegemei jibu tofauti
Jealous pole kwa kuwa flat screenWanaojiongezaga kalio wanakuwa washajichokea na maisha.
Aliyekwambia sijikubali nilivyo nani? Kama demu wako ni muongeza kalio ni yeye na ukiazi wake.Jealous pole kwa kuwa flat screen
Aiseee!
Si mchezo.
Sikushauri uongeze chura au matambara Ila chura haina mpinzani.huu udhaifu unafanana udhaifu wa kibamia kwa menUtajua mwenyewe