Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itabidi uonane na mwenyekiti counterpart nick minaj mbadilishane mawazo kidogoTunajikubali bwana Mimi ni mwenye kiti wa flat screen
Hiyo avatar ndio iko penyewe yaan! Sifa ya mwanamke ni kujiamini na kujikubali jinsi ulivyo!Utajua mwenyewe
Kama huna chura huruhusiwi huku JFTunajikubali bwana Mimi ni mwenye kiti wa flat screens
Kasema nani?Kama huna chura huruhusiwi huku JF
Mimi pamoja na mods wenzanguKasema nani?
Dah! Dunia ina mambo! Kwani tako lina faida gani kwa mwanaume?Utakataa lakini moyoni utakubali,chura hana mpinzani!binafsi nikichukua demu mwenyewe chura nampa pensheni kubwa zaidi ya kimbau!
Sasa mbona unawanenea wenye chura. Jikubali na Hali yako girl wangu Ana chura wahalisiAliyekwambia sijikubali nilivyo nani? Kama demu wako ni muongeza kalio ni yeye na ukiazi wake.
Hivi wewe huwa unaelewa kilichoandikwa? Au ndo nyie dvn 0? Karudie tena comment yangu uelewe nilichoandika alafu usiniquote tena kma hutaelewa.Sasa mbona unawanenea wenye chura. Jikubali na Hali yako girl wangu Ana chura wahalisi
Wewe hamnazo kweli kila uzi wa wadada wenye chura unapovuka tu uache wivu. For ua information zero naiskia kwenye Hilo bichwa lako lililojaza topeHivi wewe huwa unaelewa kilichoandikwa? Au ndo nyie dvn 0? Karudie tena comment yangu uelewe nilichoandika alafu usiniquote tena kma hutaelewa.
0%.Wewe hamnazo kweli kila uzi wa wadada wenye chura unapovuka tu uache wivu. For ua information zero naiskia kwenye Hilo bichwa lako lililojaza tope
OI,HAMNA HAJA YA KUGOMBANA, MI NAHISI HAMJAELEWANA 2