Hivi Ali Kiba alimaanisha nini alipoimba kwa kusema 'Ushamba mwisho kwa mtoto wa Kariakoo'?

Hivi Ali Kiba alimaanisha nini alipoimba kwa kusema 'Ushamba mwisho kwa mtoto wa Kariakoo'?

BOSS YA MBOKA

Member
Joined
Nov 26, 2020
Posts
8
Reaction score
8
Wakulungwa inakuwaje?

Kwa wale mliowahi kukaa na kuishi mitaa ya kariakoo au mpaka sasa mnaishi hapo Kariakoo naombeni mnijuze kwa wale mnaojua hii kauli ya watoto wa Mjini akina KINGKIBA wa maeneo ya kariakoo wanayopenda kutumia kuwa "USHAMBA MWISHO KWA MTOTO WA KARIAKOO" wana maana gani maana naona vijanawengi walio kulia ama wanaishi Kariakoo haya maneno hayakauki midomoni mwao?
 
Halafu kunawajinga wengi tu watakuja kukwambia alikiba ni wakigoma

Mtoto wa Kariakoo huyu
 
Back
Top Bottom