Hivi akina Dada kwanini hamjikubali? Chura huwa anasaidia nini?

Hivi akina Dada kwanini hamjikubali? Chura huwa anasaidia nini?

unyangii2017

Senior Member
Joined
Jan 18, 2017
Posts
160
Reaction score
100
Naomben majibu jaman

IMG-20170722-WA0005.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanashindwa kujiamini tu mpaka wanaongeza saizi..Binafsi sijawahi kuona faida sana zaidi ya fahari ya macho
 
Tatizo sio wao kujiamini tatizo ni sisi , wao wanaangalia sisi tunapenda nini!

Tungekuwa hatupendi 'michura' basi wasingesumbuka 'kujikarabati' ili watuvutie.

Tatizo ni sisi.
Ni baadhi sio wote, Chura ina add nini kwenye mahusiano
 
Kiukweli mwanamke akiwa juu ya sita kwa sita wanaume huwa hawaangalii chura kwasababau kichwa cha juu huangalia direct shimoni.
 
Ila matako mengine yanatisha jaman khaaaa! Hata kwamba yanakuwa ndani ya nguo lakini duuu
 
Utakataa lakini moyoni utakubali,chura hana mpinzani!binafsi nikichukua demu mwenyewe chura nampa pensheni kubwa zaidi ya kimbau!
 
Yaan huo ni ujinga tu, kuwa na masimamo ndio jambo la msingi. Marufuku kuyumbishwa,huo upuuzi nilishakataa mm
 
Back
Top Bottom