Hivi akina Dada kwanini hamjikubali? Chura huwa anasaidia nini?

Hivi akina Dada kwanini hamjikubali? Chura huwa anasaidia nini?

Mwanamke sura na Chura, tabia tutaelekezana chumbani
 
Harafu wakiombwa mtandao wanakimbilia kuleta uzi huku
 
Sasaaa nan anataka flat screen utashika,wap
Kama mifupa hata mm nnayo

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Inasikitisha sana...
Ndiyo msimu wake huo... Labda wameona fashion ya sasa hivi ni kuwa na umbo kubwa la nyuma...

Let them do whatever they want to please us man... Wapo wanaume wanaopenda hayo mambo ndiyo maana na wenyewe wanayafanya...

Cc: mahondaw
 
Sasa mbona unawanenea wenye chura. Jikubali na Hali yako girl wangu Ana chura wahalisi
Hivi wewe huwa unaelewa kilichoandikwa? Au ndo nyie dvn 0? Karudie tena comment yangu uelewe nilichoandika alafu usiniquote tena kma hutaelewa.
 
Hivi wewe huwa unaelewa kilichoandikwa? Au ndo nyie dvn 0? Karudie tena comment yangu uelewe nilichoandika alafu usiniquote tena kma hutaelewa.
Wewe hamnazo kweli kila uzi wa wadada wenye chura unapovuka tu uache wivu. For ua information zero naiskia kwenye Hilo bichwa lako lililojaza tope
 
Back
Top Bottom