Hivi Alliens wanakula chakula gani?

Hivi Alliens wanakula chakula gani?

Aisee!! Mleta mada anadai kafanya uchunguzi, wapi youtube, huu lazima ni utani

So badae nikaingia youtube nikaweka video kwamba aliens hawapo utaamini pia sio

Watanzania tumechoka mbaya kama uchunguzi wetu ni youtube. Hatuwezi jadili msosi wa aliens ilhali ushahidi juu ya uwepo wao hakuna
 
The facts is enemy of truth. Belive or not no life out of earth.
 
Kabla haujaanza kuuliza wanakula nini, ingekuwa vyema ukawa na uhakika kama wapo ? Unless haumaanishi UFO, bali unamaanisha foreigners / people from another country

People from another planet not country. Just to remind you!
 
Kisayansi vipo hivyo viumbe na husemekana vina akili sana ndio maana kwetu ni fumbo maana huelea angani (un identified floating objects=UFO).Cha kula sifahamu maana hatujui wanatokea sayari gani na kama wana mimea na wanyama.Tulikuwa na sayari tisa sasa tuna ngapi?

Mkuu, lini sayansi ilisema kuwa kuna aliens?
 
Duh hili swali nitamuuliza mwanangu, maana anajua sana mambo ya Ben10 and the Alliens.

You're absolutely right mkuu. Kuamini kuwa kuna aliens ni sawa na watoto wanavyoamini kuwa kuna Santa Claus, Tooth fairy n.k.
 
Hakuna kitu ambacho sitakaa kuamini kama eti binadamu wakikuwa nyani tetete halafu nyani wenyewe walikuwa weusi sasa wazungu walitokea wapi? Au wazunhu walitokea kwa adam na hawa

wazungu walitokana na nyani weupe.
 
Tujadili kuhusu hili
tunachokula mimi na wewe ndicho wanachokula hao jamaa.
Watu wote wakuja kutoka nje ya marekani, wamarekani wanatuita Alliens, hivyo ufahamu sisi pia ni alliens.
 
Hahahahaaaaa, labda umeona MISUKULE mkuu!

Misukule wapi ndugu, Allien form zao ni tofauti kabisa na binadamu hasa macho, shapes kwa maana mwili umbo na tabia, hawana nywele sehemu yoyote ile kwenye miili yao!
 
Misukule wapi ndugu, Allien form zao ni tofauti kabisa na binadamu hasa macho, shapes kwa maana mwili umbo na tabia, hawana nywele sehemu yoyote ile kwenye miili yao!

Umewahi kuwaona aliens au uchunguzi wako uliofanya YouTube ndio unasema hivyo
 
hata wakiwepo hatuwezi kuanika data hapa hadharani, hamna siri kwenye internet na hasa tulipofikia tunachunguzwa mpaka vimeseji vyetu vya whatsapp kwenda kwa michepuko :eyebrows:
 
Mmmh!
Si umeona utata huo?
Kwani wao hawakuumbwa na Mungu?
Kwaiyo wao hawana hesabu?
Wao hawatendi uhalifu?
Hawatendi mema?


Mkuu, hapa hakuna cha utata wala nini, wapo kibao hao viumbe vipenzi, uhalifu kwa kweli hatujawahi kuishi nao ila kiukweli kwa mujibu wa wanasayansi, ni wakorofi sana kama tukikwaruzana nao
 
Nimejaribu Google images zao nimechoka kabisa!!!Uumbaji wa Mungu.
 
Papa Mopao usiamini video za youtube,juzi nilikuwa napitia forum moja kuna jamaa alivujisha siri za NASA,kwamba alikuwa mtaalam wa kuedit video na kutumia photoshop,kwahiyo kazi yake huko NASA ilikuwa kutengeneza picha fake za huko space ili kuaminisha watu na kupima upepo unaendaje,kwahiyo usiamini youtube.
C.C utafiti

Huyo ulimwamini?
 
Ha ha ha ha ha.....Dahhh!!! Hakuna Sayari inayo-support life zaidi ya Dunia hii....

Prove to me the existance of any planet other than Earth that support any kind of life...Ukiweza hapo sasa tutaweza ongea habari za hao Alliens.

Ndugu yangu, kama hauamini kama kuna existance ya other planets, kwanini kuna solar eclipse na moon eclipse? au unataka tukupeleke NASA wakurushe nje ya dunia??
 
izo zilikua ni bed timr stories wanapgiwa watot ili walald
sasa as the time wale watoto wanakua ndo wakaconvert izo story ktk movies na kwa jinsi zilivyosaambaa na kuchezwa kiuhalisia zikapata umaharufu na adi kuanzavkuhisiwa hao viumbe wapo.bt hakuna kitu dudu kma io.ni kms hadithi za mazimwi tulizokakua tunapgiwa na wazee.
 
Ndugu yangu, kama hauamini kama kuna existance ya other planets, kwanini kuna solar eclipse na moon eclipse? au unataka tukupeleke NASA wakurushe nje ya dunia??

Aliyekuambia siamini uwepo wa Sayari zingine ninani....? Mimi ninakuuliza uwepo wa maisha katika sayari zingine wewe unalitea porojo zako hapa.....!!!!!

Uwepo wa Solar eclipse na Moon eclipse ndio unathibitisha uwepo wa maisha katika Sayari zingine....????

Haya sasa hebu niambie ni Sayari gani kati ya unazozifahamu mbali na Dunia yenye ku-support life(any kind of life)...Tuanzie hapo kwanza ndo tuendelee....

N:B...Sitaki porojo..
 
Back
Top Bottom