Tujadili kuhusu hili
Kabla haujaanza kuuliza wanakula nini, ingekuwa vyema ukawa na uhakika kama wapo ? Unless haumaanishi UFO, bali unamaanisha foreigners / people from another country
Kisayansi vipo hivyo viumbe na husemekana vina akili sana ndio maana kwetu ni fumbo maana huelea angani (un identified floating objects=UFO).Cha kula sifahamu maana hatujui wanatokea sayari gani na kama wana mimea na wanyama.Tulikuwa na sayari tisa sasa tuna ngapi?
Duh hili swali nitamuuliza mwanangu, maana anajua sana mambo ya Ben10 and the Alliens.
Hakuna kitu ambacho sitakaa kuamini kama eti binadamu wakikuwa nyani tetete halafu nyani wenyewe walikuwa weusi sasa wazungu walitokea wapi? Au wazunhu walitokea kwa adam na hawa
tunachokula mimi na wewe ndicho wanachokula hao jamaa.Tujadili kuhusu hili
Hahahahaaaaa, labda umeona MISUKULE mkuu!
Misukule wapi ndugu, Allien form zao ni tofauti kabisa na binadamu hasa macho, shapes kwa maana mwili umbo na tabia, hawana nywele sehemu yoyote ile kwenye miili yao!
Mmmh!
Bado sijaamini!
Mmmh!
Si umeona utata huo?
Kwani wao hawakuumbwa na Mungu?
Kwaiyo wao hawana hesabu?
Wao hawatendi uhalifu?
Hawatendi mema?
Kuna chakula zaidi ya ugali???
Papa Mopao usiamini video za youtube,juzi nilikuwa napitia forum moja kuna jamaa alivujisha siri za NASA,kwamba alikuwa mtaalam wa kuedit video na kutumia photoshop,kwahiyo kazi yake huko NASA ilikuwa kutengeneza picha fake za huko space ili kuaminisha watu na kupima upepo unaendaje,kwahiyo usiamini youtube.
C.C utafiti
Ha ha ha ha ha.....Dahhh!!! Hakuna Sayari inayo-support life zaidi ya Dunia hii....
Prove to me the existance of any planet other than Earth that support any kind of life...Ukiweza hapo sasa tutaweza ongea habari za hao Alliens.
Ndugu yangu, kama hauamini kama kuna existance ya other planets, kwanini kuna solar eclipse na moon eclipse? au unataka tukupeleke NASA wakurushe nje ya dunia??